The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,997
Kiswahili kimeanzia Kenya alafu Wakenya hawakijui.Kwanza asante kwa kukubali kwamba kiswahili kilianzia kenya, ikija kwa ku- spread kiswahili siwezi pinga mchango wenu. Mimi personally huwezi nipata nikidharau mtu kisa hajui kuongea kizungu, hio ni slave mentality, nikiona mkenya mwenye hio tabia hua nasikitika sana.
Hawa jamaa nilivyoona title ni pipeline nimeamini ni waongo sana . Waliweka street iko na rami wakasema pipeline imekua transformed kumbe waongo . Yaani ukiangalia hapo hata road iko hoehae . Yaani wakunya mnapenda sifa na uongo usio na maana sana . Kipindi cha teknolojia uongo hautakusidia chochote halafu wakunya wengine wanajua ukweli lakini wamemute. Kumbe Tony alisema kuna mengine mengi huko Nairobi yako hidden kumbe ni kweli . Hongereni kwa kua waongona hii je[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
Hii pipeline ni uozo na ndiyo sehemu chafu zaidi Afrika kama sio duniani, huwa nasema hapa kwamba Kibera is overrated na wala sio chafu kiivyo kulinganisha na ma slums mengine ndani ya Kenya.na hii je[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
Alafu wakakaa kimya kama sio wao vile mbwa hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23] kelele zote hizo.. bado hamuendi popote [emoji23]
[emoji23][emoji23]
Cape town ulienda lini, tupe ushahidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ipo siku watakelana humu na mmoja wao ataamua kama mbwai mbwai ndipo utagundua Kenya ni zaidi ya uozo.Hawa jamaa nilivyoona title ni pipeline nimeamini ni waongo sana . Waliweka street iko na rami wakasema pipeline imekua transformed kumbe waongo . Yaani ukiangalia hapo hata road iko hoehae . Yaani wakunya mnapenda sifa na uongo usio na maana sana . Kipindi cha teknolojia uongo hautakusidia chochote halafu wakunya wengine wanajua ukweli lakini wamemute. Kumbe Tony alisema kuna mengine mengi huko Nairobi yako hidden kumbe ni kweli . Hongereni kwa kua waongo
Kuna kitu inaitwa repecharge kaa kwa kutulia.Alafu wakakaa kimya kama sio wao vile mbwa hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo picha zimekua online way before hio tarehe na zishaletwa hapa ndani na watanzania kwahio admin wahio page anatafuta engagement kwa wakenya ambao wengi hawajawai ziona hizo picha.Hivi pipeline humu mlisema ishakarabatiwa sasa mbona leo nation wanaonyesha hali bado ni tête . Hivi kwa nini mnapenda kutupa uchafu hovyo wakunya?View attachment 2286666
Forget about sports for now and deal with basic human need "Food"Ni 15 aside, and for your info ni Namibia which is a strong team, hio has been a hustle for us to crack but one day we will
Duuhhh aisee.Pipeline inazidi kuwatesaView attachment 2286800View attachment 2286801
Lete picha ya leo ya hilo eneo, mnaumizwa na mauchafu yaliyojazana kwenu na kuyatoa hamuwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo picha zimekua online way before hio tarehe na zishaletwa hapa ndani na watanzania kwahio admin wahio page anatafuta engagement kwa wakenya ambao wengi hawajawai ziona hizo picha.
Mm nawapa kila la heri Wakenya kupambania nchi yao mwaka huu, yale yaliyotokea Sri Lanka yatokee Kenya mana hawawezi kukubali kikundi cha watu wachache kujimilikisha Kenya ilihali majority of Kenyans die of hunger.
Tony254 mnapaswa kulingana na hawa mnaowaita low class citizens kuiwajibisha serikali yenu, kwakweli nchi yenu ni miongoni mwa nchi zenye uongozi wa hovyo Sana hapa duniani, I saw this coming on this way many years back.
Don YF
Nicxie
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Pipeline inazidi kuwatesaView attachment 2286800View attachment 2286801
nchi ya GDP inaumbuka🤣🤣🤣
Tony254 mnapaswa kulingana na hawa mnaowaita low class citizens kuiwajibisha serikali yenu, kwakweli nchi yenu ni miongoni mwa nchi zenye uongozi wa hovyo Sana hapa duniani, I saw this coming on this way many years back.
Don YF
Nicxie
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app