Wacha kujifanya philosopher hapa ju hujaona tanzania hapo, hakuna mtu anaweza furahia kulipwa mshahara kidogo wengine wakilipwa mingi, money is never enough.Mawazo ya kimasikini hayo, matajiri huwa wanaangalia kiasi wanachobakiza baada ya mapato na matumizi.
Kama unapata $1000 halafu unatumia $900 na mwengine anapata $500 na kutumia $200 mwisho wa siku nani tajiri?
Ndiyo maana nimesema unafikiri kimasikini. Hizo nchi ulizozitaja hazina upward social mobility kama Tanzania.Wacha kujifanya philosopher hapa ju hujaona tanzania hapo, hakuna mtu anaweza furahia kulipwa mshahara kidogo wengine wakilipwa mingi, money is never enough.
You are blowing things out of proportion to suit your own narrative.Ndiyo maana nimesema unafikiri kimasikini. Hizo nchi ulizozitaja hazina social mobility kama Tanzania.
kama unajihisi upo sahihi endelea kuamini hivyo hivyo..Nini nimesema hapo ni uongo?
No hard feelings bro.You are blowing things out of proportion to suit your own narrative.
Kwasababu sisi tulianza hivi vitu zamani pia.Bhabatron 2 machine ya zamani sana hii huwezi compare na Truebeam au Cyberknife ambazo ni state of the art machines.
Hamna kuchukuchu hapo hii sio Kunyan sgr hii ni continuous welded rail jombaa.kobe si kobe
View attachment 2282127
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1427][emoji1427] kuchukuchukuchukuchu.... https://www.facebook.com/
Mzee kinacholia hivyo sio train ni gari iliombeba Cameraman (upepo na road conditions) usiwe kilaza kiasi hicho
Naona wakenya wamekufunza kufikiria sio kuhemka kama wadanganyika wenzako.Dodoma kwa sasa hakuna foleni kama ya Nbo,izo infra zinajengwa kulingana na uhitaji sio fashion
Masharobaro watangoa machuma ya hiyo sgr. Alafu wanaagiz treni second hand so nimtumba tuIle reli ya Tanzania haijakua fenced in most parts unlike ya kenya na intermediate stations za tz sgr ni kama choo za kanjo [emoji3]
Barbara mbona mbali , hata mahindi [emoji535] wanaletewa ya msaada na waarabu wasio na fertile land pia wapo kwenye desertNa nyie mliojengewa barabara na mchina tuwaitaje?
Well put, pia county government za hizo maeneo are to blame. Low absorbtion of budget money. Kuna time Turkana county walirudisha 500 million kwa treasury as unused cash, which was govt allocation. They should plan for draught. You remember Kenya for Kenyans fund drive to help Turkana vile Kenyans send in cash kwa mpigo in support of Turkana?, then some time later, Turkana county govt returns 500m! I sware niliboeka nao mbaya!, useless leaders who lack foresight ju pesa sio issue. Maji iko kwa ground mingi sana, it's just sinking and developing boreholes to pipe water across.Huko sio kwetu lakini bado ni Kenya. Ni huzuni kuona wanapitia masaibu haya. Nimesema hapa mara nyingi kwamba serikali inastahili kuchimba boreholes kila mahali huko Northern Kenya ili kupunguza athari ya ukame. Kenya ni miongoni mwa nchi ambayo imeendelea sana ukiilinganisha na nchi zingine za Sub saharan Africa lakini kwenye mambo haya ya kuwashughulikia wafugaji wa Northern Kenya huwa tumezembea sana. Huwa nashindwa kwa nini kuna njaa Northern Kenya and yet serikali ya Kenya ina uwezo mkubwa sana wa kifedha kushinda serikali yoyote ukanda huu. KRA ina target ya kukusanya around $20 billion this financial year. Sasa sio kwamba Kenya haina pesa, pengine priorities ndio zipo wrong. Ujue hii njaa inatupea bad press, inafanya watu duniani wafikirie Kenya ni nchi masikini kupindukia na kumbe ni serikali haijali. Pengine rais ajaye atasaidia.
Raila Amolo Odinga it is.., unfortunately am not sure of him winning, Ruto ni moto!.,Yani Tanzania has one hospital that provides nearly all the important health services in a country of 60m people! Enyewe devolution imetusaudia sana sisi wakenya and whoever said health should be devolved deserves a medal 🏅