joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Katika "statements" zako zenye kukudhalilisha hii ni Moja wapo, hakuna nchi yoyote Africa ambayo Kuna wasomi wengi kuzidi mahitaji ya nchi.Kenya tuna a lot of well educated, qualified but unemployed nurses. Unaweza pinga lakini huo ndio ukweli. Hao nurses wacha waende nje ya nchi wapige pesa ndefu watume hizo pesa nyumbani.
ka-student visa umekaweka hata baada ya ku-expire sio?Kwa hivyo mzee wewe unaona nacheka cheka na wewe unanidharau sio? Hii hapa long-term residence permit card yangu ya Czech Republic. Mzee mimi nimetoka nje ya nchi yangu na kuishi huko miaka miwili sio kama wewe ambaye hujawahi kutoka nje ya Tanzania.
View attachment 2275686
Cc Geza Ulole
joto la jiwe
Hio hata nikifa nitawachia watoto wangu na wajukuu wangu ili kuwafungua akili wao pia wawe na ari ya kujituma.ka-student visa umekaweka hata baada ya ku-expire sio?
I will graze you guys in Ngorongoro for a change of scenery!Get out of your miserable country for a bit. Ata kama ni Namanga tu upande wa Kenya utaingia for 5 minutes.
The M23 kadogoos in DRC!
Anything to remind us of Mobutu's ousting by Laurent Kabila? Tshisekedi should stay alert!
Wacha uongo leta evidence unachoongea! Museveni na Kagame ndo walimpindua Mobutu usipende sifa za kuungaunga! Tanzania was neutral on this!The ousting of Mobutu was engineered in Tanzania by Nyerere who mobilized Mbeki, Mugabe, Nujoma, Dos santos for providing logistical support to a rebel group established by Kagame and Museven whose rebel leader Laurent Kabila was in Tanzania since 1960s.
Tanzania troops were training Congolese army when when Laurent Kabila was assassinated and as a matter of urgency, Benjamin Mkapa had to call Thabo Mbeki so SANDF military aircraft could evacuated all Tanzanian troops immediately - that is exactly what Mbeki and SANDF did.
Mimizi inaotaje or kuoteshwaje kaka??Tunakita mizizi hatutaki kukimbilia masoko kwa sifa
Wewe ndio mpenda sifa na sio mimi. Nina unga unga wapi kaka??Wacha uongo leta evidence unachoongea! Museveni na Kagame ndo walimpindua Mobutu usipende sifa za kuungaunga! Tanzania was neutral on this!
Nimeomba evidence alipomwondoa Mobutu alisaidiwa na Tanzania!Wewe ndio mpenda sifa na sio mimi. Nina unga unga wapi kaka??
Where was Laurent Kabila living all along, a rebel leader? answer that first.
Reason why I asked a very simple question "where was the rebel leader Laurent Kabila residing way before Kagame and Museven became presidents" ?Nimeomba evidence alipomwondoa Mobutu alisaidiwa na Tanzania!
"Wacha uongo" "usipende sifa za kuungaunga"
Kwahiyo kwenda kusoma nje ya nchi kwa kupata Ufadhili wa Bure wa scholarship za serikali unadhani ni kujituma?[emoji23][emoji23][emoji23]Hio hata nikifa nitawachia watoto wangu na wajukuu wangu ili kuwafungua akili wao pia wawe na ari ya kujituma.
Tatizo lenu ninyi wakenya hamjui Mambo mengi ya ndani na nje ya nchi yenu. Kenya ni nchi pekee iliyojitoa katika mkataba wa nchi za EAC wa kuzuia nguo za mitumba baada ya USA kuzitishia kuziondoa katika AGOA nchi zozote zitakazo zuia biashara ya mitumba kutoka USA. Eti unadanganya kwamba mpo kwenye mazungumzo ya kuzuia mitumba, wacha kudanganya.Do yourself a favour, leta balance of trade of Kenya na ya tanzania, i guarantee you the difference sio kubwa kama ulivyodai hapo juu. Na niko 100% sure nguo ulizovaa mpaka chupi ni mitumba imports, ukija KE tumeanza discussion ya kuban mitumba completly.
Dah!90% ya watz wanaofanya biashara ndogo Kenya ni wachagga. Fundi cherehani wangu ni mchagga duka lake linaitwa 'cheka unenepe' fundi wangu wa viatu ni mchagga anaitwa senya.
Kupata fully funded foreign government scholarship ni ngumu sana. Wewe ulisema kwamba ulimalizia shule form 4 division 4 kwa hivyo hujui hivi vitu, tulia upate mafunzo. Mamia ya Wakenya walituma application. Wakenya wanne tu ndio walipata hio scholarship. Mimi nilikuwa mmoja wa hao Wakenya wanne. Interview ilifanywa katika embassy ya hio nchi. Sikuchaguliwa kwa sababu huyo mzungu ni mjomba wangu. Niliipata fursa hii kwa sababu tayari nilikuwa nimesoma vizuri. Yaani niliipata through merit, sio hongo, kwa sababu wazungu hawajui hongo ni nini. Key word ni "merit".Kwahiyo kwenda kusoma nje ya nchi kwa kupata Ufadhili wa Bure wa scholarship za serikali unadhani ni kujituma?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hamuogopi mabwana zenu USA? Maana mlipinga kipindi EAC ilipopitisha.Do yourself a favour, leta balance of trade of Kenya na ya tanzania, i guarantee you the difference sio kubwa kama ulivyodai hapo juu. Na niko 100% sure nguo ulizovaa mpaka chupi ni mitumba imports, ukija KE tumeanza discussion ya kuban mitumba completly.
Kwani ukiingiza kupitia mipakani ndio kodi inapungua?Watz weng walikua wanatumia mombasa kuingiza magar nahisi kodi za tz zlikua mziki