Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fagia kwako, hapa sio IG.
 
Mombasa tumebarikiwa, hauhitaji pesa nyingi kula vyakula vitamu, ukitembea kwa streets utapana na bajia, shawarma, viazi karai, mkate wa sinia, haluwa, samaki wa kupaka etc
Watu wa pwani wanajua mapishi mkuu sio Mungiki wa bara huko Nairobi na kwingineko
 
No brother, kwa taste tumewapita mbaali sana, mnachotuzidi zaidi ni bei.
Pia to be honest Nairobi ni jiji zuri sana sana...hii battle ya Watz na Kenya ni kujitoa ufahamu tu.
Asante kwa kukubali kwamba Nairobi imeishinda Dar kwa maendeleo. Wenzako hawatafurahia kauli yako lakini ulichosema ndio ukweli.
Cc The best 007 chongchung coodip1
 
Wacha nikueleze kitu, geothermal power sisi hatutaiwacha. In fact tutaendelea kuzalisha zaidi hadi ifike 5,000 MW. Wewe subiri utaona.
 
Asante kwa kukubali kwamba Nairobi imeishinda Dar kwa maendeleo. Wenzako hawatafurahia kauli yako lakini ulichosema ndio ukweli.
Cc The best 007 chongchung coodip1
Mimi sio mwanasiasa so uongo haunihusu.
Dar ni moja ya jiji la hovyo kabisa, atateta mtu ambaye hajavuka border na hana exposure yoyote kimataifa.
Uzuri wa Westland huwezi kufananisha na chochote EA nzima
 
Asante kwa kuwa mkweli. Huo ndio uungwana. Sio watu wanaopinga tu hovyo na hata hawajafika Nairobi wajionee kwa macho.
 
Hahaha. Mbona umesema hivyo? Tumefanya nini?
Shida wa Wakenya bwana hamna ukarimu wowote. Nakumbuka nikiwa mgeni Nairobi nilikuwa natafuta spare ya gari yangu.
Nimezunguka kuitafuta DT. Dobie, yaani nimefika jirani tu, nikajaribu kuuliza yaani hakuna anayekujibu, aliyenijibu aliniambia nipee 20, nilimpo hiyo 20 alipoint tu na kusema..ati palee😂😂
Mmejaa ulafi sana lkn pia ni wapambanaji mno kutafuta pesa kwa any means
 
Wacha nikueleze kitu, geothermal power sisi hatutaiwacha. In fact tutaendelea kuzalisha zaidi hadi ifike 5,000 MW. Wewe subiri utaona.
Wachana na huyo hajui sahii scientist are busy researching how to extract lithium from geothermal. Na hio ndio itakua game changer kwa energy industry and it will lead a whole new industrial revolution.

Usitubebe ufala huwezi ku-extract lithium toka geothermal energy inaelekea hata ujui energy extraction process ya geothermal! geothernal ni heat energy harnessing wakati lithium ni metal that is mined. Scientists r simply trying to see how a combination of 2 energy sources can work together in a circle like the heat from geothermal can work and complement lithium anodes in a rechargeable battery. Mkunya wacha ujinga!
 
Wacha nikueleze kitu, geothermal power sisi hatutaiwacha. In fact tutaendelea kuzalisha zaidi hadi ifike 5,000 MW. Wewe subiri utaona.
Mjiandae kufunga viwanda kwasababu "costs of production", zitakua kubwa Sana ukilinganisha na Tanzania au Ethiopia, Tanzania tutaendeleza ubabe wa kuwa "Biggest exporter" ktk ukanda huu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…