Omera wewe unadowload picha kubali yaishe. Hiyo picha ya Tom mboya statute haifanani hivyo kwa sasa. Sema tu unatamani kufika NairobiNimegundua 90% ya wakenya waliopo humu JF sio wakazi wa Nairobi....wengi mpo ushagoo
Hii picha ni ya lini?Hivi Nairobi hakuna sehem ya kutupia takataka? Nkmetembea sana huu mji lakini nimekuta sehem chache sana nahisi mna kazi kubwa sana ya kuusafisha huu mji wenu
I was just adding my two centsDoes that change anything? Or what exactly is your point?
Kama Ruai ni slum, Dar ni slum 97%.., mbona haukuchunguza kutumia google earth, map umepewa, uone ukubwa na upana wa maeneo umetajiwa yalivyo., Bro Baba levo mbishi hakuwadanganya., alishangaa., alidhani ataona Kibera type slums kila sehemu ya Nairobi lakini wapi.., mtangoja miaka 25 na zaidi mbeleππ ππππππjibu langu kwako ni simple tu π€£π€£π
View attachment 2266340
Kwani Kenya hawaendi
Kibera hawafiki 300k., hizi propaganda ziliumbuliwa kitambo.., census data iko., Kenya sio Tanzania, tunaweka kila kitu wazi wazi na uongo tunaumbua π π π π π π πikiwa kibera alone ina over 2.5m people what about other slums like makuru kayaba, kisumu ndogo, mathare, korogocho etc π€£π€£π€£π€£
Some facts and stats about Kibera, Kenya | Kibera UK
A whole range of interesting facts and statistics about Kibera, Kenya in Africawww.kibera.org.uk
So if someone is stupid we can't tell him so? It's common sense bongolala. 2.5 million people can't fit in an area measuring just 2.5 square kilometers.Sasa unalia nini?, hiyo namba hajaitoa kichwani mwake, wewe ilipaswa kupinga kwa data, sio kwa kutumia machozi na kamasi[emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Dreamhouses hizo πππThis place is right next to Oyster Bay, one of Darβs most affluent suburbs. Anything to say about it?
View attachment 2266074View attachment 2266073View attachment 2266072View attachment 2266071View attachment 2266070
Mawazo mazuri mzee..ni maamuzi ya kutenga budget na kuanza kutekelezaUmeongea vizuri kaka, ngoja niongezee na mimi kidogo.
Tukiendelea na huu utaratibu wa watu wajenge nyumba hatutafika, mashirika ya serikali kama watumishi housing, nhc jeshi, tba nk yana uwezo wa kujenga nyumba ila saa nyingine inakuwa ngumu kupata wateja sababu watu wanajijengea.
Ili kuondoa makazi holela serikali izuie kwa sasa watu kujenga then iweze she makampuni kama nhc nk yajenge nyumba kwa Kuanzia serikali ikubali hasara au nusu hasara, kwa mfano itoe bilioni 100 kila mwaka kwa tba, nhc nk wajenge nyumba kwa sharti la kuvunja sehemu zilizo hovyo kama wslivyofanya magomeni kisha wananchi walioathirika wa napata nyumba zinazobaki wanauza au kupangisha.
Tujenge maghorofa, ujenzi wa nyumba za chini sio mzuri unafanya miji inakuwa mikubwa na Hatuwezi kupeleka barabara maji na umeme.
Mfano ukijenga maghorofa 10 ya floor 10 kila moja na kila floor inachukua familia 2 maana yake jengo moja litakuwa na familia 20,majengo 10 familia 200.
Ukijenga nyumba za chini 200 utachukua eneo kubwa sana na utahitaji mitandao ya maji barabara na umeme nk.
Watu wansobomolewa nyumba kupisha miradi wasilipwe fidia ila serikali ijengwe nyumba wahamishiwe kwenye hizo nyumba, fidia ilipwe tu kama kilichohusika kwenye mradi sio nyumba ya kuishi.
