Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

si kwamba hatuna ni kuwa hatuhitaji...zile trucks zinatoka Marekani na ni bei ghali...we have cheaper ones from Japan so we dont need Macks...if there was no alternative, bila shaka zingekua zimejaa kote Kenya...
by the way,kuna mkenya mmoja hapa hapa kwa hii thread,aliwahi kudai ati tz hatuna trucks za scania,ati trucks zetu nyingi ni za kichina....watu tukaingia kazini, tukamuwekea picha...tangu that day sikuona tena akirudia kauli yake..alitia adabu.
 
hapo ndio mnapotushangaza wakenya.....mnapenda ku-introduce vitu ambavyo hata nyinyi wenyewe hamko navyo....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

by the way,kuna mkenya mmoja hapa hapa kwa hii thread,aliwahi kudai ati tz hatuna trucks za scania,ati trucks zetu ni za kichina....watu tukaingia kazini, tukamuwekea picha...tangu that day sikuona tena akirudia kauli yake..alitia adabu.
[emoji23]
[emoji23]
[emoji23]
hamna ninayoijua ya kikenya...ila I am not the point of discussion here...ni wewe uliyeringa na Scania...
emoji23.png
emoji23.png
Scania is a very common truck in EA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This should be Kenya vs Tanzania battle. Au unatushow ocha ya dar because your city is not 100% urbanized unlike Nairobi.
May be u forget one thing, this is not Nairaland, sisi ni wabongo tunawajua in and out,
Huwezi kuniambia kitu mimi when I know u have Kibera with 2.5mn Kenyans flying stools out there and claim to have 100% urbanised Nairobi. Hapo achilia mbali slums nyingine kama Huruma, Dondora , Gorokocho, Githurai, Mathare n.k
 
by the way,kuna mkenya mmoja hapa hapa kwa hii thread,aliwahi kudai ati tz hatuna trucks za scania,ati trucks zetu nyingi ni za kichina....watu tukaingia kazini, tukamuwekea picha...tangu that day sikuona tena akirudia kauli yake..alitia adabu.
emoji23.png
emoji23.png
bahati yenu hio...embu ile link ya JF ya madem
 
naelewa msamiati kama kabati na shoka mzoba ila foleni kwangu nimeiona kama jina exotic vile...huyo jamaa amenibamba tu vile amesema foleni...ni jina ambalo halitumiki sana Nairobi...pengine pwani ya Kenya...ningependa sana kuelewa na kuzungumza kiswahili hicho ila curriculum haijatilia maanani sana...

Hao watu wa pwani unaosema ni curriculum imewatilia manani ,au ni kabila moja? we unatia aibu wakati mwengine kama huna cha kuandika nyamaza tu maana hulazimishi.
 
shida ya wakenya wa kutoka bara ni kujiona wanajua kila kitu na kuwadharau wakenya wa pwani....mara kadhaa nimeshuhudia wakenya wa bara waki wa-stereotype wa-coast eti ni wavivu,hawajasoma na mambo mengine kadha wa kadha.

hapo hapo wakionyesha unafiki wa kusifia maendeleo ya mombasa.

dhambi ya ubaguzi wa kikabila haitokuja kuwatoka wakenya....itaenda vizazi na vizazi mpaka manabii warudi.
 
the father of reposts is on it again lol
the same way you guys are reposting photos of CBD and upperhill....you have been doing that everyday....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
95% of kenyan music is produced and shot in kenya unlike other countries

hiyo si sifa ni ujinga.
hata mimi ningeshangaa wanamuziki wa kenya wa-shoot video zao nje ya kenya ilhali mziki wao bado upo duni.

walijaribu sauti sol lakini ni kama na wao wamevunjika moyo....they are disappearing day by day.

i don't see any preparation being taken to insure other kenyan musician reach to the levels of sauti sol.
 
shida ya wakenya wa kutoka bara ni kujiona wanajua kila kitu na kuwadharau wakenya wa pwani....mara kadhaa nimeshuhudia wakenya wa bara waki wa-stereotype wa-coast eti ni wavivu,hawajasoma na mambo mengine kadha wa kadha.

hapo hapo wakionyesha unafiki wa kusifia maendeleo ya mombasa.

dhambi ya ubaguzi wa kikabila haitokuja kuwatoka wakenya....itaenda vizazi na vizazi mpaka manabii warudi.

