NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,315
- 19,685
So every leader who has visited Tanzania has a road named after him?Stop being a nuisance here we honor visiting leaders with road names here in Tz. We also have Kenyatta and Kibaki roads sembuse Obama? When he visited alizindua hiyo barabara mwenyewe.
Hata kioo limited uses gas to generate electricity. Many more industries are using gas to power their activities in Tz this aside electricity generated by Tanesco.Tony nilishakwambia mara nying..ukiangalia consumption ya umeme Tz ukumbuke kuna suppliers wawili
1.Tanesco
2.TPDC ..most of major industries in Pwani, Dar, Lindi and Mtwara wanapata gas kutoka TPDC ..
mfano ..Twiga cement 40MW from Songas and Dangote uses 50MW..
Dangote na Twiga Cement combined wanatumia 90 MW labda sasa hivi wanaweza kuwa wanatumia 100MW hizo ananunua from TPDC sio Tanesco...
Sijahesabia viwanda vingine vyenye gas to power vinavyonunua Gas kutoka Songas na TPDC ..
so we might be clocking 300MW alone za industries ambazo ni Gas to Electricity za viwanda zisizo pitia tanesco
Hapo nimeacha TBL na Serengeti Brewiries
Jionee hapo reference au you can search yourselfView attachment 2279931View attachment 2279932
Hata kioo limited uses gas to generate electricity. Many more industries are using gas to power their activities in Tz this aside electricity generated by Tanesco.
Ngoja crude iwe exported hakuna nchi EA itaifikia UgandaKampala ni kama hapaendelei...yani ukitake their side unatafuta stress
wakenya ni vichaa walitaka kuiona hiyo test ya hiko kichwa cha treni kiwe kinakimbia speed 10000.....Hivi mnategemea tusiweze ku double stack, na SGR yenu iwe na speed kuliko yetu...subiri muone..tutaoneshana makali tu taratibu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unajisumbua tu mkuu, yote hayo tulieleza humu ndan.. hapo wanatafuta relief tu baada ya kuumia.. walianza na kuuliza tuwaonyeshe 1km ya reli, wakaja 100km, wakaja sijui kwa umeme gani.. maswali hayatawaisha..
Hii ndo hali yao saiz..wanatafuta kuliwazwa tu kwa jinsi walivyochezwa na Uhunye[emoji23]
View attachment 2279948
Nicxie the reason why mimi huwa nasema Kenya ina CBD tatu ni picha kama hizi sasa. Hii ni picha ya Westlands pekee na tayari ina skyscrapers ndefu kushinda capital city ya Uganda. Hebu compare hii picha ya Wesstlands na ya CBD ya Kampala uone the difference
Kampala
View attachment 2279825
Westlands (Kabla ya expressway kujengwa)
View attachment 2279827
Hakuna mtu anaweza kulinganisha Kampala na Westlands. Westlands imeipiga.
Twende kwa CBD yetu ya pili yaani upperhill. Now compare Kampala with Upperhill
Kampala
View attachment 2279831
Upperhill
View attachment 2279833
Finally, twende kwa CBD ya Kenya ya tatu, hii ndio ile CBD ya zamani na ndio official Nairobi CBD ambapo ofisi za serikali zipo, bunge na supreme court. Lakini tuanze na picha ya Kampala kwanza
Kampala
View attachment 2279834
(Old) Nairobi CBD
View attachment 2279836
Sasa nikisema kwamba Nairobi ina CBD tatu nimekosea wapi manaake Upperhill, Westlands na Old CBD zote zinaipiga Kampala hands down?
Cc joto la jiwe The best 007 Geza Ulole chongchung coodip1 7seven tuusan
Ukiona wameanza kuingia kwenye vitu vya ndani kama technical specifications ujue tayari hapo wameshakubali indirectly kuhusu uwepo wa electric sgr in Tanzania ambapo hapo awali walikuwa wakijiliwaza kuwa haitakaa ijengwe kwa vibweka vyao vya tuoneshe 1cm ya sgr etc.Mlianza doubt hii project kabla mkandarasi afike site na kusema hatuwezi Jenga SGR,hatuwezi tumia nishati ya umeme,sasa naona mmehamisha maswali why now you care about the speed?capacity and other technical issues?since when your concerned about this project...wacheni kutuchosha na maswali yakijinga
Not all leaders but selected leaders mostly African ones such as Patrice Lumumba, Samora Machel, Nelson Mandela etc and some few from outside Africa like Obama and Indira Ghandi.So every leader who has visited Tanzania has a road named after him?
