Hayo ni maneno nimeanza kuyasikia tangu mtoto.
Btw nimezaliwa kwa fasi ya Chuga nimekulia Chuga nimekula kitabu Chuga.
Sasa wewe utaniambia nini na hiyo kuforce mambo.
Ila mamlaka zetu nazo zililala sana.Ilikuwaje wasijue hili jambo.Halafu wanatumia nguvu nyingi kupindisha hiyo makala ya bibisii.
Makala inaeleza kabisa kuwa watoto wamechukuliwa kwa kudanganywa kuwa wanapelekwa sehemu sahihi ila matokeo yake wamegeuziwa vibao.
Ukunya ni ujinga.
Majina yetu yana mvuto kaka.Halafu ilikuwa kipindi kile mlima Kilimanjaro upo Kenya.Kwani huko kwenu hua hama majina ya vitu vyenu mbona huwa mnashoboka na vitu vya kibongo
Fekecheee, yechu yechu, babayao255.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hii lazima nijifunze mzee. [emoji4][emoji4]
Hii miradi yote kwenye hizi tweets kaanzisha Magufuli, leta na national grid projectKuna jamaa hata SGR alilazimisha ipite kwake na Rwanda japokuwa DRC walitaka reli ipite Burundi!
Huu uwanja ulijengwa kabla ya ule wa Chato ila mpaka sasa haujakamilika! Fedha hazikuwapo ila za wa Chato zilikuwapo!
Kigoma kwetu nayo inashamiri
Yule Chota Chama ndio utamuua kabisa ukimuambia aondoke TanzaniaHili la Morrison liweza kuwa kweli maana jamaa aliipenda Tanzania na Watanzania walimpenda sana. Mamlaka zitakuwa zimemsikia bila shaka.
Nchi inapendwa sana kaka kila mtu anatamani kuishi hapa. [emoji1][emoji1][emoji1]Yule Chota Chama ndio utamuua kabisa ukimuambia aondoke Tanzania
Mpumbavu huyo hajui chalii limetokana na neno Chale na ni English wordHayo ni maneno nimeanza kuyasikia tangu mtoto.
Btw nimezaliwa kwa fasi ya Chuga nimekulia Chuga nimekula kitabu Chuga.
Sasa wewe utaniambia nini na hiyo kuforce mambo.
Yere nimemiss kuwa fasi ya Kijenge na kwa charii angu wa Njiro anaishi na mazaa [emoji16][emoji16][emoji16]Ni kwere bablai. [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa nia yao ni ku-deceive ila hawajui karma is a bitch hujikuta waki-market our natural attractions! Who knows Mt Kenya?Kwani huko kwenu hua hama majina ya vitu vyenu mbona huwa mnashoboka na vitu vya kibongo
Hii miradi yote kwenye hizi tweets kaanzisha Magufuli, leta na national grid project
Uwanja wa ndege wa Kigoma ni Kikwete! JK alijenga runway! Huyo JPM alikuwa anajimilikisha miradi halafu alikuwa mpaka anaweka jiwe la msingi halafu kimya! Hizi barabara ni mama katoa fedha! JPM miradi ya Chato na Mwanza tu!
Uwanja wa ndege wa Kigoma ni Kikwete! JK alijenga runway! Huyo JPM alikuwa anajimilikisha miradi halafu alikuwa mpaka anaweka jiwe la msingi halafu kimya! Hizi barabara ni mama katoa fedha! JPM miradi ya Chato na Mwanza tu!