Wewe umetoa wapi 10 months? Nimekuambia year ending October 2021 ni Nov 2020-Oct 2021 sasa hio ni 10 months vipi? Huoni hio ni 12 months? Mbona umechanganyikiwa sana?Kwahiyo year ending inamaanidha 10 months data? Iko year ending kila mwezi depending on cross-section ya time unayotaka kuripoti but they all have 12 full months not 10 months.
Sijui utazungumza maneno gani kwenye ili nione unaakili kwenye hili.. bila kilimo hakuna viwanda, kama huna maendeleo kwenye kilimo sahau kuhusu kuendelea kwenye viwanda.. heb pitia pitia hata history za mataifa yaliyoendelea ili upate kujua walifanyaje mpaka kufikia industrial revolutionHow does automotive industry and agriculture relate? Please take your dumpness somewhere else.
Wewe unifunze maana ya neno year ending na hio ni terminology ninayotumia kila wakati kazini? Wacha ujinga. Balance sheet ukiitengeneza ni sharti utumie neno year ending kwenye heading kisha uweke mwezi na mwaka husika. Hio ni kulingana na IAS 1.Sasa hapo data ni za January to October hiyo nayo ni year ending embu nijibu kisomi tafadhali kabla sijaanza kudharau degree yako.
Mwambie their financial year ends on May of every year.Wewe umetoa wapi 10 months? Nimekuambia year ending October 2021 ni Nov 2020-Oct 2021 sasa hio ni 10 months vipi? Huoni hio ni 12 months? Mbona umechanganyikiwa sana?
Sasa mzee wangu hata tufanye hizo machines ni automatic, basi zizalishe juice zenyewe bila kuwepo kwa machungwa au raw products zinawezatengeneza juice. does automative industry mean raw products .?How does automotive industry and agriculture relate? Please take your dumpness somewhere else.
Instead of wring long composition and bible verses you could have just answered me how agriculture and automative industries relate.Sijui utazungumza maneno gani kwenye ili nione unaakili kwenye hili.. bila kilimo hakuna viwanda, kama huna maendeleo kwenye kilimo sahau kuhusu kuendelea kwenye viwanda.. heb pitia pitia hata history za mataifa yaliyoendelea ili upate kujua walifanyaje mpaka kufikia industrial revolution
Mkulima hivyo mtakuwa free from hunger, ngoja tuoneHiyo 'pondi' unayoidharau itawezesha irrigation ya 70,000 acres of rice throughout the year
I'm talking about vehicles. Automotive industry is an industry dealing specifically with vehicles.Sasa mzee wangu hata tufanye hizo machines ni automatic, basi zizalishe juice zenyewe bila kuwepo kwa machungwa au raw products zinawezatengeneza juice. does automative industry mean raw products .?
Does automative industry mean raw products.? Bila hujakuwa na raw products hizo machines utafanyanazo nini we jamaa.? Kupitia machuma tu unaweza pata unga wa ugali bila ya kuwa na mahindi.? Yani unga wa ugali utoke kwenye machuma tu πππ Heb acha ukichaa we jamaaInstead of wring long composition and bible verses you could have just answered me how agriculture and automative industries relate.
Samia anaua wa Bara na kuwaibia pesa na kuhamishia zanzibar, huyu mama ni shetani kabisaMalaika anajulikana ila utashambuliwa humu ndani! Unafikiri leo angekuwepo hai hawa watu wa Ngorongoro na Loliondo wangepewa fidia na ardhi mbadala?
Wewe ni kama hujui maana ya automotive industry. Go and read about it ndio urudi tujadiliane.Does automative industry mean raw products.? Bila hujakuwa na raw products hizo machines utafanyanazo nini we jamaa.? Kupitia machuma tu unaweza pata unga wa ugali bila ya kuwa na mahindi.? Yani unga wa ugali utoke kwenye machuma tu πππ Heb acha ukichaa we jamaa
All developed nations doesn't depend on agriculture. Tell me the Agriculture to GDP ratio of USA or China then I'll show you something.
ππ Kwamba.? We jamaa ni kichwa mchunga wewe, "Automative industry is an industry dealing specifically with vehicles" πππ au umechanganyikiwa na neno "automative"I'm talking about vehicles. Automotive industry is an industry dealing specifically with vehicles.
Unachanganyikiwa we jamaa ππWewe ni kama hujui maana ya automotive industry. Go and read about it ndio urudi tujadiliane.
Is like I'm wasting my time with you.ππ Kwamba.? We jamaa ni kichwa mchunga wewe, "Automative industry is an industry dealing specifically with vehicles" πππ au umechanganyikiwa na neno "automative"
Inategemea na institution husika. But you are right, financial year for East African governments Kenya, Uganda na Tanzania ni 1st June-31st May of the following year. Financial year ya South African government ni 1st March-29th February of the following year. Financial year ya Safaricom ni 1st April-31st March of the following year.Mwambie their financial year ends on May of every year.
You could have just kept quiet if you didn't know what automotive industry is instead of embarrassing yourself here.Unachanganyikiwa we jamaa ππ
Gari 80 per day zinabeba nini zaidi ya diapers? Unalinganisha na gari 180?Unajielewa kweli? Hakuna Cha maana tunawauzia yet Kenya imewauzia bidhaa za pesa mingi kuliko zile Tanzania imeuza Kenya.
Kwahyo hii βοΈ discussion umeihamishia hukuππππAll developed nations doesn't depend on agriculture. Tell me the Agriculture to GDP ratio of USA or China then I'll show you something.
Saivi disc umeileta kwenye automative industry, sio mchango wa kilimo tena kwenye industrial development.? ππ
One County one factory kwa malighafi zipi mnazozalisha kama mpaka chakula mnategemea Tanzania kwa 100%?Ndio maana raila anasema one county one factory/ product.