The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Tony huwa ni msahaulifu sn huenda aliuona mkataba ila alishasahau.Huyu jamaa vip.. kwan KQ ndo kipimo cha ATCL? .. kwamba kama KQ ilisumbuka, ATCL nayo lazima isumbuke[emoji1787]
Tony huwa ni msahaulifu sn huenda aliuona mkataba ila alishasahau.Huyu jamaa vip.. kwan KQ ndo kipimo cha ATCL? .. kwamba kama KQ ilisumbuka, ATCL nayo lazima isumbuke[emoji1787]
Wakunya doing what they r good at uzandiki na uchonganishi!
Kubali kile Tony amesema si rahisi, ngoja mtaona procedures very soonHuyu jamaa vip.. kwan KQ ndo kipimo cha ATCL? .. kwamba kama KQ ilisumbuka, ATCL nayo lazima isumbuke[emoji1787]
Si mambo na mkataba peke yake, there will be alot more of rigorous scrutiny atcl will undergo before kupewa greenlight to fly to USA, lets wait and seeTony huwa ni msahaulifu sn huenda aliuona mkataba ila alishasahau.
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji134] wajirThe capital [emoji23][emoji23]
View attachment 2277535
Ati ATCL iende Dallas? Kwani USA ni kwa nyanya yako?ATCL soon inaanza kwenda Dallas US, London and Paris Watapanda tuu.
Hali ilivyokuwa ngumu kwa jirani.
Si mlisemaga ninyi hamjengi roundabouts ni interchange na vile vipepeo vyenu tu, kulikoni hapa?
Kenyatta mtu poa sana atampatia hela hawezi mfinya makende labda asijue.Aiseeh nimecheka lakini sio jambo la kucheka. Huyo atafinywa makei sana.
JNIA new terminal standards and security details complied with new international security requirements including US requirements ilichobakia ni minor details tuu kwa airline yenyewe na procedures orientation kwa security enforcers.Aisee kwenda USA sahau kabisa. Ni ngumu zaidi. USA sio choo. Ni rahisi ATCL kuenda London, Dubai na kwingineko lakini sio USA. Masharti ya ATCL kufly USA ni mengi mno. KQ ilisumbuka sana kabla ipate license ya kufly USA.
Hana lolote anataka likes za wakenya tu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Leo ndio nimeamini we jamaa ni mzee wa kukosoa tu, na hujui lolote, kumbe huwa unaishiaga kuona picha tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ulifkir utaijua Dodoma kupitia picha tu.? Fika mwenyewe ujionee, au kwako wewe apartment means City plan .. we kumbe ni hamna kitu tu, Dom imepangwa mzee na kama utapata bahati ya kufika huko utajionea hilo kwa macho yako, hadi rangi za mabati karibu kika mtaa ni uniformity, kuna midaa Iko na nyumba za bari za kijani tu, pia mitaa yenye nyumba za bati nyeusi tu, pia mitaa zenye nyumba za bati nyekundu tu and they are all well planned, ukifika wala hutokua na haja ya picha tena, kitu kilichopo kwasasa ni kwamba maeneo mengi bado hayajaaa kujengwa na barabara pia bado kwa idadi kubwa, that's why picha za juu zinaonyesha kama kuna mapengo mapengo, but I'm telling you, tafuta video yoyote inaoonyesha closer view uthibitishe haya niyasemayo, kwa mfano anza na hizi [emoji116]. [emoji116]. [emoji116].
Katika maneno mia ya mkunya chukua moja tembeaSi mlisemaga ninyi hamjengi roundabouts ni interchange na vile vipepeo vyenu tu, kulikoni hapa?
Kwani KQ inavyoenda US ni kwa nyanya yenu huko?[emoji23][emoji23][emoji23]Ati ATCL iende Dallas? Kwani USA ni kwa nyanya yako?
Kuna uwezekano ATCL kukosa kuwahi kanyanga USA kwa hii lifetime yetu
Kwani Kenyatta ndiye amemkamata hapo kwa gate? Kenyatta hatafahamishwa kwamba kulikuwa na jamaa anafanya mzaha kwa gate lakini sasa ametenganishwa na bolingo zake.Kenyatta mtu poa sana atampatia hela hawezi mfinya makende labda asijue.
Wewe unajua hizo security requirements ni gani ndio useme kwamba JNIA imemeet hizo requirements? Hebu taja some of those security requirements.JNIA new terminal standards and security details complied with new international security requirements including US requirements ilichobakia ni minor details tuu kwa airline yenyewe na procedures orientation kwa security enforcers.
KQ ilipata shida kupata green light sababu kubwa ni JKIA terminal security was not compatible with US requirements.
Mark this post, hutawai shuhudia actl ikifika USA in your lifetime. Kwa sasa tunaenjoy watalii wenu na abiria wenu na wa E.Africa wakipitia JKIA kwenda USA.JNIA new terminal standards and security details complied with new international security requirements including US requirements ilichobakia ni minor details tuu kwa airline yenyewe na procedures orientation kwa security enforcers.
KQ ilipata shida kupata green light sababu kubwa ni JKIA terminal security was not compatible with US requirements.