REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,675
- 11,690
FYI Laurent Kabila hakuwa anakaa sehemu moja! By 1995-1996 alikuwa Uganda japokuwa familia ilikuwa Tanzania.
Some times it is very tiresome to have meaningful discussion with low IQ person like you, who cares about numbers?, What we are looking is service delivery to the majority if they are getting better health care services or not.How is this even connected with the topic of discussion? Mtu kupelekwa India for specialized treatment inahusikanaje na nyinyi kuwa na ratio ya manesi ya 0.6 per 1,000 people? See? You always run away from your problems when cornered with facts. Instead of giving reasons why you score such low figures even after claiming you produce and employ more nurses than Kenya, umeenda kutafuta vijimaneno ba vijisababu just to run away from your hard realities!!
Hivi unadhani mtu aliyefeli form 4 hawezi kujiendeleza hadi chuo Kikuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha. Usikubali huyo jamaa akudanganye. Alisomea ulaya vipi na yeye mwenyewe alisema wazi kwamba alipata division 4 katika form four?
View attachment 2276194
Nyingine hii hapa [emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 2276197
Good example is tourism sector and export business, Kenya was dorminating these areas since 1963, but just five years ago the story has changed completelyHow is this even connected with the topic of discussion? Mtu kupelekwa India for specialized treatment inahusikanaje na nyinyi kuwa na ratio ya manesi ya 0.6 per 1,000 people waaMs+i88? See? You always run away from your problems when cornered with facts. Instead of giving reasons why you score such low figures even after claiming you produce and employ more nurses than Kenya, umeenda kutafuta vijimaneno ba vijisababu just to run away from your hard realitied
I knew it. If between 1961-to 2014 that is the situation kwa ground, you think a miracle has happened between 2015 and 2022? Didn't you realize that even our figures in that data ni za 2017?
Kabisa asifanye hivyo. Wacha waende hawa kitakachowapata mtasikia, tz this ,tz that!!Mama hawezi kuingia mtego wa East Africa standby forces! Kule kunaenda kunuka! SADC wanaiangalia EAC na kimbelembele chake! Uganda na Rwanda wanasalitiana, sasa watawezaje kufanya kazi pamoja? Burundi sidhani kama wanaiva na Rwanda! KDF ni kimbelembele tu wanapeleka kule.
Mkuu, walishindwana na Nyerere, a down to earth pan Africanist, hawawezi kuelewana na mtu yeyote hapa dunianikama watashindwana na huyu mama sijui wataendana na nani . Wapumbavu sana hawa wakunya
Amepandishwa vyeo 2 mpaka kuwa General kumbe inaruhusiwa, nilidhani ni lazima mpaka uwe Luten Jenerali ndio uwe Jenerali kamili.
Kweli mkuu Mimi ni form 4 division 4, niliyejiendeleza hadi chuo Kikuyu, nikalimbikiza pesa nikaenda kujisomesha Ulaya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani mnanifurahisha hatari. Joto la jiwe njoo ukane au uthibitishe hizi allegations??
Najua uliamua kuzingua tu kule. Mawazo ya mtu wa Form 4 tena Failure yanaonekana hata asiposema.Hivi unadhani mtu aliyefeli form 4 hawezi kujipendekeza hadi chuo Kikuyu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nikisema watu waliofanikiwa ni wewe maana umeanzia from ground to chuo kikuu tena nje, so nikisema unipe mchakato mzima ulikuwaje utaniinspire zaidi kwa jinsi ulivyoweza kuvuka hivyo vikwazo. Big up sana kaka.!Kweli mkuu Mimi no form 4 division 4, niliyejiendeleza hadi chuo Kikuyu, nikalimbikiza pesa nikaenda kujisomesha Ulaya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wacha kulalamika, Spain na nchi za Ulaya zilishatoa tahadhari miaka mingi kwamba hawapo tayari tena kupokea wakimbizi haramu, lakini watu wanalazimisha kwenda, ulitaka wafanye nini, sio kila kitu kukimbilia racism, hakuna cha racism hapo, lazima tukubali kwamba sisi wa Afrika ni mzigo hapa duniani.Tatizo ni kuchukua njia za panya. Watu wanastahili kusafiri kwa njia halali. Migrants wengine wanalipa human traffickers hata $2,000 ambayo ni pesa nyingi mno mpaka unajiuliza si hio pesa angetumia kuboresha maisha yake nyumbani badala ya kuhangaika hivyo? Lakini Spain nao wameonyesha racism na unyama wa hali ya juu. Hii inaonyesha ni jinsi gani wanawaona Waafrika ni kama mbwa tu.
Tatizo lenu ninyi wakenya kila kitu mnakipima kwa kutumia "financial scale", money, money, money, money, money tu, kwanini mna abudu Sana pesa?, Ndio sababu mlikataa kusaidia nchi zingine za Afrika kupata Uhuru., Sasa wakipata pesa huko Europe lakini huku Nyumbani hakuna huduma Bora za Afya, hao wananchi waliowasomesha kwa Kodi zao pia wataenda huko Europe kufuata matibabu?Mzee kwa nini nurse abakie hapa Kenya na kulipwa ksh 40,000 kwa mwezi wakati anaweza kulipwa around ksh 300,000 kwa mwezi huko majuu? Tuseme awe anatuma ksh 80,000 nyumbani kila mwezi huoni kwamba hapo Kenya tumefaidika? Mbona hio hesabu ni rahisi sana na inakushinda?
Hiyo nchi yenu ni nchi ya ajabu Sana, ninyi hamna malengo ya kitaifa badala yake kila mtu anafikiria yeye binafsi na familia yake tu.Wewe kichwa chako ni mbaya. Ni lazima mimi nifaidike ili remittance iwe na manufaa? Wakenya wengine wakifaidika na mimi nisifaidike basi remittance haina manufaa Kenya sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]Najua uliamua kuzingua tu kule. Mawazo ya mtu wa Form 4 tena Failure yanaonekana hata asiposema.
Mkuu ni kupambana tu, hakuna njia rahisi na ya mkato maishaniNikisema watu waliofanikiwa ni wewe maana umeanzia from ground to chuo kikuu tena nje, so nikisema unipe mchakato mzima ulikuwaje utaniinspire zaidi kwa jinsi ulivyoweza kuvuka hivyo vikwazo. Big up sana kaka.!
Bado wanataka ushuhuda gn ili waamini sisi sio level yao kwenye sekta ya afya? Wanataka tufufue wafu ndio waamini sisi sio size yao? Niliwaambia kwa ss madaktari wa bongo rafiki zao ni madaktari wa India, SA na Egypt.[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Sisi wetu wanabaki nyumbani kuokoa maisha ya Watz na raia wa kigeni ikiwemo Kenya ambapo mnatuletea pesa kwa ss.manesi wenu wanafanya kazi wapi nchi za nje?
Kenya hawana shida na haya yote, kwao muhimu ni "remittances" ili wanunue viwanja wajenge "Malls"Bado wanataka ushuhuda gn ili waamini sisi sio level yao kwenye sekta ya afya? Wanataka tufufue wafu ndio waamini sisi sio size yao? Niliwaambia kwa ss madaktari wa bongo rafiki zao ni madaktari wa India, SA na Egypt.
Wakenya poleni sana sisi Watz tuliamua kubadilika na ku invest heavily kwenye mambo yenye tija na matokeo yake ndiyo haya tunaenda kufanya jambo la kihistoria, nyie pelekeni manesi nje sisi wanabaki hapa hapa kuokoa uhai wa Watz.