Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CAG Mstaafu Utouh aibua sakata la wizi wa Til.1.2 uliofanywa na awamu ya Mwendazake πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220716-114415.png
    105.8 KB · Views: 25
  • Screenshot_20220716-204427.png
    120.8 KB · Views: 28
Kazi inaendelea πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220717-155114.png
    173.5 KB · Views: 27
  • Screenshot_20220717-155733.png
    147.6 KB · Views: 26
Imefajengwa na Rais Samia πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220717-083520.png
    176.9 KB · Views: 29
  • Screenshot_20220712-202419.png
    188.3 KB · Views: 24
Royal tour ya Samia inazidi kufanya wonders kwenye Utalii πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220715-184630.png
    171.5 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220716-185244.png
    147.5 KB · Views: 28
Wewe ndio hujanielewa. Kuna mifumo miwili inatumika hapa kuelezea ni idadi gani ya watu wamepata umeme. Dunia yote inatumia mfumo wa kuhesabu nyumba moja moja iliyounganishwa kwa umeme. Tanzania mumeamua kuja na mfumo wenu wa kichizi wa kuhesabu idadi ya vijiji vilivyounganishwa kwa umeme. Inawezekana vijiji vyote 12,000 vikawa vimeunganishwa na umeme na upate kwamba chini ya 50% ya nyumba za Tanzania zimeunganishwa kwa umeme. Hapa Kenya hatupimi kwa kutumia vijiji na nchi nyingi duniani hazitumii kigezo hicho. Nchi nyingi zinapima kwa kuzingatia idadi ya nyumba zilizounganishwa kwa umeme. Hapa Kenya nyumba 7 million zimeunganishwa kwa umeme wakati serikali yenu miaka michache iliyopita ilikiri kwamba nyumba 2.7 million pekee za Tanzania ndio zina umeme. Sahau mambo ya vijiji, tuangalie idadi ya nyumba ndani TZ zilizounganishwa kwa umeme.

Kwa mfano soma hii article inayosema kwamba Kenya power ilikuwa na 5.9 million customers in 2017. Yaani hizo ni nyumba 5.9 million zipo connected na umeme miaka mitano iliyopita. Idadi hio sasa hivi pengine imefika 7 million customers.
Cc joto la jiwe

Kenya Power confirms 5.9 Million customers connected to the grid | kplc.co.ke
 
Ngoja tusubirie takwimu ya mwaka mwingine nina uhakika idadi itakuwa iko juu.

TANESCO wako busy sana usiku na mchana wanafanya kazi ,kazi yao itakuwa haina maana kama watu hawana stima kwa nyumba zao.

Sizipingi takwimu, shida yangu ni uhalisia tu mambo yenyewe. DAR ,MWANZA,ARUSHA, TANGA, MBEYA yote ni majiji nyumba nyingi zina umeme, bado hatujaangalia mikoani, wilayani, Tarafa, Kata hadi vijiji. Hapa ndipo ninapata mashaka na hii idadi [emoji848][emoji848]
 
Usimsikilize huyo jamaa anayeitwa joto la jiwe. Click hii link ya World Bank. World Bank inasema kwamba access to electricity in Kenya ni 71.4% wakati access to electricity in Tanzania ni 39.9%.
 
Let data za WB za 2021, kwani WB ndio wanaokwenda vijijini kuhesabu vijij?, hii ni Kama Ile ya Uganda kuhusu population ya Uganda.

Tony, ninajua kwamba hii inakustua na unashindwa kuamini kuona Tanzania inafanya Mambo makubwa kuizidi Kenya, kumbuka jinsi ulivyokua ukipinga kwamba Tanzania haiwezi Jenga reli ya umeme, ulikua unasema kwamba Tanzania ni nchi masikini reli ya umeme ni ghali Sana. Katika hili la kusambaza umeme, nalo jiandae kisaikolojia, Kama sio mwisho wa mwaka huu, basi mapema mwakani tutafikia 95% coverage rate, ambayo ni Universal access.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…