Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Wanapeleka roho tua mwanza, sijui ni kwa ajili ya nini? Angekuwa ndio jpm nafanya hili mitandao isingelalaSaiz wanaongoza kupost construction progress ya hili daraja, ila siku likipata shida utasikia 'si bora wangelijenga morogoro huko etc.. ilikuwa ni ujinga wa magu kutumia mabilion kujenga bridge huko kwao, yan kila kitu mwanza'..
Mimi cna shida na wamasai kuhamishwa, shida itakuja tu endapo tutahamisha wamasai then tulete watu wengine kwa Jina uwekezaji.Wanashadadia sana wanajua tutapoteza watalii
Hakuna mahali Ledama ametaja Kenyans, unaquote aje blog ya kijinga kama hii as your source. Eti Kenyans living in neighbouring Tanzania. 🤣🤣🤣Ungekua critical thinker hio domain name pekee inafaa kukupatia doubts lakini wewe ni keyboard warrior mshamba, unaokota tu anything unapata Kwa mtandao.Kumbe Wakenya ndio walikuwa wamevamia maeneo huko loliondo kwenye hifadhi na kuchunga ngombe.
Huu ni Unyama" Senator Ledama Cries Foul After What Tanzanian Government Allegedly Did to Kenyans
News Hub Creator
Jun 11, 2022 7:26 AM
Narok senator Ledama Ole Kina has cried foul following the heinous acts that were meted to Kenyans who were living in the neighbouring Tanzania. According to Ole Kina, the Tanzanian's are continuing to do bad things to Kenyans while the government is just silent.
For instance, a number of Kenyan's who were living in Tanzania were badly injured after they were forcefully evicted from the neighbouring country. Men, women and children were beaten and cut very badly.
The photos shared by Ole Kina shows how the victims had sustained serious injuries that were inflicted on their bodies. They were bleeding profusely on the head, hands, legs and other places of the body where deep cuts could be seen.
The injuries looks very scary and heartbreaking, something that has left many Kenyans in shock. Senator Ole Kina has now called upon the Maa leaders and other international community to come together and condemn the forcefully eviction by the Tanzanian government. Additionally, he says that the international community should put sanctions on Tanzanian government for crime against humanity.
"Huu ni Unyama" Senator Ledama Cries Foul After What Tanzanian Government Allegedly Did to Kenyans
Narok senator Ledama Ole Kina has cried foul following the heinous acts that were meted to Kenyans who were living in the neighbouring Tanzania. According to Ole Kina, the Tanzanian's are continuing to do bad things to Kenyans while the government is just silent. For instance, a number of...news-af.feednews.com
Hamna mwwkezaji yoyote zaidi ya eneo kurudi mikonni mwa tanapaMimi cna shida na wamasai kuhamishwa, shida itakuja tu endapo tutahamisha wamasai then tulete watu wengine kwa Jina uwekezaji.
Kama Mimi venye nilifanya vs Kama Mimi vile nilivyofanyaHuyu kichaa The best 007 apost screen shot yake mobile hotspot ikiwa off na wi-fi ikiwa on kama mimi venye nimefanya.
Ninahisi hayupo sawa kichwani, haiwezikani kutofautiana na watu wote na bado unahisi wewe pekee ndiye mwenye kujua kila kitu.Inashangaza sana
Hahahaha, lini mlifanikiwa kuhujumu Tanzania kwa lolote lile?. mlijaribu kipindi cha Corona kutupakazia duniani, mlikutana na jiwe, mkashindwa, mkachukua hatua za kuzuia ndege kutoka Tanzania, tulipolipiza kisasi kuzuia KQ, mkalia Sana na kuomba msamaha[emoji23][emoji23][emoji23]Usicheze na Kenya. Tutawa-expose kwa dunia nzima kwa ukatili wenu. Lazima mpigwe sanctions na Marekani na EU.
