Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi hizo treni hapo kwa picha zinautofauti gani na za tazara za mwaka 1970

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Testing in procedure zake , lazima wazingatie safety.baada ya kichwa utaona shoulder , chest , fingers , feet and tail . Vumilia mkunya najua inauma . Nendeni mkalie twitter
Hicho kichwa kinakaa chakavu nikama kiliundwa 1920
 
Bongo tunatoboa tu, hatupoi hatuboi 100 industries before 2025 at SINO PARK 👇. Kwa maendeleo haya Pwani region iko na bright future sana
Hii pwani region ina miji gani famous inayojulikana? Watanzania wagani maarufu wanatokea region hio? Economic activities zinazofanyika katika mkoa huo ni gani?
 
Nicxie the reason why mimi huwa nasema Kenya ina CBD tatu ni picha kama hizi sasa. Hii ni picha ya Westlands pekee na tayari ina skyscrapers ndefu kushinda capital city ya Uganda. Hebu compare hii picha ya Wesstlands na ya CBD ya Kampala uone the difference

Kampala



Westlands (Kabla ya expressway kujengwa)



Hakuna mtu anaweza kulinganisha Kampala na Westlands. Westlands imeipiga.

Twende kwa CBD yetu ya pili yaani upperhill. Now compare Kampala with Upperhill

Kampala


Upperhill




Finally, twende kwa CBD ya Kenya ya tatu, hii ndio ile CBD ya zamani na ndio official Nairobi CBD ambapo ofisi za serikali zipo, bunge na supreme court. Lakini tuanze na picha ya Kampala kwanza

Kampala


(Old) Nairobi CBD


Sasa nikisema kwamba Nairobi ina CBD tatu nimekosea wapi manaake Upperhill, Westlands na Old CBD zote zinaipiga Kampala hands down?

Cc joto la jiwe The best 007 Geza Ulole chongchung coodip1 7seven tuusan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…