Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wishful thinkerπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.., inauma kuona Town coverage ya Mombasa ni kubwa kuliko ya Dar is slum πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚



 
I think the restrictions all boil down to rampant terror attacks at the coast. Though hata Nairobi kuna sehemu huwezi fly drone, Muthaiga being one of them
 
You have a very miserable life, Nairobi inakukosesha usingizi tena unaongezea Mombasa. 🀣 🀣 🀣 Chunga sana usikufe na stress.
 
Kwani majengo holela ni kwa vile watu wanajenga peke yao au kushindwa kwa serikali kupima ardhi nchi nzima? Huwezi kuzuia watu kujenga! serikali na mashirika yajenge na wakati huo huo serikali isiache kupima ardhi na kuisimamia kwa wale wanavunja mipango iliyosimamiwa ya ardhi hiyo!
 
Huyu kaumia vibaya sana sio utani
 
Blame poor camera quality and did you knw hazina towers the building with the crane walimaliza kujenga kitambo[emoji23]
You mean alileta picha ya Hazina Towers ikiwa bado linajengwa na kusema amepiga picha yeye mwenyewe? πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Huyo jamaa ni kilaza sana! Jana nilimwambia atume screenshot ya location yake kwenye Google Earth. Hajanijibu πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…