Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bora avarage ya 160km/hr hiyo yeni 120km/hr, basi kuna uwezekano wa kutembea 60km/hr [emoji14] [emoji14] [emoji14] 😛
Zile mbwembwe zote eti "first buret train in africa" kumbe itakua inapiga on average 120-130km/h
 
nchi ya GDP inaumbuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa wamajikamatisha wenyewe. 14milion people are under nourished and at the same time 14milion people live in extreme poverty........kama mtu unaakili unajua kabisa kuna uongo.

Mimi nasema at least 30 million live in extreme poverty in Kenya!!
 
Wakenya hatujawahi pinga kwamba Tanzania mumebarikiwa na mwenyezi mungu kwenye natural resources. Tatizo lenu ni lazyness uliopitiliza. Mna mbuga za wanyama nzuri, dhahabu, mazao ya kilimo nyingi kwa sababu ya ardhi yenye rutuba e.t.c lakini bado Kenya inawashinda kwenye gdp na gdp per capita. Yaani mna national parks nne kwenye hii top 25 list ya best national parks in the World na bado nyinyi ni masikini wa kutupwa? Aisee sijui mlirogwa na nani?

Tanzania is home to four travel destinations that have been ranked among the best in the world by TripAdvisor.

Here is the List:
1. Arenal Volcano National Park, Costa Rica

2. Jim Corbett National Park, India

3. Serengeti National Park, Tanzania

4. Maasai Mara National Reserve, Kenya

5. Kruger National Park, South Africa

6. Fiordland National Park, New Zealand

7. Denali National Park and Preserve, Alaska

8. Kilimanjaro National Park, Tanzania

9. Westland Tai Poutini National Park, New Zealand

10. New Forest National Park, Hampshire, England

11. Snowdonia National Park, Wales

12. Banff National Park, Alberta

13. Cilento and Vallo di Diano National Park, Italy

14. Jasper National Park, Alberta

15. Grand Canyon National Park, Arizona

16. Tarangire National Park, Tanzania

17. Ngorongoro Conservation Area, Tanzania

18. Freycinet, Australia

19. Vatnajökull National Park, Iceland

20. Grand Teton National Park, Wyoming

21. Bryce Canyon National Park, Utah

22. Plitvice Lakes National Park, Croatia

23. Chapada dos Veadeiros National Park, Brazil

24. Uluru-Kata Tjuta National Park, Australia

25. Zion National Park, Utah

Cc joto la jiwe
 
Mchina mwamba sana anajua kufanya kiini macho kwenye stations lakini kwenye miundombinu ya msingi ambayo haiangaliwi kwa jicho la kawaida bali la kitaalamu huko ndio kapiga ile mbaya.
 
Kadanganye wenzako wasiojua vitu huko.
 
Acha ujinga reli ambayo sio continuous welded cannot speed above 120kph hiyo ndio top speed but average speed ni 80kph for passengers and 60kph for cargo.
 
Haiwezi kua expanded, kwani mtatumia nuclear trains ndio speed iongezeke?
Wewe hujui kitu kuhusu electric trains zungumzia tuu trains za diesel.

Electric trains zinatengenezwa na speed tofauti tofauti depends na mahitaji ya mteja. Kama mteja atahitaji trains za speed ya juu you just buy faster trains provided your rail supports that speed.

For your info TZ sgr supports 250kph. But that speed we dont need it now we are quiet content with 160kph for starters. Watoto wetu ndio watakao nunua trains za above 160kph kutokana na mahitaji yao hapo baadae.

Halafu ujue kama reli sio continuous welded sahau speed above 120kph
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…