Of course we are not the same. Ama wewe ulidhani tuko sawa? Sisi slums zetu are in few restricted areas. Nyinyi uswazi zenu ziko kila mahali. Sasa hapo unaona tuko sawa kweli?Usilazimishe tuwe sawa,pambaneni muondoe slums hizo
Kwani hiyo chakula tunapewa bure? Mahindi zote zinazoingia Kenya kutoka Tanzania tunanunua. Sasa tukisema sisi ni tajiri tatizo iko wapi?Hivi unapata wapi ujasiri wa kuita Kenya ni nchi tajiri, nchi ambayo raia wake hawana uwezo wa kupata Milo mitatu kwa siku, waziri anajaribu kubembeleza nchi jirani ili iwatengee chakula chenu kwasababu hamna uwezo wa kupambana ili chakula kisiende South Sudan badala yake muendelee kuuziwa ninyi "at cheaper price", hiyo ndiyo nchi tajiri?.
Kwahiyo utajiri wa Kenya ni "theoretical and verbal only" lakini hausaidii wananchi Wala hauonekani popote "physically?"
Kenya katika mazungumzo na nchi jirani katika kujinusuru na kupanda kwa bei ya unga wa mahindi
Waziri wa Kilimo, Peter Munya amesema kuwa wapo katika mazungumzo na nchi jirani za Zambia, Tanzania na Uganda ili kuzuia kusafirisha mahindi kwenda nchi nyingine na kupeleka nchini humo katika juhudi mpya za kupunguza kupanda kwa bei ya unga wa mahindi, kupunguza mfumuko wa bei na kubana kwa...www.jamiiforums.com
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tanzania hamna slum,utazunguka dar yote huwezi kukuta nyumba ya mabati,udongo au nylon kama kunyalandOf course we are not the same. Ama wewe ulidhani tuko sawa? Sisi slums zetu are in few restricted areas. Nyinyi uswazi zenu ziko kila mahali. Sasa hapo unaona tuko sawa kweli?
Nafikiri hufahamu mambo mengi sana kuhusu uchumi wa EAC....ipo hivi,bei tunayowauzia nyie chakula au bidhaa yoyote ile ni tofauti na tutakayouza kwa nchi nyingine ambae sio member wa EACKwani hiyo chakula tunapewa bure? Mahindi zote zinazoingia Kenya kutoka Tanzania tunanunua. Sasa tukisema sisi ni tajiri tatizo iko wapi
Uswazi kwetu ni sehemu wanayoishi watu wa kipato cha kati huko kwenu kwahyo acha kuji-compare na sisi mtafte Mganda ndio levels zenuOf course we are not the same. Ama wewe ulidhani tuko sawa? Sisi slums zetu are in few restricted areas. Nyinyi uswazi zenu ziko kila mahali. Sasa hapo unaona tuko sawa kweli?
The population of Kibra constituency (Sub-county) in which Kibera slum lies is 181,000 people as per 2019 census.
we normally manufacture things for the entire sub saharan africa ata hadi Senegal! ... heb toa yenu ata moja yenye mna tengenezea sub saharan africa..... 😆 mfano chache tu hii.. soma hapa motherf*cker👇🏽View attachment 2284939
Ushawahi kukutana na hii kitu?
Hahaha. Sasa unataka niseme Kenya ni masikini kushinda Tanzania ndio ufurahi? Licha ya data za Kiuchumi kuonyesha kwamba Kenya ni tajiri kushinda Tanzania? Hata Qatar na Saudi Arabia zinaimport chakula na ni nchi tajiri kushinda nchi yoyote ya Afrika. Upuuzi wa wewe kuamini kwamba nchi tajiri haiwezi kuimport chakula umetoka wapi?Hivi unapata wapi ujasiri wa kuita Kenya ni nchi tajiri, nchi ambayo raia wake hawana uwezo wa kupata Milo mitatu kwa siku, waziri anajaribu kubembeleza nchi jirani ili iwatengee chakula chenu kwasababu hamna uwezo wa kupambana ili chakula kisiende South Sudan badala yake muendelee kuuziwa ninyi "at cheaper price", hiyo ndiyo nchi tajiri?.
Kwahiyo utajiri wa Kenya ni "theoretical and verbal only" lakini hausaidii wananchi Wala hauonekani popote "physically?"
Kenya katika mazungumzo na nchi jirani katika kujinusuru na kupanda kwa bei ya unga wa mahindi
Waziri wa Kilimo, Peter Munya amesema kuwa wapo katika mazungumzo na nchi jirani za Zambia, Tanzania na Uganda ili kuzuia kusafirisha mahindi kwenda nchi nyingine na kupeleka nchini humo katika juhudi mpya za kupunguza kupanda kwa bei ya unga wa mahindi, kupunguza mfumuko wa bei na kubana kwa...www.jamiiforums.com
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bongolala, mahindi tunanunua from as far as Mexico. Hata sasa hivi, serikali ishafanya order ya mahindi kutoka Zambia.Nafikiri hufahamu mambo mengi sana kuhusu uchumi wa EAC....ipo hivi,bei tunayowauzia nyie chakula au bidhaa yoyote ile ni tofauti na tutakayouza kwa nchi nyingine ambae sio member wa EAC
Ndio maana ata South Sudan au Congo walijiunga na EAC ili tuweze kuwasaidia kama tunavyo wasaidia nyie makapuku,mapompipo,mazoba na mafukara wakubwa hapa Africa👇👇👇
Hebu taja hizo finished products mnazotuuzia na ufatilize na proofWe jamaa huwa taahira kweli, hujui hata trading protocol za EAC, Huwezi kusema hutaki manufactured goods kutoka kwenye member state halafu unataka kupeleka zako huko, ukiona kuna certain goods in Tanzania from kunyaland the same goods could be traded back ili mradi ikidhi vigezo! Na ndio maana tunaongoza kuwauzia bidhaa nyingi tu finished mpaka kesho!
wasikumbue kichwa mzee we wacheke tu waenjoy maana tushawazoea ni vituko tu kila uchwaoHivi unapata wapi ujasiri wa kuita Kenya ni nchi tajiri, nchi ambayo raia wake hawana uwezo wa kupata Milo mitatu kwa siku, waziri anajaribu kubembeleza nchi jirani ili iwatengee chakula chenu kwasababu hamna uwezo wa kupambana ili chakula kisiende South Sudan badala yake muendelee kuuziwa ninyi "at cheaper price", hiyo ndiyo nchi tajiri?.
