Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Mwanangu ungekua muimba taarabu ungefika mbali sana.Wakenya ni watu wenye roho mbaya sana na hapa wanazidi kuthibitisha roho yao mbaya iliyoota mizizi, wao kila baya likitokea Tz wanajitahidi kulipeleka viral huku lengo lao likiwa ni kuharibu taswira ya Tz ili watalii waende kwao, kulaniwa kwao na Mwenyezi Mungu mpaka kukosa mali zingine ukiacha wanyama basi ndio wamekuwa wakipambana na Tz kwa kila hali ili tu wapate pate watalii japo kidogo.
Roho zinawauma wanapoona Tz inawapiga kote kote, Wakunya msiweke chuki na Tz bali muulizeni muumba ilikuwaje akawalaani mkakosa mali na akili hapa duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa ajili ya kutunza mazingira na kulinda wanyama jibu lipo waziNa kwa nini maasai wanafukuzwa ngorongoro?
Acha waongee tuu mwanza ndo mji wa pili kwa ukubwa tz kwaiyo inastahili iyo miradiSaiz wanaongoza kupost construction progress ya hili daraja, ila siku likipata shida utasikia 'si bora wangelijenga morogoro huko etc.. ilikuwa ni ujinga wa magu kutumia mabilion kujenga bridge huko kwao, yan kila kitu mwanza'..
Lakini hili daraja ni muhimu kwa uchumi wa TZ. Itarahisisha usafirishaji wa mizigo kati ya TZ na nchi jirani. Atakayepinga ujenzi wa hili daraja atakuwa ni mwehu.Saiz wanaongoza kupost construction progress ya hili daraja, ila siku likipata shida utasikia 'si bora wangelijenga morogoro huko etc.. ilikuwa ni ujinga wa magu kutumia mabilion kujenga bridge huko kwao, yan kila kitu mwanza'..
Bado hujajifunza kuattach picha?Tii sheria bila shuruti..
Kwani Hawa sio Watanzania wanaopisha mgodi wa dhahabu? Kwamba Masai ndio Wana haki Sana hapa Tanzania au sio? Endeleeni kuwajaza ujinga wataishia kuwa walemavu 👇
Kwani wanyama na maasai wameanza kuishi ngorongoro juzi?Kwa ajili ya kutunza mazingira na kulinda wanyama jibu lipo wazi
Sio daraja tuu na vingine vyote vilivyojengwa huko kipindi cha awamu ya 5, watu wanapotosha tuu eti anapebdelea ukanda wake ata wewe Tony leo ukiwa rahisi utapeleka maendeleo kwenu eti kwasababu utaonekana unapendelea kwenuLakini hili daraja ni muhimu kwa uchumi wa TZ. Itarahisisha usafirishaji wa mizigo kati ya TZ na nchi jirani. Atakayepinga ujenzi wa hili daraja atakuwa ni mwehu.
Broo acha siasa kwani uko kenya si mna mpango wa kuondokana na slums mbona msiziache basi watu waendelee kuishi kwenye izo slums ukinijibu ilo nami nitakujibuKwani wanyama na maasai wameanza kuishi ngorongoro juzi?
Ofcourse Tony254 akiwa "rahisi" ila akiwa Rais hawezi fanya alichofanya Magufuli maana hata Uhuru hajapendelea Gatundu kama Magufuli alivyofanya Chato!Sio daraja tuu na vingine vyote vilivyojengwa huko kipindi cha awamu ya 5, watu wanapotosha tuu eti anapebdelea ukanda wake ata wewe Tony leo ukiwa rahisi utapeleka maendeleo kwenu eti kwasababu utaonekana unapendelea kwenu
Ona hapa jinsi maasai wanaishi vizuri na wanyamaBroo acha siasa kwani uko kenya si mna mpango wa kuondokana na slums mbona msiziache basi watu waendelee kuishi kwenye izo slums ukinijibu ilo nami nitakujibu
We keyboard warrior mshamba, Kenya iko kwa UN Security Council, usiwe mjinga bana.Majirani wana kimbelembele sana trying to punch above their height.
Kenya Calls For Immediate Action After North Korea Fires 8 Missiles, Threatening World Peace
News Hub Creator
Jun 11, 2022 1:23 PM
Fear have engulfed Kenya after the Republic of North Korea was reportedly to have fired eight missiles using ballistic technology, this will be another way of elevating the already worse situation, thus compromising the existing peace in the Korean Peninsula.
Martin Kimani who is a Kenyan Ambassador in United Nations released his speech during United Nations Security Council meeting where he called on all member states to take immediate action to reverse the impending calamity that may be triggered by the war.
Mr Kimani worrieldly said that world nations are not safe from the war that may result as North Korea is using weapons of high quality. Kimani also noticed that Kenya is much concerned with non existence of diplomatic negotiations to resolve an ongoing disagreements which might increase the tensions and exposure to any possible disaster.
Kimani also related the effect of the war between Ukraine and Russia, which has caused adverse effects on the country, increasing poverty and economic hardships. His statement was meant to justify to Kenya to make a call for immediate action to peacefully stop North Korea from unleashing more ballistic missiles in Korean peninsula. He also appealed with all member states to stand firm and take action to stop another war from breaking out.
Mbona hamtunzi mazingira huko kwa bwawa litalokua struggling gorge dam? Mnasumbua maasai bure ndio muuzie beberuKwa ajili ya kutunza mazingira na kulinda wanyama jibu lipo wazi
kwasababu kuna watu wanaowatumia kulisha mifugo yao ndani ya hifadhi huku wakiongeza shughuli za kibinaadamu na kuhatarisha maisha ya wanyama na mimea kwa pamoja kama hujaelewa nitag plzNa kwa nini maasai wanafukuzwa ngorongoro?
Kama huku sio?
ndo maana wanaondolewa Ngorongoro na Loliondo maana hapo simba ange-charge masai angemuua!Ona hapa jinsi maasai wanaishi vizuri na wanyama
Ayo ni maoni yako kama wewe kwaiyo usitake tufananeOfcourse Tony254 akiwa "rahisi" ila akiwa Rais hawezi fanya alichofanya Magufuli maana hata Uhuru hajapendelea Gatundu kama Magufuli alivyofanya Chato!