dawa yao ndio hiii comrade, analeta porojo za Uhuru park,sehemu ambayo ma-jobless wengi wa kenya hupenda kwenda kulala kwenye manyasi kutafakari maisha yao.Hahahaha, [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Jibu kuntu kabisa, you killed em softly.
yah karibu tena....maana ulipotea kimya kimyaDah! Nimeumisi Uzi huu nilijihisi mpweke kuwa mbali nao nimatumaini yangu ninyi nyote mnasiha njema na mnauendeleza mtanange huu
Salamu zangu za dhati Kwa
Annael,kadoda,lusematic,colomz,ichoboy,el matador,ndinda,saadeque,tuusan,wanjala,evart,zuwena,lewis,jay ,light yaghami na wengine wote
Dar si capital city ......Dodoma ndiyo capital city.....sawa ila Nairobi ni mji wa ndani....kuna vitu vingi Nairobi ikonayo ambazo Dar haina...so kuringa na beaches is premature in this case....by the way, Nairobi was set as the capital city makusudi...hawakutaka mji wa baharini sababu ya joto jingi...neno 'Nairobi' lina maanisha 'a place of cool waters' kwa kiMaasai.....Pili, hii inaonyesha kukua kwa uchumi...nenda Egypt, Nigeria, Morocco na Afrika Kusini utaona kuwa walihamisha capital city toka baharini sababu hizo hizo za joto...sasa nyie mmebaki na Dar yenu tu ukienda kwingine kunafanana na msitu... hamna maendeleo nje ya Dar..hii ni kwa sababu mmeweka kila kitu pale Dar including airport, seaport,industries etc....heri sie tuna Nairobi (for running business, industries and airports) kisha kuna Mombasa (for ports and beaches) na Kisumu (for second port)...na pia nashangazwa, hivi huwa mnavaa suti pale Dar na joto hilo??? duh!
Gari ya jimmi wanjigi the tycoon.som walthy businessmen in kenya supercars
you speak as if all of us know him/her.Gari ya jimmi wanjigi the tycoon.
Alaf wanakwambia wanauchumi mkubwa wakat umaskini umewakamata kama kupe kwenye ngoziujirani ni kusaidiana katika shida na raha.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
π
Inajulikana duniani Nairobi ina giant slum ambayo inatambulika kidunia , na imeingia kwenye world recordsYou guyz makes me existed all the time to here you saying Nairobi is small,when the entire dar population is crowded in their one and only tiny cbd surrounded by 97% slums