Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,731
- 107,175
Mi naomba evidence akisema makabila makubwa ya Wachagga, Wahaya na Wanyakyusa yasitawale!Wakati Nyerere anaongea hatuwezi kujua alikuwa katika mood gani, au aliudhika nini na hawa watu.
Si maneno yake yote yanaweza kuwa sheria mengine aliongea ki ubinadamu ,ndio maana naye alisema kwenye utawala wake kuna vitu alikosea,akashauri vilivyokosewa tuviache na tuangalie yaliyo mema,utakuta hata hii kauli ni mojawapo ya aliyokosea.
Ila kwa kuwa huko tulishatoka tuyaache tuendelee mbele.
Alisema pia mtu asichaguliwe kuwa kiongozi kwasababu ya ukabila wake au asinyimwe kuwa kiongozi kwasababu ya ukabila wake ,isipokuwa achaguliwe kwa kuwa ana uwezo wa kuongoza.
Hii kauli watu wasiitumie kuwanyima wengine haki ya kuongoza nchi eti kisa Nyerere alishasema. Vitu vingine vitenguliwe kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
nikiwanyuka Sukumagang huwa mnachanganyikiwa kabisaa! Huna raha mzee!Kubwa jinga.....
Hili la Morrison liweza kuwa kweli maana jamaa aliipenda Tanzania na Watanzania walimpenda sana. Mamlaka zitakuwa zimemsikia bila shaka.
Asa nan abishane na kubwa jinga?nikiwanyuka Sukumagang huwa mnachanganyikiwa kabisaa!
Sjui nyan'gau la api wewe hujui ata slipway ina kaa aje.....No slipway. Scrap metals. Shoddy work. Recipe for disasterView attachment 2279229View attachment 2279230
Ila Russia kwenye hii vita ameonyesha udhaifu mkubwa sana. Operation ya 3 days imekwenda takribani miezi 5.
Kibu denis alipewa haraharakakweli na ni mzigo tuu kwe national teamHili la Morrison liweza kuwa kweli maana jamaa aliipenda Tanzania na Watanzania walimpenda sana. Mamlaka zitakuwa zimemsikia bila shaka.
Chali yangu...
mbaba...
kafire kamepita
Hizi maneno ni common sana Kenya hata sijui unapinga nini.
Hii miradi yote italeta tija kwenye uchumi wa Tanzania.Kuna jamaa hata SGR alilazimisha ipite kwake na Rwanda japokuwa DRC walitaka reli ipite Burundi!
Huu uwanja ulijengwa kabla ya ule wa Chato ila mpaka sasa haujakamilika! Fedha hazikuwapo ila za wa Chato zilikuwapo!
Kigoma kwetu nayo inashamiri
tanganyika ni east african 'Giant' kivipi.?. yani tz is a self-proclaimed/self imposed developed state.. ni wao pekee duniani wasio amini tarifa za worldbank na imfIna maana hiyo habari huku Tanzania hakuna vyombo vya habari vimeandika?, Ukweli ni kwamba Kenya mnafuatilia Sana habari za Tanzania kwasababu Tanzania ndio "Giant" hapa East Afrika.
Kesi Kama hizi huko Kenya ni nyingi Sana, lakini hata sio vyombo vingi vya habari Kenya vonafuatilia matukio ya ndani kwasababu hata wakenya wamezoea kusikia mauaji huko Kenya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli evidence yake ni hizo rumours kama alivyoanzisha mtoa mada. Unaweza kukuta ni maneno ya kizushi lakini yanaishi kwenye akili za watu mpaka watu wanaamini.Mi naomba evidence akisema makabila makubwa ya Wachagga, Wahaya na Wanyakyusa yasitawale!
Kwahiyo hapa tusikurupuke.Kwani pia bado ana miaka mingapi ya kucheza soka?Kibu denis alipewa haraharakakweli na ni mzigo tuu kwe national team
Ila huwa naipenda hiyo style ya uzungumzaji wao. Kuna tangazo la Halotel walikuwa nayo miaka ya nyuma kidogo jamaa anapiga simu ilinibamba sana.Hayo ni maneno nimeanza kuyasikia tangu mtoto.
Btw nimezaliwa kwa fasi ya Chuga nimekulia Chuga nimekula kitabu Chuga.
Sasa wewe utaniambia nini na hiyo kuforce mambo.
Ila huwa naipenda hiyo style ya uzungumzaji wao. Kuna tangazo la Halotel walikuwa nayo miaka ya nyuma kidogo jamaa anapiga simu ilinibamba sana.
wale wabunge wa Bunge la Ukunya wamepitisha ya kusaidia 4 mln Kunyans wenye njaa?Wabunge wa Chama Cha Mafala (CCM) si wapitishe sheria ya kusaidia walemavu wadanganyika jameni.
Ombaomba watanzania wanatusumbua Kenya jameni View attachment 2279238
wale wabunge wa Bunge la Ukunya wamepitisha ya kusaidia 4 mln Kunyans wenye njaa?
Fekecheee, yechu yechu, babayao255.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23]