Jeshi la Polisi nina imani nalo litamaliza kazi mapema labda siasa ziingilie kati.Jeshi la polisi limeahidi kuendeleza kutoa kichapo kwa yeyote atakayeleta ujinga japo Magufuli kiboko ya wakenya hayupo
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
ngoja nikusaidie kuwatag sasa 😂😂Ubepari ni mbaya sana...
Check watu wasio na uwezo wanavyoshindwa kutumia barabara kwa sababu ya malipo...
Sasa hio barabara imejengwa ili iweje...
Wakenya kuna kitu hakiko sawa nchini kwenuView attachment 2259798
Wako busy na maasai wa Ngorongoro hilo la Kenyata siyo big deal kwao.
[emoji846][emoji846] ni kwamba hawana uwezo wa kulipia barabara yao wanaamua kukomaa na foleni wapoteze muda na mafuta lakini siyo kumlipa mchina.Ubepari ni mbaya sana...
Check watu wasio na uwezo wanavyoshindwa kutumia barabara kwa sababu ya malipo...
Sasa hio barabara imejengwa ili iweje...
Wakenya kuna kitu hakiko sawa nchini kwenuView attachment 2259798
ha haaaa ni wapuuzi sanaUbepari ni mbaya sana...
Check watu wasio na uwezo wanavyoshindwa kutumia barabara kwa sababu ya malipo...
Sasa hio barabara imejengwa ili iweje...
Wakenya kuna kitu hakiko sawa nchini kwenuView attachment 2259798
Huyu asikuite bro anatetea waarabu wenzake wa UAE[emoji23]lazma nguvu itumike kidogo bro bora kuchunga mbuzi lakini sio binaadamu
Hizo interchange 5 underway zote zinazinduliwa mwaka huu.. ndio mtajua hamjui, BRT system tunayo tena 3 phases while uko kwenu 0, mkija huku kwenye interchange (uwanja wenu wa kujidai) tunapindua meza soon .. 5 years 9 interchange 😂😂😂 sujui mtajivunia nini nyie jamaa, jiandaeni kisaikolojia..Usihesabu hizo 5 ambazo bado zinajengwa. Bado mna interchanges 4 tu.
kajambanani wana lanes zao!Ubepari ni mbaya sana...
Check watu wasio na uwezo wanavyoshindwa kutumia barabara kwa sababu ya malipo...
Sasa hio barabara imejengwa ili iweje...
Wakenya kuna kitu hakiko sawa nchini kwenuView attachment 2259798
upuuzi tu, mumeguswa kipele munaanza kulia na hili jambo nilijua tu munahusika nyinyi sio bure 😂😂😂😂 poleni kwa kutoneshwa kipeleHuyu asikuite bro anatetea waarabu wenzake wa UAE[emoji23]
Kajamba nani wao wanafurahia kuiona barabara tu na kupiga picha 😂😂😂 they can't afford it ..kajambanani wana lanes zao!
Duuhh aiseee.waiteni hapa alaf wakatae sasa [emoji23][emoji23][emoji116]
View attachment 2259784View attachment 2259785View attachment 2259786View attachment 2259787
Huwezi amini wakunya wengi wa humu wanaishi hapo pipeline.[emoji2962][emoji2962][emoji15]asee
Na wewe imeingia katika Kundi la choyo. Tizama watu wa miaka yake Zanzibar wanavaa nguo gani? na wanazungumza vipi ati anajiona muarabu.Huwa anajiona mwarabu sana. Tatizo ngozi lake bado ni nyeusi. Ana mitindo ya kiarabu kiarabu. Hata kuzungumza kwake kuna uarabu mwingi.
Tulisema ile ilikuwa picha ya uzinduzi, watu wakapita bure, sasa hii ndiyo picha kamili sasa, watu wameanza kulipishwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ubepari ni mbaya sana...
Check watu wasio na uwezo wanavyoshindwa kutumia barabara kwa sababu ya malipo...
Sasa hio barabara imejengwa ili iweje...
Wakenya kuna kitu hakiko sawa nchini kwenuView attachment 2259798
Alafu angalia public buses za Kenya aisee, yn ndiyo ziko hvyo hvyo zootee, jamaa ni mafukara mno mm nawaambia ndugu zangu, Wakenya ni mafukara zaidi ya unavyoweza ku imagine.Ubepari ni mbaya sana...
Check watu wasio na uwezo wanavyoshindwa kutumia barabara kwa sababu ya malipo...
Sasa hio barabara imejengwa ili iweje...
Wakenya kuna kitu hakiko sawa nchini kwenuView attachment 2259798
Alafu bado wanatumia nguzo za umeme za miti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ubepari ni mbaya sana...
Check watu wasio na uwezo wanavyoshindwa kutumia barabara kwa sababu ya malipo...
Sasa hio barabara imejengwa ili iweje...
Wakenya kuna kitu hakiko sawa nchini kwenuView attachment 2259798
Atafurahi tuu huko OmaniYaani nafurahi kweli kitu Kenya mnachofanya, mshikisheni huyu mama adabu kabisa, nikikumbuka alivyokua akimkashfu JPM kwa reciprocation alizokua akichukua dhidi ya ***** ***** kutoka kwa Uhuru wacha aone true colors za kenya!