Prove hizo figure zako na reliable citation si kuropokwa ovyo.... Tanzania hata 40% hamjafikaMkuu, wakati Magufuli anaingiza madarakani, vijiji vilivyokua vimeunganishwa na umeme vilikua ni vijiji 2000 tu, Kati ya vijiji vyote 12,0000, idadi hiyo ukijumlisha na asilimia ya umeme mijini, wastan ndio hiyo 33%.
Katika kipindi cha miaka 5 ya uongozi wa Magufuli, aliunganisha vijiji 7000 na mijini akafikisha zaidi ya 90%, ndio sababu hivi Sasa coverage nchi nzima ni 83%
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Prove hizo figure zako na reliable citation si kuropokwa ovyo.... Tanzania hata 40% hamjafika
Hao ni wakunya wenzako, sio Mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utaomba Mungu wako kila siku kwamba uchumi wa Kenya uanguke lakini hautaanguka. Dua la kuku halimpati mwewe.
Sawa mwana Republic ya Kunyastan!Watu wa Republic of Lazystan watapita kimya kimya ni kama hawajaiona hii.
Hilo ni tatizo la Tanzania kwa miaka mingi SasaShida ni takwimu, NBS huwa wanachelewa sn ku update taarifa, Tz mashirika ya umma yamelala lala sana sijui kwanini tunakuwa wazembe wazembe kwenye vitu serious namna hii.
mzee kampuni kubwa za maziwa Tz ni nyingi mno na wala hii Azam sio miongoni mwa Top threeAssociate wangu ambae yuko ground anasema maziwa ya azam yamepotea baada ya GoT kuongeza tax kwa powder milk. Alafu wanasema wana ngombe kumbe ni maziwa ya unga😁😁View attachment 2293513
Egyptian walishasema ukweli , mnakimbia sana kwa sababu usafiri na wengi ni hoehaeWatu wa Republic of Lazystan watapita kimya kimya ni kama hawajaiona hii.
Vijiii elfu 8 kaka.Mkuu, wakati Magufuli anaingia madarakani, vijiji vilivyokua vimeunganishwa na umeme vilikua ni vijiji 2000 tu, Kati ya vijiji vyote 12,0000, idadi hiyo ukijumlisha na asilimia ya umeme mijini, wastan ndio hiyo 33%.
Katika kipindi cha miaka 5 ya uongozi wa Magufuli, aliunganisha vijiji 7000 na mijini akafikisha zaidi ya 90%, ndio sababu hivi Sasa coverage nchi nzima ni 83%
Tanzania records highest percentage in access to electricity
Energy Minister Dr Medard Kalemani has announced that Tanzania has recorded its highest percentage in access to electricity so far with 84.6% in 2020.www.esi-africa.com
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
HahahaHii ni Tanga?
Walisema wapi?Egyptian walishasema ukweli , mnakimbia sana kwa sababu usafiri na wengi ni hoehae
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I really admire their beauty. They are so cute and look great together.