Ongezea na miji ya Mkuranga, Kisarawe, Kibiti, Ikwiriri pamoja na kisiwa Cha Mafia, Jaja, kwale na koma.Ni Wazaramo, Wandengereko, Wazigua wanaopakana na Wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga, Warufiji, Wakwere (kabila la Kikwete).
Miji yake ni kama Bagamoyo, Kibaha, Chalinze n.k.
Shughuli zao ni kama Uvuvi, Kilimo kama vile mananasi ukanda wa Bagamoyo eneo la Kiwangwa hapa ndio mahali pake, mpunga bonde la mto Ruvu kilimo cha mihogo na matikiti maji.
Huu ukanda ndio wenye viwanda vingi kuliko sehemu yoyote ile Tanzania. Kuna baadhi bado vinajengwa ambavyo havijaanza kufanya kazi.
Watu wake ni wakarimu sana kwa wageni hawana ubaguzi wowote ule. Wanapenda burudani ya ngoma za asili na taarabu, vijana Singeli na Bongo flavour.
Unajua maana ya National grid? Wewe wacha kujiaibisha bana. Unataka kutudanganya eti consumption in MW yenu imezidi the total MW installed on the National Grid.Tony nilishakwambia mara nying..ukiangalia consumption ya umeme Tz ukumbuke kuna suppliers wawili
1.Tanesco
2.TPDC ..most of major industries in Pwani, Dar, Lindi and Mtwara wanapata gas kutoka TPDC ..
mfano ..Twiga cement 40MW from Songas and Dangote uses 50MW..
Dangote na Twiga Cement combined wanatumia 90 MW labda sasa hivi wanaweza kuwa wanatumia 100MW hizo ananunua from TPDC sio Tanesco...
Sijahesabia viwanda vingine vyenye gas to power vinavyonunua Gas kutoka Songas na TPDC ..
so we might be clocking 300MW alone za industries ambazo ni Gas to Electricity za viwanda zisizo pitia tanesco
Hapo nimeacha TBL na Serengeti Brewiries
Jionee hapo reference au you can search yourselfView attachment 2279931View attachment 2279932
Bongo movie siku hizi ni kubwa mno ukiachilia kwamba ndio movie industry pendwa zaidi EA, lakini pia kwenye uigizaji we nowdays not of your levels .. 👇.Wadau wa Bongo Movies mkuje tuwafunze uigizaji.
Hizo technicalities ndio kila kitu, sijui nani kawadangaya train ikiwa electric basi kila kitu sawa. From technical analysis, sgr yenu ni ya passengers wakati yetu ni beast of burden. So aesthetically haziwezi fanana.Mlianza doubt hii project kabla mkandarasi afike site na kusema hatuwezi Jenga SGR,hatuwezi tumia nishati ya umeme,sasa naona mmehamisha maswali why now you care about the speed?capacity and other technical issues?since when your concerned about this project...wacheni kutuchosha na maswali yakijinga
Kati ya 35 tons per axle na 25 tons per axle ipi ni ya passengers ukijibu vizuri naondoka JF sasa hivi.Hizo technicalities ndio kila kitu, sijui nani kawadangaya train ikiwa electric basi kila kitu sawa. From technical analysis, sgr yenu ni ya passengers wakati yetu ni beast of burden. So aesthetically haziwezi fanana.
Ur always negative brooMwambie wenyeji wa mkoa wa Pwani ni wavivu wa kupindukia,hawataki maendeleo na hawapendi kusoma, kama unamueleza mueleze mambo yote ajue
Is Obama an African leader?Not all leaders but selected leaders mostly African ones such as Patrice Lumumba, Samora Machel, Nelson Mandela etc and some few from outside Africa like Obama and Indira Ghandi.