joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
For Kenyans this is more than enough, even if people are still going to beds hungry and majority can't afford two meals a day and 14M Kenyans are in need of food aid, it doesn't matter to you[emoji23][emoji23]
Huko ol kalou next to aberdare ranges, dundoori can be 4°cAnd this is Njombe which is colder than Limuru au Njombe huitaki wewe? Tatizo lenu kubwa mnapoambiwa Dar kuna joto basi mnadhani Tz kuna joto, for your information Kenya is 10× hotter than Tz because most of Kunyaland areas are semi desert or desert at all. Njombe hii hapa kama huitaki nambie [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2287727
Hahahaha, Kwahiyo tutumie data zilizopo, kwasababu hata Kenya hawajataja under five ambalo ndilo kundi lenye kuathirika zaidi, wao wametaja watu wazema Kenya.He discredited the report, sema tu unamtetea. secondly, 31% ni under five years. Hapo hatujajua data ya watu wazima, and those above five years and below 18 years
Wee kaa ukijua hakuna siku shetani ataja mshinda mungu mkiwa na geza ulole, what i mean is nyinyi ni mashetani, ibilisi wakubwa sana nyie[emoji1787][emoji1787]Nimeona, lakini bado haithibitishi kwamba Kenya pekee inazalisha chai ya $1B per year.
Kuhusu Mimi kupinga uwezo wenu wa kuzalisha chai yenye thamani kubwa, hapo sijawashambulia au lushawishi watu wengine waichukie Kenya, wakati ninyi wakenya huwa mnaongoza na kuwashawishi watu au nchi zingine zichukie Tanzania.
Ukweli hii tabia yenu ya kutupakazia na kujaribu kutuchafua mara kwa mara Kama mlivyofanya ktk kipindi cha Corona, lile la dada wa Nigeria kule Zanzibar na kule Ngorongoro, ndivyo chuki Kati ya Kenya na Tanzania inavyozidi kuongezeka.
Sikufichi na Wala sitaki kuwa mnafiki katika hili, kutokana na vitendo vyenu vya lutukandamiza na kutaka kutudhalilisha kila kunapotokea tatizo huku Tanzania, chuki dhidi ya Kenya imeongezeka Sana, ombi langu kubwa kwa Sasa ni kuona mnachinjana katika uchaguzi unaokuja
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Darkness! 😂 😂 😂 😂 😂Wee kaa ukijua hakuna siku shetani ataja mshinda mungu mkiwa na geza ulole, what i mean is nyinyi ni mashetani, ibilisi wakubwa sana nyie[emoji1787][emoji1787]
Hata Mimi sikuwa nikijua kwamba wakenya mpo na roho mbaya na chuki dhidi ya Tanzania kiasi hiki ninachoshuhudia hivi Sasa.Aisee sikujua una roho mbaya hivyo.
This is Chalbi Desert in Marsabit county, northern Kenya. Tuonyeshe sehemu kame kama hii hapo DodomaHapo ndipo unapokosea Tony, Mimi nilitegemea ungeuliza ni kitu gani kimefanyika Dodoma ili kupunguza athari ya ukame, wewe bado unataka kuonyesha upinzani na kuonyesha Kenya is always a victim and nothing it can do
1)TukisemabTanzania tumeweza kuwadhibiti terrorist kutoka Mozambique kuishambulia Tanzania, mnasema hao sio sawa na Alshabab
2)Tukisema tunaweza kuzalisha chakula cha kutosha, mnasema huko ni jangwa ndio sababu mnakufa kwa njaa
3)Kwanini sisi tunajenga reli ya umeme "cheaper" kuliko ninyi, eti kwasababu Tanzania ardhi ya serikali.
Badilikeni muanze kujifunza kutoka kwa waliofanikiwa., Sio lazima ukame wa Dodoma na Turkana ufanane, lakini ni lazima ukubali kwamba uwekezaji mkubwa umefanyoka Dodoma kupambana na Ukame, na hivi Sasa mifumo ya maji toka ziwa Victoria ipo mbioni kufika Dodoma, 700km away from Mwanza.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Egypt wana mto Nile ambayo ina maji mengi ajabu. Northern Kenya haina mto hata mmoja. Uwe unatumia akili wakati mwingine unapojibu haya mambo. Usiwe unakurupuka hovyo hovyo tu.Hata Kenya hakuna sababu ya kuwa masikini kwa kisingizio cha Jangwa, Egypt 98% ni jangwa lakini ni wazalishaji wakubwa wa Michele. Sio lazima kilimo
Kenya Kuna bandari, Kuna ziwa Victoria, Kuna skilled labour, Kuna ardhi ya kutosha kwa uzalishaji wa viwanda, Kuna mafuta ya kutosha, vipi mnakufa kwa njaa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Data ya Kenya imetaja watu. All the people affected by malnutrition is in that report. It's clearly written 14 million people, not children or adultsHahahaha, Kwahiyo tutumie data zilizopo, kwasababu hata Kenya hawajataja under five ambalo ndilo kundi lenye kuathirika zaidi, wao wametaja watu wazema Kenya.
