Umeenda mbali. Ungemuambia atazame Nairobi Upperhill.uwezi ku-limit maghorofa marefu utakuwa una-limit multinational companies kuja what if wanahitaji ofisi nyingi kwenye jengo moja kwenye capital city? Anayetaka kujenga na ana uwezo ajenge government city Mtumba inaweza kuwa restricted ila financial districts si busara kuzilazimisha kutojenga majengo marefu! Tembea uone London, Frankfurt, Berlin hata Paris kuna section ya mji kuna majengo marefu!
Tatizo Dodoma city hamna slums ndo maana sikuiweka nairobi kwenye comparison! Usianzishe ligi sasa! π€£ πUmeenda mbali. Ungemuambia atazame Nairobi Upperhill.
Cc coodip1
mtauwa watuBehewa za double decker zinazotarajiwa [emoji116] [emoji116][emoji116]View attachment 2277407
Hehe kwahio Emirates na qatar hawana watalii sio??Sio kwa bumber tourists arrivals after The Royal Tour. Hiyo notion ya hasara you can got with it to the grave.
Tunagawana abiria [emoji16]Hehe kwahio Emirates na qatar hawana watalii sio??
miradi ya upigaji na huwezi amini GoK itaruhusu!Wanaongeza nundu ya madeni tena duh kweli management ya KQ ndio tatizo hapa.
GoK haiwezi kuruhu huo upuuzi. Flying drones ndio nini? KQ wafocuss kutoka kwenye loss kwanza.miradi ya upigaji na huwezi amini GoK itaruhusu!
Mzee nashukuru umeona hii kitu unajua unakuta kampuni za kutengeneza hizo flying taxis wameshatoa hongo kwa viongozi wa KQ na ministry of Transport na pia tayari Benki za kutoa mikopo zishaandaliwa! Hapo mkifumba macho na kufumbua deni la KQ limeongezeka!GoK haiwezi kuruhu huo upuuzi. Flying drones ndio nini? KQ wafocuss kutoka kwenye loss kwanza.
Babu usitudanganye., standards za makazi Dodoma kwa wingi na upana ni hiziππππππ, in Tanzania hizi sio slums, in the global standards, Dodoma residential is slumy 70% plus.., uongo wacha.., naumbua propaganda na majigambo ya ujinga., π π π π π standards ni zile za Dar.., estates zenye mnajenga can't settle even 5% of the populace.,Tatizo Dodoma city hamna slums ndo maana sikuiweka nairobi kwenye comparison! Usianzishe ligi sasa! π€£ π
Dodoma is coming up nicely! Machinga market!
Yaani hapo π ni kama uchukue wale wa Gikomba uwajengee stalls!
Yaani unaona kabsaa mitaa na nyumba zipo kwa mpangilio japokuwa ni kuukuu na unaamua kuita slum!Babu usitudanganye., standards za makazi Dodoma kwa wingi na upana ni hiziππππππ, in Tanzania hizi sio slums, in the global standards, Dodoma residential is slumy 705 plus.., uongo wacha.., naumbua propaganda na majigambo ya ujinga., π π π π π standards ni zile za Dar.., estates zennye mnajenga can't settle even 5% of the populace.,
View attachment 2277505
View attachment 2277506