Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi hawa watu hata wanaelewa kuwa hiyo michuma wanayoiongeza inapunguza stability? Kwenye mwendo wa kasi inakuwa ngumu ku-handle, ndiyo maana ajali za matatu ni nyingi.
 
Watanzania wamelike hii comment kumbe mimi ndio nilifanya makosa. Hii data ya World Bank ni ya end of 2021 wakati ile ya IMF ilikuwa prediction ya end of 2022 kama vile Teargass ameeleza hapo awali. Data yenyewe haina tatizo.
Do you know why Tanzanians like you? Is because you love cheating them and massaging their ego. Siku utaanza kuwaambia ukweli then you will be their enemy number one.
 
Huyo ni mzinguaji ndiyo maana nikamuambia kuwa anareason ya kitoto
 
You should be happy about Tanzanian 2019-2020 economic growth, most countries were on a downward growth but at least Tanzania grew by $1B.
 
Can't you see the gap between Kenya and Tanzania keeps on widening yet you are here talking about time?. If the gap was narrowing then we could be talking about a matter of when.
Uwepo wa gape si tatizo mngekuwa na economy ya kina China,japan,US hapo ndiyo tungekuwa tunawazia namna ya kufika huko ila siyo kwa uchumi mdogo uchwala mlio nao tuseme kwamba mtasimama hapo milele,
Ndiyo maana nikakuambia suala la mda tu,mda ndiyo utaongea sababu hamna kitu cha maana ambacho kinafanya mtuzidi kwa upande wa uchumi tuna vitu reserve vingi sana vyakupaisha uchumi wa Tz..

Uzembe wa serikali ililala miaka ya nyuma mbali na changamoto
 
Kwahyo top ten zenye gdp kubwa bado Nigeria ndio kinara na wa mwisho ni Tz mana cote d voire na Ghana wametukalia kooni sio Poa
 
Your point is understandable but right now there's no cause for alarm since I know that your reserves are controlled by whites and Tanzania will never enjoy the benefits of those reserves. If I may ask, do you think the total export from Tanzania is less than $10B annually as showed by govt? That's if we combine both minerals, agricultural products and services. The answer is "NO" because most of your minerals are exported through backdoor without even your government knowing. Those whites will only show you the figures that they want you to know.
 
Sasa hivi team SSH tunatembea kifua mbele kwa kuwa tumeshawakata kidomodomo sukuma gang Kwa miradi kede kede across sectors countrywide..

Hapa ni Rukwa kuna ujenzi wa VETS Mkoa,baraba kuu za Tanzania -Zambia,barabara za Mikoa,mjini and much more 👇
 

Attachments

  • IMG_20220529_114506_002.jpg
    1.5 MB · Views: 21
  • IMG_20220524_175106_500.jpg
    1.2 MB · Views: 18
  • IMG_20220529_114250_339.jpg
    1.1 MB · Views: 23
  • IMG_20220710_103839_940.jpg
    981 KB · Views: 21
  • IMG_20220710_103852_802.jpg
    981.3 KB · Views: 23
  • IMG_20220712_140112_250.jpg
    1.3 MB · Views: 23
  • IMG_20220712_140134_972.jpg
    1.2 MB · Views: 26
  • IMG_20220712_140218_262.jpg
    1.1 MB · Views: 26
  • IMG_20220712_140221_939.jpg
    1.2 MB · Views: 23
  • IMG_20220712_140226_538.jpg
    1 MB · Views: 21
  • IMG_20220712_140305_597.jpg
    1.3 MB · Views: 22
  • IMG_20220712_140306_748.jpg
    1.3 MB · Views: 25
  • IMG_20220712_140536_183.jpg
    1.1 MB · Views: 23
  • IMG_20220529_114457_067.jpg
    1.4 MB · Views: 22
Kwahyo top ten zenye gdp kubwa bado Nigeria ndio kinara na wa mwisho ni Tz mana cote d voire na Ghana wametukalia kooni sio Poa
Tanzania is not in top 10.

1. Nigeria
2. South Africa
3. Egypt
4. Algeria
5. Morocco
6. Ethiopia
7. Kenya
8. Ghana
9. Angola
10. Cote D'Ivoire
 
Do you know why Tanzanians like you? Is because you love cheating them and massaging their ego. Siku utaanza kuwaambia ukweli then you will be their enemy number one.
Tony254 mbona hawa washamba wanapenda kuingilia uhuru wako wa kujieleza? Yani Wakenya wote wanamuona Tony kama mtu wa kujipendekeza kisa tu anaongea ukweli anaoujua na kuuamini yeye.

Mnataka Tony aamini kwamba Tz economy ni $67b wkt anajua ukweli kwamba Tz inailisha Kenya? Anajua fika Tz inafanya miradi mikubwa na yenye thamani kubwa kuliko miradi yote inayofanywa na nchi za Afrika mashariki combined?

Mnataka Tony aamini uongo wa wazungu wenye chuki na Tz wkt anajua Tz inatekeleza miradi ya maendeleo na mikubwa kama JNHPP tena kwa pesa za ndani?

Mnataka Tony aamini uongo wa makaratasi wkt anajua Tz haisumbuliwi na njaa? Wakati mwingine Tony unatakiwa kuwa mkali ili wajinga wajinga kama hawa wasikiguse guse hovyo na kukutoa akili, yn ww hauko independent kabisa, ukitoa mawazo yako wanakuambia unajipendekeza wakati wao wakiwa twitter wanaisifia Tz zaidi ya ww unavyoiongelea kwa mazuri wkt mwingine.

Ifike wakati tuheshimiane humu ndani kama ukiona mtu katoa speech hukubaliani nayo basi mkosoe kwa hoja na sio kumtoa akili mtu mzima na akili zake.
 
That water is guarded by a treaty, the Nile Treaty.
Were the Luo people involved in signing up of that treaty?
Secondly, it is a shared resource so Kenya does not have complete control over it unlike your minerals which are the property of Tanzanians and Tanzanians alone
Stop being a buttlicker, people who live in the area have the rights to use the water, to hell with colonial treaties.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…