Kwa taarifa yake ni kwamba, watoto wenye umri chini ya miaka 5 ni 12% ya watanzania 60M, hiyo ni Kama 7M, kwahiyo 31% ya 7M ni Kama 1.3M
Sasa linganisha Kati ya 1.3M na 14M[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nguvu nyingi mnazotumia kuikandamiza Tanzania pale mnapopata nafasi, mngetumia japo nusu tu kuwekeza katika kilimo cha umwagiliaji, Kenya njaa ingekuwa ni historia.Hizi chuki zako zingekuwa zinatranslate kuwa baraka kwa nchi yako, Tanzania ingekuwa imeendelea sana. Too bad it doesn't na number bado mnasoma [emoji23][emoji23]
Umejilaani tayari, linyani halioni kundu lake 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Hata Mimi sikuwa nilikua kwamba wakenya mpo na roho mbaya na chuki dhidi ya Tanzania kiasi hiki ninachoshuhudia hivi Sasa.
Kumbuka kwamba hapa duniani utalipwa kwa kadri na jinsi unavyowatendea wengine
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
River Nile cuts across Egypt from North to South. Northern Kenya has no single permanent river in it and no lakes except lake TurkanaEgypt wana mto Nile ambayo ina maji mengi ajabu. Northern Kenya haina mto hata mmoja. Uwe unatumia akili wakati mwingine unapojibu haya mambo. Usiwe unakurupuka hovyo hovyo tu.
In fact Lake Turkana doesn't even count because it is salty and its waters cannot be used for agriculture.River Nile cuts across Egypt from North to South. Northern Kenya has no single permanent river in it and no lakes except lake Turkana
Hizo nguvu tumeziweka katika kuendeleza nchi yetu, ndio maana tumewashinda kwenye data zote muhimu there's is to show. Data ambazo you spend the whole day disputing because the reality is is too glaring than your hatredNguvu nyingi mnazotumia kuikandamiza Tanzania pale mnapopata nafasi, mngetumia japo nusu tu kuwekeza katika kilimo cha umwagiliaji, Kenya njaa ingekuwa ni historia.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
That's one point I forgot to mention. It is too salty even for domestic useIn fact Lake Turkana doesn't even count because it is salty and its waters cannot be used for agriculture.
Mkiacha ujinga wenu na chuki zenu dhidi ya Tanzania, tutaishi kwa amani Kama tunavyoishi na Zambia, Rwanda, Uganda, Burundi, Malawi na DRC, ila mkijaribu kutuchokonoa Kama mlivyofanya Ngorongoro, jiandaeniWee kaa ukijua hakuna siku shetani ataja mshinda mungu mkiwa na geza ulole, what i mean is nyinyi ni mashetani, ibilisi wakubwa sana nyie[emoji1787][emoji1787]
ukiingia online hiyo 3) wanadai ardhi ya serikali GoT huwa hawalipi fidia kwa wananchi! jamaa ni wapuuzi kupita maelezo!Hapo ndipo unapokosea Tony, Mimi nilitegemea ungeuliza ni kitu gani kimefanyika Dodoma ili kupunguza athari ya ukame, wewe bado unataka kuonyesha upinzani na kuonyesha Kenya is always a victim and nothing it can do
1)TukisemabTanzania tumeweza kuwadhibiti terrorist kutoka Mozambique kuishambulia Tanzania, mnasema hao sio sawa na Alshabab
2)Tukisema tunaweza kuzalisha chakula cha kutosha, mnasema huko ni jangwa ndio sababu mnakufa kwa njaa
3)Kwanini sisi tunajenga reli ya umeme "cheaper" kuliko ninyi, eti kwasababu Tanzania ardhi ya serikali.
Badilikeni muanze kujifunza kutoka kwa waliofanikiwa., Sio lazima ukame wa Dodoma na Turkana ufanane, lakini ni lazima ukubali kwamba uwekezaji mkubwa umefanyoka Dodoma kupambana na Ukame, na hivi Sasa mifumo ya maji toka ziwa Victoria ipo mbioni kufika Dodoma, 700km away from Mwanza.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app