Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Pitia comments utajua wakenya sio watu wajinga, kuna serious questions wameuliza naomba utusaide kujibu.Ni testing tu lakini ona vilio vya wakunya.
Can you imagine zenyewe zikija vilio vyake vitakuwaje! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye top ten tumeingiza team 2,tuko vizuri [emoji7][emoji7][emoji7]Soon, Azam nayo itaingia kwenye list ya namna hii
[emoji41][emoji41][emoji41] hapa inabidi nivae miwani tu.Mwambie wenyeji wa mkoa wa Pwani ni wavivu wa kupindukia,hawataki maendeleo na hawapendi kusoma, kama unamueleza mueleze mambo yote ajue
Kwanini mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]unajipa tabu mmkuu kuelekeza mkenya vitu kama hivyo
mkenya siku zote ni jipu hivyo si watu wakusumbuka nao kimaelezoKwanini mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
Ile barabara ya kimara-kibaha ndio inaishia Pwani region (Kibaha is in Pwani region), Pwani ni mkoa uliopakana na Dar es Salaam, huwezi fika Dar kwa bus kama hutapita Pwani regionHii pwani region ina miji gani famous inayojulikana? Watanzania wagani maarufu wanatokea region hio? Economic activities zinazofanyika katika mkoa huo ni gani?
Ndio watajua hawajui sasa nani ana data za kiuchumi za kweli kati yetu na wao [emoji28]Ni testing tu lakini ona vilio vya wakunya.
Can you imagine zenyewe zikija vilio vyake vitakuwaje! [emoji23][emoji23][emoji23]
Safi Sana, Tanzania italisha Africa kupitia hiyo program ambayo ilisitishwa enzi za Jiwe.
Kwahiyo unatoa short and clear chap unaendelea na mambo mengine, nimekusoma. [emoji846][emoji846][emoji846]mkenya siku zote ni jipu hivyo si watu wakusumbuka nao kimaelezo
2000MW on paper wakati hamwezi kuendesha treni ya umeme. Waziri wenu mwenyewe alikiri uwezo wenu mdogo kwa umeme kuweza kuendesha electric train.Wewe hujui kwamba Kenya inaconsume 2,000 MW ya umeme wakati Tanzania inaconsume 1,400 MW ya umeme? Unapata wapi nguvu ya kulinganisha Kenya na Tanzania likija kwenye swala la matumizi ya umeme? Wengine wenu yaani hamna aibu hata kidogo.
Watu hawaangalii majengo marefu ya mjini katika ku justify maendeleo bali maendeleo ya watu kwanza kama kumaliza njaa, afya bora na malazi ambayo Uganda wako way ahead of Kenya katika hayo anayebisha aje hapa.True. They still have a long way to go.
Tony nilishakwambia mara nying..ukiangalia consumption ya umeme Tz ukumbuke kuna suppliers wawiliWewe hujui kwamba Kenya inaconsume 2,000 MW ya umeme wakati Tanzania inaconsume 1,400 MW ya umeme? Unapata wapi nguvu ya kulinganisha Kenya na Tanzania likija kwenye swala la matumizi ya umeme? Wengine wenu yaani hamna aibu hata kidogo.
Yes inabeba double stack mizigo na mabehewa yake yameshaagizwa.Pitia comments utajua wakenya sio watu wajinga, kuna serious questions wameuliza naomba utusaide kujibu.
1. Can it double stack
2. Average speed
3. Maximum carrying capacity
4. Electrification is just but another mode of propulsion
Uwanja ni wako.
Ni uzushi tuu,wapuuzeLita moja ya mafuta ya korie nanunua 6000. Sasa hii bei ikoje tena?
Pitia comments utajua wakenya sio watu wajinga, kuna serious questions wameuliza naomba utusaide kujibu.
1. Can it double stack
2. Average speed
3. Maximum carrying capacity
4. Electrification is just but another mode of propulsion
Uwanja ni wako.
Kampala ni kama hapaendelei...yani ukitake their side unatafuta stressKampala nayo ni jokes, afadhali wenzetu wa kusini. Hiyo cbd yao sidhani hata kama inawezana na Kilimani View attachment 2279897View attachment 2279898View attachment 2279899
Unajisumbua tu mkuu, yote hayo tulieleza humu ndan.. hapo wanatafuta relief tu baada ya kuumia.. walianza na kuuliza tuwaonyeshe 1km ya reli, wakaja 100km, wakaja sijui kwa umeme gani.. maswali hayatawaisha..Yes inabeba double stack mizigo na mabehewa yake yameshaagizwa.
Pia mabehewa ya abiria mengine ni double decker yameshaagizwa pia.
Train length ni 2km capacity 2k containers per trip.
Average speed apart from initial inertia hakuna maana electricity iko constant unlike gari moshi engine efficiency inapungua due to wear and tear.
Ndio watajua hawajui sasa nani ana data za kiuchumi za kweli kati yetu na wao [emoji28]
Mlianza doubt hii project kabla mkandarasi afike site na kusema hatuwezi Jenga SGR,hatuwezi tumia nishati ya umeme,sasa naona mmehamisha maswali why now you care about the speed?capacity and other technical issues?since when your concerned about this project...wacheni kutuchosha na maswali yakijingaPitia comments utajua wakenya sio watu wajinga, kuna serious questions wameuliza naomba utusaide kujibu.
1. Can it double stack
2. Average speed
3. Maximum carrying capacity
4. Electrification is just but another mode of propulsion
Uwanja ni wako.