Unajitoa ufahamu tu π π π πHahahaha, ukiona unaanza kujenga hoja na kujikweza, ujue ndio mwanzo wa mwisho wako. Sasa hata wakenya wenzenu wanapokuja Tanzania wengi wanakubali kwamba Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla ni "better' kuliko Kenya/Nairobi na sio Kama walivyokuja wakiamini kabla ya kufika Tanzania, wewe ambaye bado hujafika Tanzania bado upo na mawazo ya kizamani Kama wakenya wengi mlivyo, ngoja kwanza ufike Dar.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bullet train in Africa iko Morocco pekee wacha kujitia hamnazo kilaza, mbona mnapenda kuota ndoto mchana π π π π π π π yenu ni ya kawaida tu., 160KM/h max.., ππππLengo langu ni kutaka uanze kuandaa passport ili uwe mkenya wa kwanza kupanda bullet trains in Africa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nairobi Isha shida alot of south Africa cities look at it's ranking now... Wacha this battle that we do here without any tangible evidences Africa now respects Nairobi and that's a fact you can't change hata upuge kelele inatoshana aje ama ulete uchafu wote utaina mtandaoniNitumie google kujua uzuri wa mji π€£π€£π€£π€£π€£π€£, we ni mpumbavu sana,nilishawahi kusema hapa Nairobi can't battle with any of top 5 cuties in SA, NAIROBI level zake ni Dar tu mzee wangu.. usihangaike kutaja levels mzee ukibisha twende ground tu
π€£π€£π€£π€£ Ile train ya generator tuliona ikifanyiwa testing ndo bullet train na cables hunging from above like a sick bed ilienda 40km/h bila hata coaches π€£π€£π€£π€£Lengo langu ni kutaka uanze kuandaa passport ili uwe mkenya wa kwanza kupanda bullet trains in Africa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwanza majority ya wale wanaokuwa classified kuwa wanaishi in poverty wengi wao wako vijijini.Upo sahihi nakubaliana nawe ila nina matatizo mawili na wazo lako nataka unijibu.
1. Wazo lako lipo sahihi kwa wale watu wanaoishi mashambani. Wao ndio wanaokula mayai kila siku kwa sababu wanafuga kuku. What about Waafrika wanaoishi town au kwenye cities? Hawa ni mamilioni ya Waafrika ambao wengi wao hawafugi kuku au ng'ombe. Wakitaka mayai au maziwa inawabidi waingie mfukoni na kuyanunua kwa duka kwa pesa yao.
2. Hawa Waafrika wa mashambani, ikiwa wana chakula cha kutosha ila hawana pesa ya kutosha ya kununulia mtoto nguo au kupeleka mtoto shuleni au nauli ya kumpeleka mtoto hospitalini sasa kwa nini tusiseme kwamba anaishi below poverty line? Poverty sio lack of access to food pekee. Sasa hata kama una chakula cha kutosha lakini ikiwa huna pesa ya kununulia watoto wako viatu wasidungwe na misumari barabarani na wanatembea miguu mitupu, sasa kwa nini ukiitwa masikini unakasirika? Sasa kama huna nauli ya kupeleka mtoto hospitalini, mtoto anafariki kwa magonjwa yanayotibika virahisi kama Malaria, unapoitwa masikini mbona unakasirika? Ilhali malaria inatibiwa kwa tembe tu?
