Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Ni kawaida ya vita mura. Vita ni vita mura, hakuna vita ndogo.
 
Wacha kutumia Google maps kujifariji. Tafuta pesa uje kutembea kenya
Yani nitumie google map kuijua Kenya ili iweje kwa uzuri gani wa Kenya mpaka nitumie google map? Hapo Nairobi napajua pote hunipotezi na i have gone as afar as eldoret, naivasha, nakuru nyaruhuru, kibaki homeland, kiganjo, nyeri, nanyuki, meru, embu na Isiolo airport yenu ya miraa etc.
 
Wacha kutumia Google maps kujifariji. Tafuta pesa uje kutembea kenya
In africa na duniani nimetembea nchi nyingi sana na SA nimekuwa nikienda kila mara kama chooni kenya imekuwa nchi ya mwishomwisho ku visit mpaka siku moja nafika airport jamaa wa immigration aka scan passport yangu na kuniuliza wewe huwa hutembelei huku sana eh. Lakini nikajua mentality yake kichwani maana alikuwa anashangaa iweje niwe from east africa nisitembelee kenya maana kwa mtazamo wake nilijua alilishwa matango pori ya propaganda kuwa kenya ni bora kuliko nchi nyingine za EA na kwamba majirani watapenda kuja kenya little did he know kuwa nilikuja kwa lazima tuu sio hiari yangu.
 
Hapo umedanganya. Njia kuu za kuongia mjini actually hazina roundabouts nyingi vile, zile za mitaano ndio ziko na roundabouts kibao. Mfano, waiyaki way iko na roundabout moja tu pale Westlands ambayo pia ilifungwa like four years ago. Mombasa road has only one at Nyayo stadium, Jogoo road has two (the one towards Eastleigh and another one ya kuingia industrial area). Thika road haina roundabout.

I can't list all of them but kiufupi ni kwamba major roads heading into the cbd hazina roundabouts
 
Asante sana mheshimiwa Ole Shangai, mbunge wa Ngorongoro kwa kuzungumza ukweli dhidi ya serikali kandamizi ya CCM.
Cc Geza Ulole
Hao kina Geza Ulole ni wapumbavu ccm ya sa100 inafanya uhuni kwa watz wao wanashangilia ...ukweli unajulikana sasa ..mama sa100 kampa mtoto wa muhuni kikwete kuwa kwenye hiyo wizara tutegemee dhuluma kubwa nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…