joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Tofauti ya South Sudan na Kenya kwenye insecurity ipo wapi?, angalia katika "tanks" duniani Kenya na South Sudan hampishani Sana! Kenya No.125 na South Sudan 131[emoji38][emoji38][emoji38]Hata before hizo nchi zijiunge na EAC bado tulikua tunafanya bishara nao chini ya bilateral agreements. EAC naweza ilinganisha na EU, one country different systems, sasa vile tuliruhusu unstable shitholes zijiunge tumeipunguza nguvu diplomatically na socially.
Ww kama mtanzania wa kawaida hauna interaction yeyote socially na S.sudan ambayo ni dead weight tunawabeba.
Resolutions zote zitapishiwa hapo Arusha zitakua useless juu S.sudan na Drc hazina serikali ya kuzi- enforce au ku- implement.
Je Tokea mmelipeleka jeshi lenu kongo nini cha maana mmekifanya huko kongo? Au mmeenda kutalii?Nyie mlipigwa mapanga kule, hamuna lenyu., wacha uone vile tunachangamkia fursa nyie mkikenua meno na kuzubaa kwa beach kule pwani zenu., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku hizi husikii tena wakitaja Ngorongoro, wakenya zaidi ya 60 walikamatwa Kama wahamiaji haramu hivi Sasa wananyea debe mahabusuJamaa wa kuchonganisha Masai wa Loliondo!
Tokea wapeleke jeshi lao Congo hadi leo hakuna cha maana wanachofanya[emoji23][emoji23][emoji23]nenda kawaulize congo kwann wanaigopa sana tanzania na siku zote wanamsemo wao wanakwambia “tanzania bandugu yetu”[emoji23][emoji23]
I have learnt, thanks for the info brother.Namaanisha pitia hayo majengo uone! Au wewe unajua kubomoa tu sio? Rehabilitation na renovation na upgrade si maneno unajua? Kuna pia Hotel 77 sasa ni Gran Melia! Bia hotel ya Verde Zanzibar ilikuwa Bwawani kabla na hata KIA kabla ya modernization!
You are a joker.Hawaiyogopi, pia wanaita Kenya, waganda, Burundi bandugu, it's just a cliche'.. jiulize mbona wanajazana Kenya kuliko Tanzania?
Acha kelele hapa ufanyaji wa biashara utakuwa rahisi sana between RDC na partner states na next time acha kuzarau nchi nyingine maana hiyo ndio shida yenu kubwa.Hata before hizo nchi zijiunge na EAC bado tulikua tunafanya bishara nao chini ya bilateral agreements. EAC naweza ilinganisha na EU, one country different systems, sasa vile tuliruhusu unstable shitholes zijiunge tumeipunguza nguvu diplomatically na socially.
Ww kama mtanzania wa kawaida hauna interaction yeyote socially na S.sudan ambayo ni dead weight tunawabeba.
Resolutions zote zitapishiwa hapo Arusha zitakua useless juu S.sudan na Drc hazina serikali ya kuzi- enforce au ku- implement.
Safiri ujionee acha kuja na hypothesis za kibera.Ujinga ni pale unapoita barabara katikati ya mji highway sijui main road
Sasa tutaanza kuipigia debe Somalia ijiunge na EAC.DRC, South Sudan, na Kenya zote zinafanana kwa insecurity, Tribalism and corruption, nini tumekosea?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wacongo wamejaa sana bongo pale kariakoo mpaka wakapewa mtaaHawaiyogopi, pia wanaita Kenya, waganda, Burundi bandugu, it's just a cliche'.. jiulize mbona wanajazana Kenya kuliko Tanzania?
Posta inanyumba 3?we ni mjinga bure kabisaIle posta ya nyumba tatu refu?
Does dar have a defined cbd?
Mshaanza kupandikiza picha za uongoTunawaambia kila siku muwache kula tumbiri hamuskii.View attachment 2290310
Wewe uliyetembea mbona bado uko na ujinga ya kuita street eti highway?Safiri ujionee acha kuja na hypothesis za kibera.
[emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe Lazyland Republic ina lower HDI kushinda Uganda despite Uganda having a lower gdp per capita than Tanzania. Tanzania ni middle income lakini Uganda ina higher HDI kuishinda despite Uganda still being a least developed country. Sijui nani aliwaroga. Gap kati ya Tanzania na Kenya ya HDI ni kubwa mpaka inakuwa kama jokes.
View attachment 2290341View attachment 2290344View attachment 2290349
tuusan yaani Uganda wamewashinda kwenye HDI? Nimeshangaa sana. Yaani mnapigwa mpaka na LDC kwenye HDI?
This three blue towers.. Sasa nmekua mjinga kwa kusema ukweli?Posta inanyumba 3?we ni mjinga bure kabisa
Wataelewa tuVAR kutumia ligi kuu ya vijana U20..
To be controlled by Azam, sio CAF wala FIFA