Cc coodip1
Nmegundua kwnn MK254 ambaye ndiye baba yao hawa wakunya wa humu anakuogopa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha, lini mlifanikiwa kuhujumu Tanzania kwa lolote like?. mlijaribu kipindi cha Corona kutupakazia duniani, mlikutana na jiwe, mkashindwa, mkachukua hatua za kuzuia ndege kutoka Tanzania, tulipolipiza kisasi kuzuia KQ, mkalia Sana na kuomba msamaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini haya yote yanayojitokea yanathibitosha ukweli kwamba, ninyi wakenya ndio mpo na chuki na wivu kwa Tanzania, hakuna hata siku Moja Tanzania iliingilia Kenya kwa ubaya, zaidi ya kuja kuwasuluhisha wakati mkipigana wenyewe kwa wenyewe. Mambo haya ndio yanathibitosha kwamba Kenya na Tanzania ni majirani lakini sio ndugu/marafiki. Sisi ni sehemu ya SADC by 80% na EAC by 20%.
dyfre
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo serikali ya Tanzania inapoingilia Kati kuwasaidia waganyabiashara wa Tanzania wanaosumbuliwa kule Namanga, huwa wanawatetea wakenya?[emoji23][emoji23]You might think its Tanzanians crossing over to Kenya to sell but no, its Kenyans crossing over to Tanzania to buy and bring the goods to Kenya[emoji23][emoji23]
Wewe ni chizi, soma hapaHakuna mahali Ledama ametaja Kenyans, unaquote aje blog ya kijinga kama hii as your source. Eti Kenyans living in neighbouring Tanzania. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ungekua critical thinker hio domain name pekee inafaa kukupatia doubts lakini wewe ni keyboard warrior mshamba, unaokota tu anything unapata Kwa mtandao.
Hahahaha, hahahaha [emoji23][emoji23][emoji1][emoji23][emoji23][emoji1]Nmegundua kwnn MK254 ambaye ndiye baba yao hawa wakunya wa humu anakuogopa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Finished goods zipi?Yes. Raw materials are always cheaper than manufactured goods. Tanzania is exporting raw materials, Kenya is exporting manufactured products.
Exports more than imports kwa ratio ya 150/80? 🤣🤣🤣🤣Why should I need your help when Kenya is exporting to Tanzania more than it imports? Why should I cry?
Out of this list, which product is uses raw materials from Tanzania?
@MashasholaHadi media za Kenya zinaonyesha habari wakati mkuu wa mkoa Arusha anasema hakuna majeraha yametokea. Tanzanian media ni bure
https://www.facebook.com/View attachment 2257749
Bro una moyo...yataka moyo sana kujadili hoja na huyo jamaa...mi nlishamtia block kitambo sana, i cant stand pumba zake...km hapa usinge mquote nisingejua km still ana exist, nishasahau kabisa km yupo.Mkuu, hata Magufuli ungemuambia ni mkabila angekataa, lakini watu ndio waliona(wewe) yeye ni mkabila, ndivyo sisi watu wa nje tunavyoona mazungumzo yako. Wewe ni mkabila Sana, kiburi na kutojali mawazo ya wengine, kujifanya mjuaji wa kila kitu.
Kama ukipewa madaraka hata ya mkuu wa Wilaya, ungemzidi hata Sabaya, mkuu wewe ni hatari, hufai hata kidogo.
Magufuli pamoja na kiburi chake chote, ukatili wake wote, wewe ni zaidi, huo ndio ukweli mkuu. Samahani Sana Kama nitakukera, lakini ni vizuri tuambiane ukweli, hatujuani kwa sura, ni rahisi kurekebishana.
Tony254
Justinr
The best 007
ichoboy01
game over
NDINDA
7seven
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hahahaha, lini mlifanikiwa kuhujumu Tanzania kwa lolote lile?. mlijaribu kipindi cha Corona kutupakazia duniani, mlikutana na jiwe, mkashindwa, mkachukua hatua za kuzuia ndege kutoka Tanzania, tulipolipiza kisasi kuzuia KQ, mkalia Sana na kuomba msamaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini haya yote yanayojitokeza yanathibitisha ukweli kwamba, ninyi wakenya ndio mpo na chuki na wivu kwa Tanzania, hakuna hata siku moja Tanzania iliingilia Kenya kwa ubaya, zaidi ya kuja kuwasuluhisha wakati mkipigana wenyewe kwa wenyewe. Mambo haya ndio yanathibitisha kwamba Kenya na Tanzania ni majirani lakini sio ndugu/marafiki. Sisi ni sehemu ya SADC by 80% na EAC by 20%.
dyfre
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app