Haimanishi kama yeye hakithamini kiswahili na kukifahamu wengine pia ni ivo .ila hawa wabara wetu tushawazoea kusema ukweli mpwani ni mvivu yuasubiri tu nazi ianguke aokote lakini pia wameanza kujituma na kutoa uvivu. Inshaallah mwenyezi mungu atatufikisha.
 
sawa...naona mmedhamiria kuwatia madole ya macho wakenya wenzenu wa pwani.
 
95% of kenyan music is produced and shot in kenya unlike other countries

John legend aliwash shot Zanzibar. ..wasanii wamarekani baadhi y nyimbo zao hurecord video zao nchi zingine kwenye miji maarufu kama Dubai, London, Paris nk. ..

Kenya tu ndio nna shot video kwenu na ndio maana mziki wenu unasikilizwa zaidi apo kwenu hauvuki ata border

Ngimbo za kenya za maana Ni panjuka juu ya DNA, nasinzia ya Nameless,chokoza ya avril na baadhi as pini as wahu na jua kali. ..wayre sijui kafia wapi,nonini na punit na Dr frasha...

Ngimbo za kenya za maana Ni panjuka juu ya DNA, nasinzia ya Nameless,chokoza ya avril na baadhi as pini as wahu na jua kali. ..wayre sijui kafia wapi,nonini na ounit

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
amazing view of tarmacked road that connect tanzania from south,north,west to the eastern part of the country.
IMG_20170913_201519_853.JPG
IMG_20170913_201500_869.JPG
IMG_20170913_201449_703.JPG
IMG_20170913_201438_859.JPG
IMG_20170913_201422_150.JPG
IMG_20170913_201411_535.JPG
IMG_20170913_201359_985.JPG
IMG_20170913_201347_416.JPG
IMG_20170913_201336_462.JPG
IMG_20170913_201325_650.JPG
 
hiyo si sifa ni ujinga.
hata mimi ningeshangaa wanamuziki wa kenya wa-shoot video zao nje ya kenya ilhali mziki wao bado upo duni.

walijaribu sauti sol lakini ni kama na wao wamevunjika moyo....they are disappearing day by day.

i don't see any preparation being taken to insure other kenyan musician reach to the levels of sauti sol.
Haha if only you think outside the box...that means kenyan producers videographers deejays choreographers and a whole other bunch of behind the scenes get to benefit and grow...studios will compete...wake up
 
amazing view of tarmacked road that connect tanzania from south,north,west to the eastern part of the country.
IMG_20170913_201315_108.JPG
IMG_20170913_201302_820.JPG
IMG_20170913_201252_547.JPG
IMG_20170913_201241_097.JPG
IMG_20170913_201228_646.JPG
IMG_20170913_201217_958.JPG
IMG_20170913_201205_566.JPG
IMG_20170913_201149_884.JPG
 
John legend aliwash shot Zanzibar. ..wasanii wamarekani baadhi y nyimbo zao hurecord video zao nchi zingine kwenye miji maarufu kama Dubai, London, Paris nk. ..

Kenya tu ndio nna shot video kwenu na ndio maana mziki wenu unasikilizwa zaidi apo kwenu hauvuki ata border

Ngimbo za kenya za maana Ni panjuka juu ya DNA, nasinzia ya Nameless,chokoza ya avril na baadhi as pini as wahu na jua kali. ..wayre sijui kafia wapi,nonini na punit na Dr frasha...

John legend aliwash shot Zanzibar. ..wasanii wamarekani baadhi y nyimbo zao hurecord video zao nchi zingine kwenye miji maarufu kama Dubai, London, Paris nk. ..

Kenya tu ndio nna shot video kwenu na ndio maana mziki wenu unasikilizwa zaidi apo kwenu hauvuki ata border

Ngimbo za kenya za maana Ni panjuka juu ya DNA, nasinzia ya Nameless,chokoza ya avril na baadhi as pini as wahu na jua kali. ..wayre sijui kafia wapi,nonini na ounit

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Haha john legend? Get the picture...GROW YOUR OWN. when you do it outside who builds your own...thats why a while ago you guys used to shoot here a lot nowadays its reduced thou...
 
amazing view of tarmacked road that connect tanzania from south,north,west to the eastern part of the country.
tapatalk_1500314284133.jpeg
tapatalk_1499367147339.jpeg
tapatalk_1499366939087.jpeg
 
Back
Top Bottom