Sheria za miji ziheshimiwe, si kila nyumba ilio pembeni ya barabara basi iwe na frame(s)
Kuwe na maeneo maalumu ya biashara.
Nyumba kama za wamasai handeni zinatosha kwa watu wa hali ya chini, zikijengwa kama zile 1000 kila mwaka kureplace makazi holela nazo pia zitasaidia.
Haya ni mawazo yangu, hii sehemu ya makazi Magu hskuigusa, ni Wakati Wa mama kujichukulia ujiko eneo hili.
Hapa umepigia mbuzi guitar., hawapendi such truth., hard facts.,So if someone is stupid we can't tell him so? It's common sense bongolala. 2.5 million people can't fit in an area measuring just 2.5 square kilometers.
Secondly data on Kibera is so varied. Most of these data come from NGOs that inflate figures in order to attract funds from their donors. There are publications that quote 2.5 million people, some say 2 million people, others 1.5 million people while some even say 700,000 people. So who is saying the truth between them? These articles below all quote different figures about Kibera population
Kibera: a look inside Africaβs largest slum
Situated on the outskirts of Nairobi is the largest informal settlement (slum) in Africa: Kibera - a vibrant but densely populated place, where the threat of coronavirus (Covid-19) is developing into something potentially worse than the virus itself.www.concern.org.uk
Kibera
Kibera is within the city of Nairobi in Kenya. The United Nations estimates that there may be as many as 1.5 million people living in a densely populated area approximately the size of Richmond Park...www.lunchbowl.org
The World's Largest Slums: Dharavi, Kibera, Khayelitsha & Neza | Habitat For Humanity
www.habitatforhumanity.org.uk
The truth is, population ya Kibera haifiki hata 500,000 people. It's just between 200k-300k max. Kibera is a constituency and according to 2017 IEBC data, it had 118,000 registered voters. How can an area with 2.5 million people have only 118k voters? Common sense!!
Hiyo picha yake ameizungusha hapa miaka mitatu sasa na kila akiileta anaumbuliwa. Kama Ruai above ni slum zile uchafu zao tutaitaje?Kama Ruai ni slum, Dar ni slum 97%.., mbona haukuchunguza kutumia google earth, map umepewa, uone ukubwa na upana wa maeneo umetajiwa yalivyo., Bro Baba levo mbishi hakuwadanganya., alishangaa., alidhani ataona Kibera type slums kila sehemu ya Nairobi lakini wapi.., mtangoja miaka 25 na zaidi mbeleππ ππππππ
View attachment 2266423
View attachment 2266424
View attachment 2266425
View attachment 2266426
Nice!WRC has officially landed in KENYA,cage unpacking in progress π.
Yaani hauwezi kulinganisha.., in Tanzania hizi π π shanties zao eti sio slums, in Kenya such stupid houses bado ziko categorized as slums.,Hiyo picha yake ameizungusha hapa miaka mitatu sasa na kila akiileta anaumbuliwa. Kama Ruai above ni slum zile uchafu zao tutaitaje?
The moment I saw Uthiru and Ruai in the list nilianza tu kucheka. Kwanza Ruai of all the places! ππYaani kama Uthiru, Riruta, Ruai, eti Ruai π π π π π π ., Githurai., kama hizo ni slum Dar ni slum 95%.., google earth msema ukweli.., bro Walker255 hana chuki, ako very objective na honest., wewe ukweli unakuuma., not all slumss are slummy as u think., if these areas are slums ina maana mko hovyo zaidi, na liko wazi sanaπππππππ
Riruta
View attachment 2266406
Kawangware
View attachment 2266407
Uthiru
View attachment 2266408
View attachment 2266409
Kibera slum pale kati kati.., tazama kulia na kushoto yake..., Tanzania haupati such residential in a big way..,
View attachment 2266412
Kibera's jirani wa kushoto
View attachment 2266413
Kibera's jirani wa kulia
View attachment 2266414
Githurai eti ni slum.., tuone kwa ukubwa na upana hii slum ilivyo.,
View attachment 2266415
View attachment 2266416
View attachment 2266417
View attachment 2266418