Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka kufananisha utendakazi wa JPM na huyo mulevi muongo wa gatundu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Vitu alivyo vianzisha tu ndani ya miaka mitano itamchukua huyo mulevi wa gatundu miaka 100 kuanzisha.
Kama kuwadanganya kwamba miradi zenu mnafanya ba hela za ndani sivyo?
 
Kama kuwadanfanya kwamba miradi zenu mnafanya ba hela za ndani sivyo?

Leta ushahidi kuwa mradi fulani alisema pesa za ndani huku akiwa amekopa.
Miradi aliyokopa alikuwa anasema na miradi ya pesa za ndani alikuwa anasema.
Weka ushahidi hapa maana huwa unajifanya kenge husikii hadi damu ikutoke.
Nadhani unaelewa maana ya ushahidi.
 
I concur with him, without PK Rwanda is going back to civil war madness. a smart succession plan needed.
Better leader must prepare his country for his departure, what if he does suddenly like Magufuli?.

Amekua madarakani kwa muda mrefu Sana, amekua akiaminisha Dunia kwamba Rwanda imepiga hatua katika nyanja zote kisiasa, kiuchumi, kijamii na amewafanya wanyarwanda kuwa kitu kimoja, vipi unahisi akiondoka Rwanda itasambaratika?.

Kwahiyo anahitaji Miaka mingapi tena ili wanyarwanda wawe na uwezo wa kujisimamia bila yeye?. Hiyo ni miongoni mwa tabia ya viongozi wa aina yeke
1)Mabutu Sseseseko
2)Did Amin
3)Muamar Gaddafi
4) Yoweri Musseven
5)Edwardo do Santos
6)Robert Mugabe
Ukifuatilia kwa makini historia ya viongozi wa namna hiyo, wote mwisho wao hauwi mzuri, hata baada ya kustaafu kwao kwa hiari, lakini wanapoteza heshima na wengi wanakimbilia nje ya nchi zao kwenda kuishi Kama Edwardo do Santos wa Angola

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 

Ukiandika hivi au kusema hivi ukiwa Chigali tutakusikia kwenye vyombo vya habari umejinyonga ukiwa mahabusu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
I said ORGANISATIONS. I did not limit my statement to the UN.
Is Google a UN body?
Is Microsoft a UN body
Is Avic International a UN body?
What about Coca Cola, Pfizer, Barti Airtel, IBM, Kaspersky Lab et al? Are all these and many others UN bodies?
 
So why do you agree on the number of people but not number of villages connected while both come from the same source?, Which is easy to verify between number if people connected and villages?. If you think there is mistake among the two, most likely is number of people because is not easy to know number of people rather than counting number of villages. If you get an opportunity to drive from Kenya to Tanzania, just take time to count villages and see how many are connected and those who are not, you will never talk this shit again.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…