Kwahiyo utajiri wa Kenya ni "theoretical and verbal only" lakini hausaidii wananchi Wala hauonekani popote "physically?"
Kenya katika mazungumzo na nchi jirani katika kujinusuru na kupanda kwa bei ya unga wa mahindi
Waziri wa Kilimo, Peter Munya amesema kuwa wapo katika mazungumzo na nchi jirani za Zambia, Tanzania na Uganda ili kuzuia kusafirisha mahindi kwenda nchi nyingine na kupeleka nchini humo katika juhudi mpya za kupunguza kupanda kwa bei ya unga wa mahindi, kupunguza mfumuko wa bei na kubana kwa...www.jamiiforums.com
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Aliyekuambia sijui trading protocols za EAC ni nani? Wewe kaa ukijua kwamba hatukubali sukari yenu huku Kenya. Unga wenu uliosagwa pia hatuukubali huku Kenya. Tunanunua raw materials pekee ikiwemo mahindi ambayo haijasagwa. Kaulize Uganda ambao wanaumia kwa kujaribu kutuuzia manufactured goods kama maziwa ya pakiti na sukari. Lazima tuprotect industries zetu kutoka kwa low quality, sub-standard goods kutoka nchi jirani.We jamaa huwa taahira kweli, hujui hata trading protocol za EAC, Huwezi kusema hutaki manufactured goods kutoka kwenye member state halafu unataka kupeleka zako huko, ukiona kuna certain goods in Tanzania from kunyaland the same goods could be traded back ili mradi ikidhi vigezo! Na ndio maana tunaongoza kuwauzia bidhaa nyingi tu finished mpaka kesho!
Most of the goods mnatuuzia ni raw materials yaani bidhaa ambazo hazipo processed hususan mahindi. Nenda border uone mlolongo mrefu wa malorry ya mahindi kutoka Tanzania yanayoingia Kenya. Maelfu ya malorry ya mahindi yanaingia Kenya kutoka Tanzania kila mwezi hususan baada ya mama kurudisha uhusiano mwema katika ya Kenya na Tanzania. Raw materials zingine mnazotuuzia ni nyanya, vitunguu, cabbage, matunda na kadhalika. Mnatuuzia chakula kwa asilimia zaidi ya 80 ya bidhaa mnazotuuzia.We jamaa huwa taahira kweli, hujui hata trading protocol za EAC, Huwezi kusema hutaki manufactured goods kutoka kwenye member state halafu unataka kupeleka zako huko, ukiona kuna certain goods in Tanzania from kunyaland the same goods could be traded back ili mradi ikidhi vigezo! Na ndio maana tunaongoza kuwauzia bidhaa nyingi tu finished mpaka kesho!
duuuuh,kamanda umeamua kunipiga kamba [emoji2][emoji2][emoji2]BRT ya tazara ni bora x2 ya ubungo ...brt ya ubungo imejengwa kifisadi fisadi bora wangejenga sawa sawa na yatazara ...kwanza ule mwinuko wa ukuta kuwa juu sana kabla ya nguzo ya kwanza ni kosa kubwa sana maana eneo ambalo hiyo brt ipo ni mjini kabisa hivyo kuharibu sura ya mji na kuzuia mzunguko wa hewa
You've just confirmed what most of your brothers and sisters have been denying here. That middle-incomers wenu wanaishi kwenye hizi mabandaUswazi kwetu ni sehemu wanayoishi watu wa kipato cha kati huko kwenu kwahyo acha kuji-compare na sisi mtafte Mganda ndio levels zenu
kama wako huko wamekusaidia nini?Britain’s Attorney General, Suella Braverman, who has Kenyan roots, on Thursday announced her interest in succeeding Prime Minister Boris Johnson who resigned on Thursday.
Ms Braverman, whose mother is Kenyan, had earlier on said it would be of the interest of all the UK nationals if the Prime Minister steps down.
Wakenya wako huko tayari[emoji1787][emoji1787]
Serikali ipange huu mji upya tu ..hii ni aibu sanaYou've just confirmed what most of your brothers and sisters have been denying here. That middle-incomers wenu wanaishi kwenye hizi mabanda
View attachment 2285006View attachment 2285007View attachment 2285008View attachment 2285009View attachment 2285010View attachment 2285011View attachment 2285012View attachment 2285013View attachment 2285014View attachment 2285015View attachment 2285017View attachment 2285018View attachment 2285019View attachment 2285020View attachment 2285021View attachment 2285022
usijiweke kwenye kundi la matajiri angali wewe ni maskini,Kwani hiyo chakula tunapewa bure? Mahindi zote zinazoingia Kenya kutoka Tanzania tunanunua. Sasa tukisema sisi ni tajiri tatizo iko wapi?
😆😆😆😆😆 hivi, nimehifadhi haya picha, kwa matumizi ya baadae..You've just confirmed what most of your brothers and sisters have been denying here. That middle-incomers wenu wanaishi kwenye hizi mabanda