Kwamba mali safi mkuu?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe Wakunya mna mali safi hivi halafu mmekaa kimya muda wote huo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Morning glory [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2290971View attachment 2290972View attachment 2290973View attachment 2290974View attachment 2290975View attachment 2290976
Hawapendi google earth, huyu mbuzi anajitoa ufahamu tu., ukweli inawauma sana.,
Wacha bwana naona zizi la ng'ombe hapo [emoji849][emoji849][emoji849]
Ndio limewaka moto hivyo mkuu, me nikajua ni la mafuta [emoji848][emoji848][emoji848]Hivi hamja-notice hilo tank la fresh water [emoji2961][emoji2961][emoji2961] maana sijaona mkilijadili. [emoji23][emoji23][emoji23]
nawe... wacha kuchanganya madesa anaongelea tank hapo Kangemi/Pipeline slum wewe unaongelea "tanker" the truck that overturned!Ndio limewaka moto hivyo mkuu, me nikajua ni la mafuta [emoji848][emoji848][emoji848]
Sorry, this will be the first in Southern of Sahara, pigs makofi tafadhali, [emoji23][emoji23][emoji23]Bullet train in Africa iko Morocco pekee wacha kujitia hamnazo kilaza, mbona mnapenda kuota ndoto mchana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yenu ni ya kawaida tu., 160KM/h max.., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyayo estate has 4774 units and each unit hosts a family house does that add up to 3000???? Anyway now there are more than 500 similar to nyayo but now kinda smaller.... Slums ni kawaida in any quickly developing city and that's due to rural urban migration and za Kenya NGO pay guys sometimes wasihame ndo wapate pesa za donors so it's complicated but apart from that this city is one hell of a city it's doing good for itself ukiwa unaishi mbali na hizi slums you will sometimes forget they existYour largest state is nyayo which accommodates only 3k Nairobians
Majority mpo humu na ukitaka kuprove angalia density ya takataka inaendana na density ya producers π π π π
View attachment 2291322View attachment 2291323View attachment 2291324View attachment 2291325View attachment 2291327View attachment 2291328View attachment 2291329View attachment 2291330View attachment 2291331View attachment 2291332
Ukweli imekufinya penyewe, now u know size yenu, zoea bana π π π π π .,Nilishajua naipori mfuga fisi peke yake hawezi bila msaada wa mombasa π π π π
Subiria bullets trains zinakuja, punguza wivu kidogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ile train ya generator tuliona ikifanyiwa testing ndo bullet train na cables hunging from above like a sick bed ilienda 40km/h bila hata coaches [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wanaishi na adabu na hiyo E class ime-park barabarani? E class mbona Mercedes ya kawada?View attachment 2291367
live picture just from visiting a friend Ona vile watu wanaishi na adabu na hapa ni Eastlands.... Dar having gated communities is a pipe dream
Sasa wewe ni tahira, as u guys put it., πππππππSorry, this will be the first in Southern of Sahara, pigs makofi tafadhali, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Umejieleza vizuri sana. Ila hujazungumza kuhusu mambo ya afya. Watu wengi masikini hapa Africa wanaishi mbali na hospitali na pia wengine hawana nauli wala pesa ya kulipia matibabu. Unalizungumziaje hili swala? Kwa nini mamilioni ya watoto wadogo chini ya miaka mitano hapa Afrika bado wanafariki kwa preventable diseases kama Malaria? Huu ni ugonjwa ambao una tiba.Kwanza majority ya wale wanaokuwa classified kuwa wanaishi in poverty wengi wao wako vijijini.
Pili definition ya living below poverty line ni nini? Does it pertains to a certain level income or expenses at a given timeframe?
If you count on expenses as it is usually calculated; a total cost of all the essential resources that an average human adult consumes in one year, the largest of these being rent required for accommodation. Sasa rudi kwenye African context majority of people earmarked living in poverty are found in rural areas sasa niambie wanao rent houses kijijini ni percent ngapi ya rural population?
Rent huku Africa and at most Tanzania iko applicable mijini to a great extent vijijini watu wana nyumba zao hata kama za udongo accommodation kwao is out of the equation.
Kwahiyo you can see hawa wazungu wanatuletea factors ambazo ziko associated na mazingira yao na kutaka ku apply hata huku kwetu kitu ambacho sio sahihi. Mfano mzuri ni zile prescriptions za IMF na WB in the 80s zilivyoturudisha nyuma simply because they were not compatible to African social and economic environment.
Lastly, utaona in rural areas watu wanakula organic foods that are expensive in first world countries, pia sijaona watu wakitembea uchi vijijini kama nguo ni shida.
We Africans need to have our own version of indicators to monitor our development.
Note: Ni Eastlands, za kawaida ni lazima.,, π π πnawe... wacha kuchanganya madesa anaongelea tank hapo Kangemi/Pipeline slum wewe unaongelea "tanker" the truck that overturned!
Ikifika wapi DON YF? Maana inaenda mbali, kituo gani sema niandike kwenye kumbukumbu yangu [emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja ifike na ienze kazi kabla ya kunitag, I said tag me SGR train ikifika., hizi [emoji116] [emoji116] pambuio zenu sitaki bana[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2291319
Mbona hawa wajinga wajinga wanakutoeni kwenye reli na nyie mnajaa? Hayo mambo ya Durban cjui jozi ya nn humu mkuu, hapo wakikutoa kwenye reli na ww ukajaa wenzako wanajitangazia ushindi ambao hawana, tangu lini miji ya Kenya ikawa compared to miji ya SA? Labda kwenye ma slums tu. Unawezaje ku compare mji wenye electrifitried railways tangu mkoloni na mji ambao hata BRT hauna? Mji hauna hata maji unawezaje ku compare na miji kama Durban na Pretoria? Acheni hizo maneno wazee zinatia kinyaa.Hakuna kitu chochote similar chenye Nairobi inaweza kaa kwenye sentence moja na Durban and that's why nakwambieni maneno yangu, hata GDP tuliangalia Durban has $80+ billion hii ni uchumi kama ya NAIROBI+ 15 more towns of Kenya , any way nakuja na picha na video za Pretoria