Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unasupport huu upumbavu na unyama ambao mama anaufanya wa kuwafurusha Wamaasai kimabavu? Halafu unasingizia NGOs?
 
Mods please fuatilieni hii I'd kama haitaki kubadilika na kuendana na taratibu za platform yetu hii yenye hadhi kubwa hapa EA basi hakuna haja ya kuwemo humu, piga life ban.
Naona Coco anakufinya k*nde hadi unapiga mayowe. Umefanya apigwe ban kwani amefanya nini?
 
Angalia hii highway iliyotengenezwa na kampuni ya kizalendo Estim, ni noma, Wakenya wote pita hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na zile flyovers pale mbezi mwisho zikikamilika mambo ndio yatakuw sawa snaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…