dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,685
sisi wakenya wote humu ni watu ajabu sana.. tofauti na nyinyi wadanganyika, roho zetu ii wazi kabisa.. hatujui kuficha lolote.! tunafichua either iwe mbaya ama mzuri.. yani tunajikubali jinsi tulivyo..Kawaida reasoning yako ipo chini Sana, Sasa ukitumia jina Kama Tony, Kuna Tony wangapi huko Kenya?, Kwanza Kuna uhakika gani kwamba kweli jina lake ni Tony?. Ninyi siku zote ni watu wenye uwezo mdogo Sana wa kufikiria mambo, matokeo yake ni uzushi na kuandika upumbavu hapa JF
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tii sheria bila shuruti..Wanaosema ukweli wamekuwa wapotoshaji. Jinsi walivyopotosha kuhusu kifo cha Magu sivyo?🤣
Unajua mama Samia ni mzanzibari. Watu wanaotaka ngorongoro ni waarabu kwa hiyo anaskizana nao vizuri sana. Hajali kuhusu wamaasai borake waarabu wenzake wapate wanachotaka. View attachment 2257254
Wakenya tumekosa akili vipi licha ya Kenya kuipiga TZ kwenye gdp, gdp per capita, gni, gni per capita, HDI na kadhalika?Wakenya ni watu wenye roho mbaya sana na hapa wanazidi kuthibitisha roho yao mbaya iliyoota mizizi, wao kila baya likitokea Tz wanajitahidi kulipeleka viral huku lengo lao likiwa ni kuharibu taswira ya Tz ili watalii waende kwao, kulaniwa kwao na Mwenyezi Mungu mpaka kukosa mali zingine ukiacha wanyama basi ndio wamekuwa wakipambana na Tz kwa kila hali ili tu wapate pate watalii japo kidogo.
Roho zinawauma wanapoona Tz inawapiga kote kote, Wakunya msiweke chuki na Tz bali muulizeni muumba ilikuwaje akawalaani mkakosa mali na akili hapa duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wish tu unge jua ukweli.. wakenya wengi mara nyingi huwa wanasahau ata kama kuna nchi inaitwa tanzania. hivi we are very much ware tht tumewapiku kwa kila nyanja.. tujisumbue na nyinyi tena mbona.!🥱 $114b vs $67b haina uhusiano wa aina yoyoteWakenya ni watu wenye roho mbaya sana na hapa wanazidi kuthibitisha roho yao mbaya iliyoota mizizi, wao kila baya likitokea Tz wanajitahidi kulipeleka viral huku lengo lao likiwa ni kuharibu taswira ya Tz ili watalii waende kwao, kulaniwa kwao na Mwenyezi Mungu mpaka kukosa mali zingine ukiacha wanyama basi ndio wamekuwa wakipambana na Tz kwa kila hali ili tu wapate pate watalii japo kidogo.
Roho zinawauma wanapoona Tz inawapiga kote kote, Wakunya msiweke chuki na Tz bali muulizeni muumba ilikuwaje akawalaani mkakosa mali na akili hapa duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ni wa jinsia gani??We The Best wewe, kumbe Nairobi chini ya barabara ya mchina ndio panakaanga hivi?[emoji2377][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kwa nini maasai wanafukuzwa ngorongoro?Mzee hakuna hunting block yoyote in the nothern circuit hunting block zote bongo zipo southern circuit
Saiz wanaongoza kupost construction progress ya hili daraja, ila siku likipata shida utasikia 'si bora wangelijenga morogoro huko etc.. ilikuwa ni ujinga wa magu kutumia mabilion kujenga bridge huko kwao, yan kila kitu mwanza'..
Karibu nimwambie ivi. Kenyans isipokua wale wako hapa jf cannot even tell you who the president of Tanzania is.wish tu unge jua ukweli.. wakenya wengi mara nyingi huwa wanasahau ata kama kuna nchi inaitwa tanzania
Kwani mkabila Magufuli alitoa hela zake mfukoni kulijenga? Angekuwa kaja baada ya Samia huu mradi ungesimama ukaenda kuibuliwa Chato! Refer NHC na NSSF projects!Saiz wanaongoza kupost construction progress ya hili daraja, ila siku likipata shida utasikia 'si bora wangelijenga morogoro huko etc.. ilikuwa ni ujinga wa magu kutumia mabilion kujenga bridge huko kwao, yan kila kitu mwanza'..