Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahaha hua kwake sioni marudio zaidi alipost wanjala maana wanjala alirudia akachoka majengo ni yale yale wakat renders zikionekana nyingi zaidi kila siku ila i love renders😀😀😀😀😀😀😀
Kama vile wenzako hupenda kusema naona unajitekenya na kucheka mwenyewe....render gani iliwekwa yenye haijaanza kujengwa
 
Kama vile wenzako hupenda kusema naona unajitekenya na kucheka mwenyewe....render gani iliwekwa yenye haijaanza kujengwa

e renders😀😀😀😀😀😀😀[/QU
hebu mwambie anioneshe renders alizoeka na anioneshe wapi ujenzi upo😀😀😀😀 ukitoa avic maana yule investor pesa anayo
plz do the needful
 
thubutu....msingekuwa mnatuwekea render images kila siku....hizo bado zipo kwenye papers.
Naah, Pinnacle, Montave, AVIC haziko on paper, ziko under consturction. Uhuru Kenyatta laid foundation ya Pinnacle. Ndio hio Montave underway
montave.jpg
montave1.jpg
 
Naah, Pinnacle, Montave, AVIC haziko on paper, ziko under consturction. Uhuru Kenyatta laid foundation ya Pinnacle. Ndio hio Montave underway View attachment 587371 View attachment 587372
thanks aise renders tamu sana 😀😀😀😀😀😀😀
asante sana mbavu zanguuuuuuuuu zinauma😛😛😛😛
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
thanks aise renders tamu sana 😀😀😀😀😀😀😀
asante sana mbavu zanguuuuuuuuu zinauma😛😛😛😛
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Wewe post tuone penye mnaishi sasa
 
Wewe post tuone penye mnaishi sasa
hahaha hebu show me wapi munajenga renders plz show me again😀😀😀😀😀😀😀
plz nioneshe again plz broooooo😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hii sio nairaland bro sisi wabongo tunajua mpaka chupi munazovaa😛😛😛😛😛😛
at least for the first time u made me happy
 
mshamba...hamna project inayojengwa bila renders.nenda kote duniani utaona renders...barabara, hospitali,reli, vyumba, stesheni, shule etc zote huwa na renders...mfano mzuri tu ni SGR Kenya...we have its renders...
Povu...
 
hebu mwambie anioneshe renders alizoeka na anioneshe wapi ujenzi upo😀😀😀😀 ukitoa avic maana yule investor pesa anayo
plz do the needful
acha kuzunguka huku na kule..wewe ndio umesema ni renders na hakuna kujengwa.ni render ipi yenye haijaanza kujngwa??unaniambia nimuulize yeye tena...ebu jiamini
 
meanwhile...wabongo wakiendelea kulia juu skyscraper boom yao imefika mwisho.hakuna jipya tena zaidi ya mnf na mzizima.acha nairobi tuendelee kushusha vitu..
the marquis kileleshwa...21 floor twin tower
6.jpg
DuLW2Kc.jpg
IMG_0780.jpg

upperhill chambers upperhill-26 floors
MydaLZj.jpg
fU3M4Wo.jpg
IMG_0095.jpg
 
Ichiboy amepotea. Kwani watu dar wanaishi wote cbd ama kwa hizo deach hotels?😀. Post hoods brazaaa
mwache huyo jamaa...mi nashuku masomo yake ni madogo...post zake huwa ni either povu ama renders...zaidi ya maneno hayo mawili hana ufahamu wowote...
 
meanwhile...wabongo wakiendelea kulia juu skyscraper boom yao imefika mwisho.hakuna jipya tena zaidi ya mnf na mzizima.acha nairobi tuendelee kushusha vitu..
the marquis kileleshwa...21 floor twin tower

upperhill chambers skyscrapercity-26 floors
wah! this will be a masterpiece...inajengwa wapi?
MydaLZj.jpg
 
mwache huyo jamaa...mi nashuku masomo yake ni madogo...post zake huwa ni either povu ama renders...zaidi ya maneno hayo mawili hana ufahamu wowote...
Mkuu unajitahidi kwa swahili yako acha nikuongezee kwa nia njema;
Masomo yake=elimu yake
 
Back
Top Bottom