Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Inawezekana huenda kuna omba omba Tanzanians kunako Kenya lakini heb mjiulize maswali marahisi, huyo mtu he/she is just a omba omba, means them can't afford even bus fare, amevukaje boda kufika mpaka Nairobi Kenya.? (ukizingatia Nai haiko mpakani mwa Tz na Kenya), amepataje hati za kusafiria (kutengeneza passport hapo ni 300k Tz shillings ujue), amepataje residential permit.? After all kwanini msiwarudishe Tz kama ni watanzania au hao omba omba ni miradi ya watu hapo NAIROBI.? Ikiwa hapa Dar walishafukuzwa mara nyingi mno vipi huko ambako sio kwao (wahamiaji haramu) mnawaaacha.? Heb Angalia DAR kwa mfano 👇. Wanakamatwa hao wapuuzi wanaowaleta omba omba kutoka mikoani kuja kuomba omba DAR.. na manispaa ya Ilala imewahi kuweka adhabu kali kwa atakae kutwa anampa hela omba omba 300k Tz shillings au jela miezi sita👇 . Kuomba omba ni suala linalopigwa vikali Tanzania hasa kwenye miji ya Pwani since sio tamaduni zetu Zanzibar for example 👇 . Muelewa nyie watu na muache tabia za kishenzi za kufuata walemavu ili wakutafutieni hela kirahisi.. WAPUMBAVU NYIE WAKENYA
Majibu yote nilishamaliza hapo juu kwenye post yangu, labda ulete tu ukaidi sasaKama Tanzania ni nchi ya asali na maziwa mbona dada na ndugu zako wakaacha hayo yote kuja kutembeza bakuli Katina mitaa na barabara za miji zetu? Beats logic!
Kuna mchina mmoja alikuwa mitaa ya ka Nairobi alikuwa ndani ya gari amejifanya kuweka simu mkononi alafu akajifanya kama kujisahau hivi, aloo kila mtaa aliopita alitaka kuporwa hiyo simu video ipo you tube inachekesha na kufedhehesha sana, yani Kenya kila mtu ni mwizi kuanzia president, askari barabarani, wanajeshi mpaka raia wa kawaida ni wezi, hata hawa wa humu pia ni wezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaenda kujaribu bahati yao ya kuiba madini kule congo kama wanavyouza mkaa somalia,kenya jeshi lao ndihamu ni 0
Sasa mbona unatukasirikia? Hao ombaomba hawapatikani Nairobi tu. Jana nimeleta taarifa za wao kupatikana Kitale, Migori, Nakuru, Makueni na sehemu zinginezo.Inawezekana huenda kuna omba omba Tanzanians kunako Kenya lakini heb mjiulize maswali marahisi, huyo mtu he/she is just a omba omba, means them can't afford even bus fare, amevukaje boda kufika mpaka Nairobi Kenya.? (ukizingatia Nai haiko mpakani mwa Tz na Kenya), amepataje hati za kusafiria (kutengeneza passport hapo ni 300k Tz shillings ujue), amepataje residential permit.? After all kwanini msiwarudishe Tz kama ni watanzania au hao omba omba ni miradi ya watu hapo NAIROBI.? Ikiwa hapa Dar walishafukuzwa mara nyingi mno vipi huko ambako sio kwao (wahamiaji haramu) mnawaaacha.? Heb Angalia DAR kwa mfano 👇. Wanakamatwa hao wapuuzi wanaowaleta omba omba kutoka mikoani kuja kuomba omba DAR.. na manispaa ya Ilala imewahi kuweka adhabu kali kwa atakae kutwa anampa hela omba omba 300k Tz shillings au jela miezi sita👇 . Kuomba omba ni suala linalopigwa vikali Tanzania hasa kwenye miji ya Pwani since sio tamaduni zetu Zanzibar for example 👇 . Muelewa nyie watu na muache tabia za kishenzi za kufuata walemavu ili wakutafutieni hela kirahisi.. WAPUMBAVU NYIE WAKENYA
Nieleze mbona wakaacha asali na maziwa Tanzania waje kutembea bakuli KenyaMajibu yote nilishamaliza hapo juu kwenye post yangu, labda ulete tu ukaidi sasa
Uje Dar bila passport? Jaribu uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa mbona unatukasirikia? Hao ombaomba hawapatikani Nairobi tu. Jana nimeleta taarifa za wao kupatikana Kitale, Migori, Nakuru, Makueni na sehemu zinginezo.
