Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niko home hapa as I type, mambo ya kawaida tu hayo.View attachment 2257669
Hahaha Teargas huyu jamaa tulimuaibisha hadi akenda kuinstall wi-fi. The best 007 unaona tumekutoa ushamba. Sasa mbona zamani tukipost screen-shot ya wi-fi ulikuwa unapinga na kusema kwamba hio ni wi-fi ya shule? Aisee ulikuwa mshamba sana. Yaani huku wi-fi ni kitu cha kawaida sana na hata watu wa kawaida wanayo nyumbani.
 
Umefunguliwa hotspot na simu ingine. Tony254 come and see your friend.
Hahaha eti amefungua hotspot. Hahaha by the way sikuwa nimefikiria from that angle. He had already fooled me mpaka nikampongeza. By the way it is probably a hotspot using another phone.
 
Ndiyo hii hapa chini nakuwekea mana nilikuambia hakuna namna mtaizidi Tz kwenye exports labda mzuie lorries zetu alafu mkimbilie kutoa takwimu faster kama mlivyofanya jana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12]

What's the level of your education? Umesoma hata hiyo article kweli ama wewe kazi Yako ni copy and paste? In the article imeandikwa Kenya exported $138M to Tanzania while Tanzania only exported $118M to Kenya.
 
Jamaa kamefunguliwa hotspot.
 
Yaani Rugemalila umlinganishe aliyekwapua fedha za Escrow na mwanasiasa ambaye kosa lake ni itikadi tu? Katika hiyo list anaykaribiana na Mbowe ni Sumaye tu!
Kama alikwapua kwann hayupo jela yupo uraiani anatambaa tuu
 
What's the level of your education? Umesoma hata hiyo article kweli ama wewe kazi Yako ni copy and paste? In the article imeandikwa Kenya exported $138M to Tanzania while Tanzania only exported $118M to Kenya.
Ongea na Wakunya wenzio hawa hapa, yn wewe unavyodhani kabisa 150 lorries kwa 80 lorries mtatukaribia kweli kwenye export value? Labda uwe chizi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukitaka kumueza, mwambie apige picha router yake na aweke karatasi na jina yake kwa hio picha saa hii usiku. Usikubali mambo ya kesho juu kesho The best 007 anaweza kuenda kwa jirani kupiga router yake picha.
Hehehe soja kashatoroka😂😂
 
Ongea na Wakunya wenzio hawa hapa, yn wewe unavyodhani kabisa 150 lorries kwa 80 lorries mtatukaribia kweli kwenye export value? Labda uwe chizi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2257686View attachment 2257687
What is the article saying? Yesterday I saw someone asking you the level of your education. Now I'm also interested to know if you really attended any school?
 
Hahaha eti amefungua hotspot. Hahaha by the way sikuwa nimefikiria from that angle. He had already fooled me mpaka nikampongeza. By the way it is probably a hotspot using another phone.
Hotspot eehh [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…