Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oneni huyu bongolala, eti barabara moja...wakenya wenzangu nawaomba watu kama hawa tuwapuuze
Kweli, inabidi tuanze kuqoute watu wanaojielewa. Mfano ile mbwa inaitwa chongchung whatever nishai ignore kitambo sana.
 
Huwa wanaogopa kuweka residential area zao, wanaweka tu maeneo wanayoishi wazungu, wahindi na wanasiasa. Kenya na wakenya ni mavi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…