Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uchumi wa Tz kama utaangalia investment iliyofanya kwa hii miaka 10 kuja juu sio tu ni $67b wala $77b ni zaidi ya hapo maradufu, wewe wala isikuumize mana hata cc Watz haituumizi labda Watz wapumbavu wanaojali makaratasi kama Wakenya, cc tunachofurahi ni kwamba tunafanya miradi yenye thamani kubwa kuliko miradi inayofanywa na nchi zote EA combined na hili bomu lazima lilipuke whether World Bank or IMF accepts it or not.
 
World Bank nao wana ujinga. Sasa Ethiopia wametupita vipi na walikuwa na vita huko kwao last year? Anyway Tanzania at $67 billion is really shocking coz that is almost half of Kenya's Gdp now.
Hiyo GDP ya Tz imeganda hapo kwa mwaka wa kumi sasa na wala hatuna shida nayo as long as GDP sio maendeleo basi wacha ikae hapo hapo ila on ground ndio mtajua cc ni kina nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu, katika hili ungeshauri serikali ifanye nini kwa upande wake?, hebu taja vitendo(,activities) ambavyo unahisi serikali ingepaswa ifanye katika kilimo bila kushindana na wananchi wake na private sector.

Mkuu kumbuka kwamba Kama serikali itajiingiza Moja kwa Moja katika uzalishaji mazao na ikafanikiwa, maana yake ni kwamba 75% ya watanzania wanaotegemea kilimo watapoteza ajira zao.

Serikali jukumu kubwa ni kujenga mifumo ya umwagiliaji maji katika maeneo ambayo Kuna maji na ni tambarare, kitu ambacho serikali inajitahidi sana na inaendelea kufanya hivyo kulingana na uwezo wa uchumi wetu, hivi Sasa hapa Afrika katika kilimo cha umwagiliaji, tunazidiwa na Egypt, Nigeria na South Afrika pekee (The giants of Africa)

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
pia huyu nae ni great thinker🙄🤔😂😂
 
He discredited the report, sema tu unamtetea. secondly, 31% ni under five years. Hapo hatujajua data ya watu wazima, and those above five years and below 18 years
 
Tony you are confusing these things. World Bank just released data for last year but IMF released projections for this year. Those are two different years. You have to wait for next year's data from WB to see if there's much variance between the two.
Okay. Thank you. I stand corrected.
 
Na ndio sehemu wakifika wanapata subscri wengi
 
Picha za 90s mpya hizi hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2287747
Wewe ni mjinga sana. Hizi tabia zenu za kukana kila kitu mtaacha lini?

Unasema hiyo ni picha ya kitambo wakati hilo jengo la Mzizima Towers is clearly visible in the middle of the pic and we all know hadi kufika sasa bado ujenzi haujaisha. Sasa inakuwaje tena ya kitambo bongolala?
 
Wewe tatizo lako huwa unapuuzilia mbali hizi data za World Bank na IMF na kutoa data zako mwenyewe za kichizi. Sasa nani ataamini data za The Best 007 na awache kuamini data za World Bank? Huwezi kusema kwamba gdp ya Tanzania ni $150 billion na tukuamini. Tutakuona kichaa. Kwanza kichaa anayetembea uchi barabarani.
 
Cha ajabu unaweza kukuta budget ya kenya ya kilimo iko stagnant ama hata imepunguzwa pamoja na njaa hii ndio utajua akili zao zilivyo.
Mkuu tatizo sio budget, kwasababu pesa ni kiwezeshaji muhimu lakini kunahitajika "management", skilled man power na usimamizi wenye "commitment", Hilo ni tatizo kubwa kuliko budget.

Kama mtakumbuka katika kipindi cha Magufuli, Tanzania tumefanikiwa kufanya Mambo mengi kwa kutumia bajeti ndogo tuliyonayo, kilichobadilika kilikua ni usimamizi na "Commitment only". Kumbuka 50% ya budget ya Kenya huishia mifukoni mwa watu binafsi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Munadharauliwa sana kiukweli, kwa vile mnajibeba, mko na kaushamba flani, hakuna mkenya anaeza tamani kua kama nyinyi, usijitekenye bana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Nilikuambia kwamba sio kila kitu hapa ni ligi. Inferiority complex iltakuuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…