Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,181
- 107,775
Sasa kelele za nini kama si mnagombea interests zenu? Umewahi ona Tanzania ikilalamika Masai kuhamishwa huko Kunyaland? Mlipowatoa Mau forest tulipiga kelele?Sijawahi kuona nchi imejaa wajinga kama Tz , kila utoto wanaambiwa wanafuatafuata , hakuna mmasai wa narok Ako na ngombe Tz infact wao ndio wanaleta narok areas around Eminangio Forests towards Loita Plains. Huyu Ledama yeye anajishugulisha na dairy cows si izo takataka za nyama(sahiwal,borana etc)
Si poa kuitana negro, lakini pia nyie ni washenzi sana, mnakuanga busy mkituita monkey na kusema ngozi yetu ni nyeusi sana, mbona hamjiangaliii pia?Cheki ulivyokuwa na colonial mentality yaani unamuita muafrika mwenzako negro hujui hiyo ni discrimination au wewe uko class moja na wazungu au umekuwa mnyapara wa mzungu? Alleviate mental slavery brother amasivyo utakuwa mtumwa tuu maisha yako yote.
Ndiyo cm zao hizo, over 99% ya Wakenya wanatumia Tecno brand na wengi ni za zamani mno.Hatutumii techno kwa wingi kwa kwenu kenyaa
Kwani they put a gun to your head[emoji1787] mimi naona ungejifichia ukiwa airport, kama ni ya mwisho mwisho mbona basi umetembea hizo maeneo zote?In africa na duniani nimetembea nchi nyingi sana na SA nimekuwa nikienda kila mara kama chooni kenya imekuwa nchi ya mwishomwisho ku visit mpaka siku moja nafika airport jamaa wa immigration aka scan passport yangu na kuniuliza wewe huwa hutembelei huku sana eh. Lakini nikajua mentality yake kichwani maana alikuwa anashangaa iweje niwe from east africa nisitembelee kenya maana kwa mtazamo wake nilijua alilishwa matango pori ya propaganda kuwa kenya ni bora kuliko nchi nyingine za EA na kwamba majirani watapenda kuja kenya little did he know kuwa nilikuja kwa lazima tuu sio hiari yangu.
Geza siwezi ambiwa hivi ninyamaze[emoji1787][emoji1787]Techno gani wakati wengine wenu hapa wanatumia hadi itel [emoji23]. Angalia posts za Geza Ulole
Wacha hasira, hakuna kitu kama langata roundabout.Wewe ni mshamba wa mji wenu kwani Langata road inaanzia wapi kama sio hapo kwenye roundabout mombasa road. Na usitegemee mgeni akupe mpaka vijina vya hivyo vijiwe vyenu kama unavyolazimisha hapa.
Halafu ndio Nairobi iko na roundabout nyingi sana njia zote za kuingia mjini ni roundabout.
The Bomas. 🤣 🤣 🤣 🤣 Wewe wacha kuji aibisha.Naipori naijua vizuri sana huwa nikija hapo nakaa kwa sehemu tatu tuu kama sio Sarova Stanley basi ni Panari au the Bomas.
Launching event ilifanyika on a Facebook post. 🤣🤣🤣 Wewe Primary school dropout hua unanifurahisha sana.Huku ni simu za bei mbaya ndio huwa launched, 10 years ago
Tuma picha ukiwa Kenya uache porojo buana. Mimi sijawahi fika Dar-is-a-slum and I have no longing for it.In africa na duniani nimetembea nchi nyingi sana na SA nimekuwa nikienda kila mara kama chooni kenya imekuwa nchi ya mwishomwisho ku visit mpaka siku moja nafika airport jamaa wa immigration aka scan passport yangu na kuniuliza wewe huwa hutembelei huku sana eh. Lakini nikajua mentality yake kichwani maana alikuwa anashangaa iweje niwe from east africa nisitembelee kenya maana kwa mtazamo wake nilijua alilishwa matango pori ya propaganda kuwa kenya ni bora kuliko nchi nyingine za EA na kwamba majirani watapenda kuja kenya little did he know kuwa nilikuja kwa lazima tuu sio hiari yangu.
Hohoho 🤣🤣🤣 Tecno kila mahali.Ndiyo cm zao hizo, over 99% ya Wakenya wanatumia Tecno brand na wengi ni za zamani mno.
Hivi kuna tofauti gani meli kuitwa MT na nyingine MV? Kama hapo juu !? Mwenye ufafanuzi please.
Meli ikiwa juu ya crade baada ya kuvutwa na winch kule Kigoma!
Na huku Mv Mwanza ikiendelea kujengwa Mwanza South port!
MT = motor Tanker ni meli ya mafuta au vimininikaHivi kuna tofauti gani meli kuitwa MT na nyingine MV? Kama hapo juu !? Mwenye ufafanuzi please.
Ile nguruwe yenye huwa inasema Kenya haina 3 level interchange imejificha wapi?
Wewe hata hujui ni kabila gani lilihamishwa Mau Forest. Yaani unajifanyanga mjuaji wa mambo za Kenya kumbe hujui lolote kuhusu Kenya. Wamaasai hawakuhamishwa Mau forest.Sasa kelele za nini kama si mnagombea interests zenu? Umewahi ona Tanzania ikilalamika Masai kuhamishwa huko Kunyaland? Mlipowatoa Mau forest tulipiga kelele?
Achana na yule mjinga Ichoboy. Hajui kwamba the first three-level interchange ukanda huu iko pale Pangani. But because he's stupid na anapenda mabishano, he has always maintained that that's not a three-level interchange. Sijui uelewa wake wa neno "three-level" ni niniIle nguruwe yenye huwa inasema Kenya haina 3 level interchange imejificha wapi?
View attachment 2269523