REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,675
- 11,690
This Kikwete guy is a dumb-ass to the core - what a tragedy!
Sikulaumu naelewa nyie washamba wa South hamna city kama hii huko kwenu. Kwa hivyo sikushangai kwamba huelewi hizi cities zitendelea kujengwa kwa miaka mingi. Watch this space. Konza city is the pride of East Africa. The only city of its kind in East Africa. Huko kwenu hamna kitu kama hikiKibaki alikuwapo akaenda, sasa uhuru anaenda! dude halijakamilika!
Sijui ni kwa nini unafikiri minister of Foreign affairs wa Italy anaweza kuja kupoteza muda wake Konza city ikiwa ni kweli Konza city haina maana.Kibaki alikuwapo akaenda, sasa uhuru anaenda! dude halijakamilika!
Tutawafinya kabisa kwenye hili suala la ngorongoro. Kwanza huyu tunacheki ana subscribers wengi sana youtube.
Page nyingine ya kikenya inapotosha huko youtube,hawa jamaa wajinga sana
Wacha ujinga. Sasa unafikiri 30 kms from Nairobi CBD sio tarmacked? Kenya inajenga 150 km of continuous dual carriageway kutoka CBD hadi town inaitwa Marua ambayo ipo 150 km from CBD. Isitoshe Naiobi ina 100 km of ring road ambayo pia ni dual carriageay. Yaani Nairobi imezungukwa na 100 km ya bypasses ambazo ni dual carriageway kwa jina Northern, Eastern, Western na Southern Bypass. Barabara hizi nne ni 100 km of dual carriageway ambayo zimeizunguka Nairobi. Nyie mnajaribu kutucopy kwa kujenga bypass kama hii Dodoma ila yetu imekamilika na inatumika na yenu ujenzi ndio umeanza. Tazama pichaZaidi ya kilometers 30 kutoka CBD
Tarmacked streets, Nairobi haifiki huku
1100 doctors wakati itakua na less than 500 patient beds ๐ ๐ ๐ ๐Groundbreaking ceremony for the construction of the Kenya international mental wellness hospital, ngong
View attachment 2260997
View attachment 2260998
View attachment 2260999
View attachment 2261000
The facility will employ 1100 doctors and other medical staff
Nyinyi finyeni kwa mipasho sisi tutafinya kwa vitendo na kuwafurusha Masai wa Kenya woteTutawafinya kabisa kwenye hili suala la ngorongoro. Kwanza huyu tunacheki ana subscribers wengi sana youtube.
An empty set as usual
Wakati wame-release video za render za station za sgr Kenya nilikuwa naangalia design concepts, kuwa zina-reflect local sceneries and culture. Lakini mambo yakawa tofauti. I think wachina wanafanya bidii sana kuweka influence yao, hata kwenye architecture. Sijajua sgr ya Mwanza-Isaka watatoa renders za station lini (They should have all the drawings ready by now). Ila Ngoja tuone mambo yatakavyokuwa.mwonekano wa hii station na mazingira yake pemben unafanana na station ipi hapa east africa?
#ChinaMade #ChineseCulture
Mbona hakumpa na huyu mipasho kama alivyompa Ndugai kwa kusema ukweli? Ajiandae 2025 aachie nchi, kwanza sio mtanzania!
We always learn from fools mistakes, we use Kenya as an experimental animals before we can use that during human being, we are smarter than you, hatukurupuki Kama ninyi.[emoji23][emoji23] laughable, are you admitting that you like following in our footsteps
swadakta.! hapo umegonga ndipo mkuuUkiona wanapinga kwamba hizo picha sio za Kisumu just know that they are indirectly admitting that Kisumu ipo juu
Cc ichoboy01
I usually wonder how you survive with this kind of reasoning. So Kwa maisha yako yote hujaiskia the word outpatients? Outpatients are the backbone of every hospital and they are the majority. Hospital with 100 beds can have 5,000 outpatients in a day.1100 doctors wakati itakua na less than 500 patient beds ๐ ๐ ๐ ๐
Kwanza hiyo hospital itakua na vitanda 200 vya wagonjwa, hao madaktari 1100 watakuwa wanafanya shughuli gani au nao watakuwa wagonjwa sometimes?I usually wonder how you survive with this kind of reasoning. So Kwa maisha yako yote hujaiskia the word outpatients? Outpatients are the backbone of every hospital and they are the majority. Hospital with 100 beds can have 5,000 outpatients in a day.
You are a fool. Have you ever heard of outpatient department in an hospital?Kwanza hiyo hospital itakua na vitanda 200 vya wagonjwa, hao madaktari 1100 watakuwa wanafanya shughuli gani au nao watakuwa wagonjwa sometimes?