Kwa hizi ujinga zote umetaja, Mo & Azam energy drink ndio nini? Lazima iwe ni some low class sub-standard drink. Konyagi sio common Kenya. Huku ni Tusker beer. Kwenye spirits tunakunywa spirits za kampuni inayoitwa KWAL.White dent, Mo & Azam Energy drinks, Whine, Konyagi, Transforma za umeme, Tiles, Ceramics, toka Tanzania zimejaa Kenya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
wineWhite dent, Mo & Azam Energy drinks, Whine, Konyagi, Transforma za umeme, Tiles, Ceramics, toka Tanzania zimejaa Kenya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
watu walipoteza maisha kwa kuvunjiwa nyumba zao bila fidia!Almost 30 kilometers from CBD
Dar is huge and fast developing!
Ogopa matapeli, hapa sio Ulaya!
Mjinga sana wewe kondoo, ukienda kununa bidhaa supermarket unasaidiwa, unatumia kichwa kama hanger ya meno[emoji1787][emoji1787] toka vijiweni kwanza nincompoopNafikiri hufahamu mambo mengi sana kuhusu uchumi wa EAC....ipo hivi,bei tunayowauzia nyie chakula au bidhaa yoyote ile ni tofauti na tutakayouza kwa nchi nyingine ambae sio member wa EAC
Ndio maana ata South Sudan au Congo walijiunga na EAC ili tuweze kuwasaidia kama tunavyo wasaidia nyie makapuku,mapompipo,mazoba na mafukara wakubwa hapa Africa[emoji116][emoji116][emoji116]
Kama kuna kitu Kenya hatuwezi kununua kutoka Tanzania ni unga wa Mahindi. Magufuli alijaribu kutulazimisha kununua unga wa mahindi badala ya mahindi yenyewe. Tulipokataa akaamua kukataa kutuuzia mahindi. Tukaamua kununua mahindi kutoka Mexico.Halafu ukiangalia bidhaa yao kubwa huku labda panadol,vitu vingi tulivyokua tunachukua kwao sasa hivi vinatengenezwa hapa hapa TZ,kikubwa nachofikiria serikali ingerudisha NMC iwe inanunua mazao kwa wakulima halafu hawa wakunya tuwauzie unga,sukari,maharage n.k vikiwa kwenye vifungashio
Wee mtagombana ukimuita hvyo, kuna yule aliyejenga flyover ya mfugale pale tazara Sumitomo kama sijakosea mtanirekebisha alikuwa bila hata kuulizwa alikuwa akijitofautisha na wachina anasema kabisa wao sio wachina hivyo basi wamejenga kitu quality. Yani mjapani umuite Mchina weee, tena hawana story kabisa hata wakikutana wapi iwe Airpot iwe wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wajapan waliwatawala wachina, na waliwatesa sana. Hivyo si ajabu Kwa haya.
Ni chuki za toka mababu zao.
Huwa napenda kuwazingua sana.. Mchina namuita mjapani.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anapata moto anaongeaa lugha zote.
Sasa wewe umesema twende huko and i showed you we already have representatives there, umeishiwa tu hoja kubalikama wako huko wamekusaidia nini?
Naona Ruto ameiga rangi ya CCM, naona anataka kuwalaghai Wakenya wamchukulie kama Magufuli, najua wagombea wengi wa Kenya watatumia sn jina la Magufuli kushinda uchaguzi.Hahaha wakenya tunapenda mbwembwe. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Rangi ya chama cha Ruto ni manjano. Rangi ya CCM ni kijani kibichi. Umedhihirisha wazi kwamba wewe ni kipofu.Naona Ruto ameiga rangi ya CCM, naona anataka kuwalaghai Wakenya wamchukulie kama Magufuli, najua wagombea wengi wa Kenya watatumia sn jina la Magufuli kushinda uchaguzi.
Hii picha utaizungusha hapa hadi uchoke. Hapo Ruai huwezi afford hata kiwanja cha kujenga nyumba.Ka Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2284758View attachment 2284759
Ongezea donation yenyu pia
Same story?
Same story?
Sasa kwnn liwe ni li slum no 1 duniani, unataka kuniambia hao waliolipea hiyo number hawaijui Google earth? Unaumizwa sn na uwepo wa ma slums ya Kenya lkn ndio hivyo tena kuyatoa huwezi, boresheni maisha ya Wakenya mpunguze ma slums yaliyotapakaa Kenya nzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The population of Kibra constituency (Sub-county) in which Kibera slum lies is 181,000 people as per 2019 census.
View attachment 2284987
You can read the whole report here
Kenya National Bureau of Statistics - Kenya's Top Data Site
Kenya National Bureau of Statistics is the Kenya Government's principal agency for collecting, analysing and disseminating statistical data in Kenya.www.knbs.or.ke
Sasa Kama the whole consituency ndio ina watu 181k, how many do you think reside in Kibera slum alone considering that Kibera is part of Kibra constituency? Of course less than 181k.
Achana na huyo mjinga. Yeye akina kila kitu Kenya eti tumewaiga. Did sisiemu patent the green color?Rangi ya chama cha Ruto ni manjano. Rangi ya CCM ni kijani kibichi. Umedhihirisha wazi kwamba wewe ni kipofu.
Kama anataka land Ruai akuje nimuuzie moja 100 X 100 at usd.110,000Hii picha utaizungusha hapa hadi uchoke. Hapo Ruai huwezi afford hata kiwanja cha kujenga nyumba.
View attachment 2285026
Githurai ni planned na ni apartments everywhere. You can't compare with your disorganized uswazi sprawls
Githurai
View attachment 2285029
View attachment 2285024
Uthiru ukifika utadharau hizo uswazi zenu
View attachment 2285061
Riruta sijui unawezalinganisha na uswazi gani hapo kwenu
View attachment 2285063
View attachment 2285064
Nilikuwa najadiliana na mwenzako who is sober than you are. Thanks for poking your nose but you are not welcome. Wewe weka population ya Kibera iwe hata milionini 20 ukipenda ujifurahisheSasa kwnn liwe ni li slum no 1 duniani, unataka kuniambia hao waliolipea hiyo number hawaijui Google earth? Unaumizwa sn na uwepo wa ma slums ya Kenya lkn ndio hivyo tena kuyatoa huwezi, boresheni maisha ya Wakenya mpunguze ma slums yaliyotapakaa Kenya nzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio milioni 20 wacha hasira ni over 2.5 milion.Nilikuwa najadiliana na mwenzako who is sober than you are. Thanks for poking your nose but you are not welcome. Wewe weka population ya Kibera iwe hata milionini 20 ukipenda ujifurahishe
😂 😂 😂Kama anataka land Ruai akuje nimuuzie moja 100 X 100 at usd.110,000