Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani tofauti kati ya ligi ya Kenya na Tz ni milioni 560 za kitanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
League ya jirani ni sawa na zile league za ndondo cup za mtaani [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani ngoja niiweke kikenya ili wanielewe.

Yani tofauti ya ligi ya Tanzania na Kenya ni milioni 28 za kenya, mshindi wa kwanza Kenya anapata ksh 2mil wkt mshindi wa kwanza Tanzania anapata ksh 30mil[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na hapa nimeweka exchange rate ya Ksh 1/20Tzs mana pesa yao imeshuka thamani with respect to Tsh ila nikiweka ya 1ksh/22tsh inazidi hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kenya ni mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Juzi nimeona bingwa wa Kenya akibeba kombe aisee kama ligi ya uchochoroni, jezi zimechoka, wachezaji wanaonekana wana njaa kweli kweli, no wonder players wa Kenya wote ndoto zao ni kucheza TPL.
 
Kumbe wewe jamaa ni mjinga kiasi hiki. Mpende binadamu mwenzako utakavyo lakini huwezi kujuwa matendo yake anayofanya kwa siri. Inawezekana kweli mema yake ni 100,000 na mabaya yake ni kumi lakini kila jema lina mizani yake na mabaya ni hivyo hivyo. Inawezekana hayo mabaya ingawa kidogo lakini yakawa na uzito mara 100 ya hayo mema yake,
 
Hana upeo huo! msamehe...!
 
Peleka upumbavu wako mbali yn mtu apambanie haki na maendeleo ya watu milioni 60 dhahiri shairi eti aende motoni kisa kamzingua mtu mmoja au watano ambao tunajua walikuwa na malengo binafsi, huyo Mungu wenu wenu pekeenu Zenji gang au?
sasa si ufe umfuate?
 
Tanzania is like a ball to Kenya tunacheza tunaye tunavyotaka

Unaropoka wakati wanaolalamika ni nyie Kunyaland?

Tutawanyoosha 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220617-195916.png
    79.3 KB · Views: 34
  • Screenshot_20220617-195931.png
    46 KB · Views: 27
  • Screenshot_20220617-195948.png
    44.7 KB · Views: 27
  • Screenshot_20220617-200028.png
    43.8 KB · Views: 31
Sinza mtaa ya middle class barabara pia ni shamba, aibu kubwa hii ndio barabara inaenda school of law. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] The best 007


Kwanza kubali hapa co Tz ili tuendelee kwasababu siwezi ku argue na mtu muongo, so kubali hapa uliongopa [emoji116][emoji116]
 
Nimerudi sasa. Wapi wale wachawi was Arusha? Leteni airport ya Arusha kama mko na makende.


 

Attachments

  • 20220613_153532.jpg
    724.5 KB · Views: 41
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…