Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kila niikiitazama hii picha,najihisi kujaa furaha na amani tele rohoni mwangu.

i love you so much dar es salaam.
salute to the photographer behind it.
sasa hapa ni nini inakufurahisha?? smh the mediocrity displayed by Tanzanians is wanting
 
Simunamsikia huyu jamani kenya imeachwa na wakoloni ikiwa na maendeleo leo unatuambia mambo ya kibaki
Hebu try to be seriousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
huwa nikisoma comments zako nakuona ni kama una mtindio wa ubongo vile..sio bure.na comment kama hii ndio inahakikisha hilo
 
sasa hapa ni nini inakufurahisha?
utakufa kwa wivu na hasira....hasira ikikuzidi panda juu ya kicc then jiachie mpaka chini nitakuja kukudaka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
naomba haiwesmek hapa Kenya. ......leta food within 2 minutes ama tukuwachie hiyo food yako.ama vipi fellow Kenyans. ..

in Kenya we call each other "boss" ama "mzito" as a sign of mutual respect and that's as far as it goes.


you can just say "boss hebu leta chap chap".....
 
kabisa.....unaingia hotel na unamwambia waiter leta food..si unalipia, kwani anakupea bure ndio uombe?akichelewa una enda hotel ingine na ye mwenyewe ata understand sio makosa yako.ni yake
 
kabisa.....unaingia hotel na unamwambia waiter leta food..si unalipia, kwani anakupea bure ndio uombe?akichelewa una enda hotel ingine na ye mwenyewe ata understand sio makosa yako.ni yake
Shida sio kuchelewesha, wahudumu wa hapa hawacheleweshi hata kidogo, labda kile unachokuta kinapikwa kwa mahitaji maalum (mnaita order) hapo atakuomba usubiri kwa mda kitakaokuwa tayari!
 
weekend mood:
my playlist, strictly bongofleva.

[/URL]
[/URL]
[/URL]
[/URL]
[/URL]
[/URL]
[/URL]
[/URL]
[/URL]
yaan hapo umenyong,onyesha hawa matahila wakikenya[emoji112] [emoji112] [emoji112]
 
Kulingana na maelezo yako nafkiri kenya ingekua zaidi ya south africa lakin nachoskitika baadhi ya maelezo yako naona yamebakia kama ndoto za alinacha πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Asante kwa povu kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…