Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,713
- 107,158
Slum in Kunyans' eyes
Kabisa mkuu. Ni kuendekeza ujinga na uvivu wa kutokufanya kazi na kutaka maisha mteremko huku wakilitia aibu Taifa.sio hivyo tu family members waliowatoa wapelekwe mahakamani! Huu upumbavu hauna tofauti na wale wa body parts za albino!
Itabaki british air na lufthansa tu watakoatransit kwenye lile banda lenu la kuku but nao soon watarudisha route za TZ,subirini maumivuMark this post, hutawai shuhudia actl ikifika USA in your lifetime. Kwa sasa tunaenjoy watalii wenu na abiria wenu na wa E.Africa wakipitia JKIA kwenda USA.
Imagine ardhi bwelelee ya kutosha kulima still mijitu inafikra za kipuuzi namna hii!Kabisa mkuu. Ni kuendekeza ujinga na uvivu wa kutokufanya kazi na kutaka maisha mteremko huku wakilitia aibu Taifa.
Aisee, watu ni wabunifu hadi unapata wivu unajiuliza kwanini sisi tusiwe na angalau robo ya huu mpangilio wa miji yetu?Slum in Kunyans' eyes
Lufthansa mbona ipo imejaa Tanzania? kwani huna habari Edelweiss na Eurowings ni mashirika ya Lufthansa?Itabaki british air na lufthansa tu watakoatransit kwenye lile banda lenu la kuku but nao soon watarudisha route za TZ,subirini maumivu
Sijajua serikali ina vipaumbele vipi katika kuwahudumia wananchi, me huwa ninawaza kwanini watu kama hawa wasio na ajira rasmi ila wanataka kufanya kazi wasiwekwe kwenye camps za kilimo, kuwepo na huduma ya afya, shule za ufundi stadi, wapewe nyenzo za kufanyia kazi na mashine nyepesi nyepesi, ardhi bure kwa muda fulani, pembejeo, wapewe utaalamu wa kulima kilimo bora.Imagine ardhi bwelelee ya kutosha kulima still mijitu inafikra za kipuuzi namna hii!
Safi sana kama zina route za kawaida kama klm na swiss air,halafu wazambia,wacongo na wazimbabwe wanaongezeka kwa transit JNIA,ndio maana ATCL imeongeza route za hukoLufthansa mbona ipo imejaa Tanzania? kwani huna habari Edelweiss na Eurowings ni mashirika ya Lufthansa?
swiss ni subsidiary ya Lufthansa pia!Safi sana kama zina route za kawaida kama klm na swiss air,halafu wazambia,wacongo na wazimbabwe wanaongezeka kwa transit JNIA,ndio maana ATCL imeongeza route za huko
Leo Nairobi ni kusafi. Sijawaona hawa omba omba wa Tanzania kwenye CBD ya Nairobi leo. Waendelee kuwafagia na kuwapeleka kwao. Unfortunately baada ya mwezi moja utaona wamerudi tena. Hii sio mara ya kwanza wao kufagiliwa na kurudishwa kwao.78 Tanzanian beggars detained ahead of deportation from Nairobi
Once smuggled in, the children are forced into begging and denied contact with families.
In Summary
• “We have talked to Tanzanian authorities and agreed to round up these people and take them to their home in Tanzania,” said Nairobi police boss James Mugera.
• The authorities said they raided several properties in Nairobi, freeing several disabled beggars.
![]()
Robbery with violence suspect arrested in Bungoma County.
Image: FILE
At least 78 beggars from poor rural regions of Tanzania have been arrested in Nairobi in an operation targeting a secret trafficking network ring.
The ring brings the disabled persons from Tanzania and forces them into a life of modern-day slavery, begging on the streets of Nairobi.
Authorities said the move will result in the deportation of the individuals.
“We have talked to Tanzanian authorities and agreed to round up these people and take them to their home in Tanzania,” said Nairobi police boss James Mugera.
He said the operation will continue and spread to other parts of the country.
This follows concerns that the beggars had spread to other rural towns in the country.
Mugera said they arrested two people behind the trafficking syndicate.
The hunt for more of the trafficking gang is ongoing.
A BBC Africa Eye investigation exposed a trafficking network bringing in disabled children from poor rural regions of Tanzania and forcing them to beg on the streets of Nairobi.
It showed how the traffickers prey on the hopes of families in Tanzania, promising them a better life for themselves and their disabled children.
Once smuggled into Kenya, the children are forced into begging and denied all contact with their families.
The children do not receive a penny of the money they make from begging and are subjected to physical and psychological abuse by their captors.
The arrest of the two and planned deportation unmasked a cartel of Tanzanian nationals using their physically challenged relatives and friends to solicit money on Kenyan streets.
The trend of foreign beggars on Kenyan streets seems to be gaining currency in the country.
To the traffickers, disabled children from impoverished families represent a lucrative source of income, officials said.
No one knows the full scale of the trafficking problem or how many youngsters have been forced into begging.
No authoritative study has ever been done but experts estimate that there are hundreds, perhaps thousands of victims, each representing a life of exploitation and a family torn apart.
The authorities said they raided several properties in Nairobi, freeing several disabled beggars. Some were either put into the care or returned to Tanzania.
Authorities said regional security agencies had been asked to conduct operations and get the groups for returning to their homes.
achaa wee na ng'ombe, punda na ngamia mmetoa barabarani?Leo Nairobi ni kusafi. Sijawaona hawa omba omba wa Tanzania kwenye CBD ya Nairobi leo. Waendelee kuwafagia na kuwapeleka kwao. Unfortunately baada ya mwezi moja utaona wamerudi tena. Hii sio mara ya kwanza wao kufagiliwa na kurudishwa kwao.
Am sorry guys niliwasema vibaya nikidhani ni uzushi kumbe kweli, msiruhusu tena hawa wapuuzi wakuje kwa mji wenu kuwachafulia mazingira yenu. Serikali iwe na utaratibu wa kuwafagia muda wote, watakaorudishwa n waliofanya uzembe kuwaleta wote wachukuliwe hatua. Uvivu wa kutokufanya kazi usipelekee nchi nyingine kubeba mizigo isiyotakiwa na isiyo haki yake.Leo Nairobi ni kusafi. Sijawaona hawa omba omba wa Tanzania kwenye CBD ya Nairobi leo. Waendelee kuwafagia na kuwapeleka kwao. Unfortunately baada ya mwezi moja utaona wamerudi tena. Hii sio mara ya kwanza wao kufagiliwa na kurudishwa kwao.