mbona kwenye haya mambo hamuendi sasa ???Wakenya tayari wameshawasilisha kesi katika international court of Justice (ICJ) na kuishtaki serikali ya Tanzania kwa kukandamiza haki za kibinadamu za wamaasai wa Tanzania.
Yaani nafurahi kweli kitu Kenya mnachofanya, mshikisheni huyu mama adabu kabisa, nikikumbuka alivyokua akimkashfu JPM kwa reciprocation alizokua akichukua dhidi ya ***** ***** kutoka kwa Uhuru wacha aone true colors za kenya!Wakenya tayari wameshawasilisha kesi katika international court of Justice (ICJ) na kuishtaki serikali ya Tanzania kwa kukandamiza haki za kibinadamu za wamaasai wa Tanzania.
Haya mazingira ya hili ghala yaboreshwe kwasababu yanahifadhi chakula kinachotumiwa na wanadamu. Serikali iwasaidie kuwaboreshea mazingira wafanyabiashara. Si salama sana kwa ulinzi wanaweza kufanyiwa hujuma za kuibiwa bidhaa zao.Taarifa murua kabisa kutoka DRC
Tony254 nakumbuka ulikuja na moto kichizi kipindi DRC inajoin EAC, mkasema mnataka kuifundisha Tanzania namna capitalism mentality ilipowafikisha [emoji23][emoji23][emoji23] eti DRC mtaenda kupata vyote mnavyopata Tanzania ikiwemo mahindi [emoji23][emoji23][emoji23]
Masikini hamkujua DRC mwenyewe anakula kwa jeuri yetu, yaani ninyi nyote ni wagonjwa wetu, Tanzania ndio daktari [emoji23][emoji23][emoji23]
Na hiyo mentality yenu kwamba soko la mazao ya Tanzania ni kunyaland pekee, ife kuanzia saivi
Mama ndio kaanza ukatili. Sisi hatukuwa na tatizo na yeye hapo awali.Yaani nafurahi kweli kitu Kenya mnachofanya, mshikisheni huyu mama adabu kabisa, nikikumbuka alivyokua akimkashfu JPM kwa reciprocation alizokua akichukua dhidi ya ***** ***** kutoka kwa Uhuru wacha aone true colors za kenya!
Jeshi la polisi limeahidi kuendeleza kutoa kichapo kwa yeyote atakayeleta ujinga japo Magufuli kiboko ya wakenya hayupoWanataka boyfriend wa mama fulani aje kuwinda wanyama huko bila kusumbuliwa na Wamaasai.
Vazi zuri sana la mama mwenye stara zake,tena la utamaduni wa mama Afrika. Amependeza sana. [emoji2956][emoji2956]Hii ni nini amevaa jameni?
mshamba huyo hawezi kuelewaTonny huwezi jua umuhimu wa hiyo video uliyoona na jinsi BRT inavyotransform eneo. Angalia hii Msimbazi Street kabla na baada ya BRT Phase 1. Hii Barabara ilikua mbovu ikiwa na fujo zote na watembea kwa mguu walikua wanatembea kwa hatari, sasa hivi ipo vizuri pedestrian wana eneo kubwa la kutembea, dedicted Bus lane na magari mengine ya kawaida yametengwa. hizi picha zote nimepiga mwenyewe toka mwanza na najua umuhimu wa haya mabadiliko.
Before BRT Lanes.
View attachment 2259534
BRT Bus stops zikaanza kuchimbwa.
View attachment 2259536
BRT Lanes zikaanza kutengenezwa
View attachment 2259537
After BRT lanes and Bus stops ( Bado Mabasi hayajaanza kupita)
View attachment 2259538
After the BRT Buses become operational.
View attachment 2259539
View attachment 2259540
View attachment 2259542
You see the order?
View attachment 2259543
View attachment 2259544
Huo ni mtaa mmoja tu wa Msimbazi, sasa BRT PHASE 3 itapita barabara muhimu kadhaa , Sokoine Drive, Azikiwe ambayo ni sura ya CBD yetu, Maktaba Square , Biti titi na Uhuru na Nyerere road all the way to Gongolamboto. Dar haitakua imepauka tena.
All Photos taken by me for educational purposes.
View attachment 2259551
View attachment 2259555
mama naye mizinguo yaani kama Bi harusiHii ni nini amevaa jameni?
🤣🤣🤣 Licha ya majibu mazuri uliyopata toka kwa bwana NDINDA Ila kuna Habari mbaya kwa wakenya nakupatia bro, kwasasa DAR iko na interchange 9 . 4 done ✅ 5 zipo under construction . ona vile tunavyokuja kuwapita kwenye kila kitu .. tumeanza kujenga hiz interchange 2017 lakini tunavyoongea hadi sasa tunazo 9 ndani ya DSM tu bila kusahau na madaraja makubwa 3Mimi sioni kuna nini la maana hapo kama kujenga interchange Dar kumewashinda. Utalingashaje huu upuuzi na interchanges kibao ambazo zimejaa Nairobi? Sasa kama unazungumzia battle ya street level kisha uulize mzungu achague mji upi bora kati ya Nairobi ambayo ina interchanges zaidi ya 15 na Dar ambapo juctions hazina interchange ni obvious atachagua Nairobi. Dar nzima ina interchanges chini ya 5.
Cc Sama boy 255
Usihesabu hizo 5 ambazo bado zinajengwa. Bado mna interchanges 4 tu.🤣🤣🤣 Licha ya majibu mazuri uliyopata toka kwa bwana NDINDA Ila kuna Habari mbaya kwa wakenya nakupatia bro, kwasasa DAR iko na interchange 9 . 4 done ✅ 5 zipo under construction . ona vile tunavyokuja kuwapita kwenye kila kitu .. tumeanza kujenga hiz interchange 2017 lakini tunavyoongea hadi sasa tunazo 9 ndani ya DSM tu bila kusahau na madaraja makubwa 3
Toka lini mkamiliki akili?Natural dams 🤣 🤣🤣 Primary school dropout umeamua leo utumalize na kicheko.
Aisee [emoji849][emoji849][emoji848]Mkunya na uchafu!
Huwa anajiona mwarabu sana. Tatizo ngozi lake bado ni nyeusi. Ana mitindo ya kiarabu kiarabu. Hata kuzungumza kwake kuna uarabu mwingi.mama naye mizinguo yaani kama Bi harusi
kwani nyinyi mamabo ya tanzania yanawahusu nn au kuna sehemu mumeguswa amabayo mulikua mukifaidika nayo??🤣🤣🤣Mama ndio kaanza ukatili. Sisi hatukuwa na tatizo na yeye hapo awali.
Tulisema hapo before hawa nyang'au ukienda nao kistaarabu wanakuona dhaifu na kusahau wema wako. Sasa hapa wanaanza ***** ***** zao. Ili mama aende nao sawa awaachie wazee wa kazi muda mfupi tu wataomba diplomasia itumike.Yaani nafurahi kweli kitu Kenya mnachofanya, mshikisheni huyu mama adabu kabisa, nikikumbuka alivyokua akimkashfu JPM kwa reciprocation alizokua akichukua dhidi ya ***** ***** kutoka kwa Uhuru wacha aone true colors za kenya!