Secondly, sio lazima mtu awe na pasipoti ndio avuke mpaka kati ya hizi nchi mbili. Nimevuka mpaka kule Sirare mara nyingi sana na hakuna siku nimeulizwa passport wala kibali chochote
You can deny all you want and use every excuse available but that won't change the fact that these are Tanzanians
Kenya 70% wanaishi maisha ya ombaomba mfano wale wanaoishi kwenye ma slums ya ka Nairobi wale ni zaidi ya ombaomba mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nieleze mbona wakaacha asali na maziwa Tanzania waje kutembea bakuli Kenya
Sirare sio Tanzania?Uje Dar bila passport? Jaribu uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo linawezekana kwenye failed state pekee sio Tz.
Nakwambia hivi njoo Dar bila passport uone kitakachokutokea, cc huku Tz tunawa treat Wakenya the same way as Nigerians, tunawaona wezi na msio na ustaarabu hivyo basi hamuwezi kukaa kienyeji humu.Sirare sio Tanzania?
A typical Nairobian living in places you refer to as slums like Githurai or Uthiru is living in a better condition than that fella in Vingunguti middle-class areaKenya 70% wanaishi maisha ya ombaomba mfano wale wanaoishi kwenye ma slums ya ka Nairobi wale ni zaidi ya ombaomba mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jibu swali langu, is Sirare and Tarime not part of Tanzania?Nakwambia hivi njoo Dar bila passport uone kitakachokutokea, cc huku Tz tunawa treat Wakenya the same way as Nigerians, tunawaona wezi na msio na ustaarabu hivyo basi hamuwezi kukaa kienyeji humu.
Wewe sehemu yako mbaya kwa Tz c ni Vingunguti tu na hata hivyo hakuna slum umeleta hata moja ila mm nilishakuambia ka Nairobi kazima kamezungukwa na slums ukibisha twende on ground [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]A typical Nairobian living in places you refer to as slums like Githurai or Uthiru is living in a better condition than that fella in Vingunguti middle-class area
Mpakani unaingia haina shida, sio eti mtanzania atoke Dodoma aende ka Nairobi kuomba omba huko ni kuwakosea heshima na kuwakataa wakenya wenzenu waliosababishiwa ufukara na familia ya Kenyatta.Jibu swali langu, is Sirare and Tarime not part of Tanzania?
Unajisahalisha au?Wewe sehemu yako mbaya kwa Tz c ni Vingunguti tu na hata hivyo hakuna slum umeleta hata moja ila mm nilishakuambia ka Nairobi kazima kamezungukwa na slums ukibisha twende on ground [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ok tuanze kuleta ground photos mm na ww za slums za Kenya na Tz mm naanza alafu wewe jibu, niletee ground photos kama hizi Tanzania [emoji116][emoji116]Unajisahalisha au?
Umesahau Mabibo, Tandale, Mazense, Buguruni, Tandika, Mburahati, Mwananyamala, Keko Mwanga na sehemu zingine?
Nchi fukara ukanda huu inajulikana na hilo lipo wazi wala isitie shaka. And just to remind you, yes; your beggars come from far and wideMpakani unaingia haina shida, sio eti mtanzania atoke Dodoma aende ka Nairobi kuomba omba huko ni kuwakosea heshima na kuwakataa wakenya wenzenu waliosababishiwa ufukara na familia ya Kenyatta.
Kuna mchina mmoja alikuwa mitaa ya ka Nairobi alikuwa ndani ya gari amejifanya kuweka simu mkononi alafu akajifanya kama kujisahau hivi, aloo kila mtaa aliopita alitaka kuporwa hiyo simu video ipo you tube inachekesha na kufedhehesha sana, yani Kenya kila mtu ni mwizi kuanzia president, askari barabarani, wanajeshi mpaka raia wa kawaida ni wezi, hata hawa wa humu pia ni wezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
90% of your photos will come from Kibera then the remaining 10% zitoke mitaa ambayo hata kwa kuangalia tu are way better ylthan your uswazi hovels. Tell me how Githurai is called a slum and Tandale isn't! Githurai is better than Tandale in everything mentionableOk tuanze kuleta ground photos mm na ww za slums za Kenya na Tz mm naanza alafu wewe jibu, niletee ground photos kama hizi Tanzania [emoji116][emoji116]View attachment 2272790View attachment 2272791View attachment 2272792