Munapenda kulamba waarabu haga hadi munakosa kutumia akili.Hivi ni vitendo vya kishenzi havipaswi kuchekewa, kama uongozi wa juu umeidhinisha jambo hili kwa kisingizio cha muwekezaji basi tunalaani vikali ushenzi huu. Uongozi wa sasa unajificha kwenye kivuli cha uwekezaji, watu wameishi hapo kabla hata ya hayo mambo ya uwekezaji, iweje wawafosi watoke? Hii haikubaliki na ndiyo sababu Magu alikuwa bega kwa bega na wananchi wanyonge na co kukumbatia mabeberu, hii nchi ni kubwa watafute maeneo mengine ya uwekezaji yapo mengi na co kusumbua raia eti wanaishi na wanyama, shida iko wapi? Wenyewe wanaishi hivyo karne na karne.
Wacha KUNIchekesha bana[emoji23][emoji23]Wabongo wanatumia kuni kama lane separators. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hiyo ni Sumbawanga mzee, mji ulio mkoa wa Rukwa angalia mazingira yake yalivyo safi kuliko ka Nairobi, ndiyo maana huwa tunasema humu kwamba Tz ni the most urbanized country in East and Central Africa mnabisha[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wacha KUNIchekesha bana[emoji23][emoji23]
Huyu asipoacha utoto basi JF ataiona chungu, analeta chuki binafsi humu JF, sasa muache aendelee na huu upumbavu wake lazima I'd zake zote zipigwe ban, atakuwa kazi yake kutengeneza ma id tu kama Mashashola na id yake ya @zigrizla na wakunya wengine.@ moderator
Du ase.. nikisema ni udhaifu wa mama.. nitaitwa sukumagang...Kulikoni Watanzania?., mambo gani haya? already trending kwenye Jukwaa la Siasa.., wa maasai ni watu wangwana sana, hawanaga maneno na mtu, wanapenda maisha yao ya kitamaduni, nani huyu shetani ibilisi anawakosea heshima??
View attachment 2256391
View attachment 2256392
View attachment 2256395
View attachment 2256396
View attachment 2256397
View attachment 2256398
Uzuri wa hizi stations zetu ni full kiyoyozi [emoji16]
Waende wakachukue za Equity sisi hatuzitaki. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa Samia anawakosea maasai. Ni haki yao kuishi ngorongoro.CCM NI MAVII NINAWAAMBIA KILA SIKU ..KUWA HUYU SA100 NI GENGE LA MUHUNI WANAO TUMIWA NA WAARABU NA WAHINDI WANDANI YA NCHI NA MABEBERU MAFISADI KUHUJUMU TAIFA
Hivi banda la kuku unalijua kweli wakati huko kwenu kuku ni adimu only 3% eat chickenAisee kama banda la kuku
Utapata watanzania wako busy na mambo ya KenyaKuna genocide inanukia, waarabu wanataka ardhi ya maasai kwa nguvu. Let's spread the news
Tanzania is not safe for tourism
View attachment 2256297View attachment 2256298View attachment 2256299
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo wanatumia kuni kama lane separators. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hali imekua mbaya mpaka mnaenda kubembeleza soko la miraa hii ni aibu sana kama nchi.Kenya to resume exporting miraa to Somalia in two weeks after President Kenyatta brokered a deal with the country. Kenya to resume miraa exports to Somalia https://t.co/iij1xOView attachment 2256237CUoR
Unajua maana ya kufanana [emoji849][emoji849]kwani tunapowasema wakenya kwa kujengewa miundombinu inayo fanana na majengo ya jadi ya china wewe unazani tunamaanisha nini ? Swali kwani kubuni jengo letu bila ya kusema tunajenga la kufanana nala magogoni kulikuwa kuna tatizo gani ? Kulikuwa kuna tija gani kuchukua muundo wa jengo la mkoloniKwahiyo jengo likifanana kwa nje it means na ndani liko hivyo hivyo, na iweje Magu aseme hawezi kumuachia mgeni amjengee nyumba yake ya kulala, sasa alitaka kuficha nn ilihali kila kitu linafanana na lile la Dar?
Tanzania ni jehanamu. Mama Samia ni mzanzibar atauzia waarabu Tanganyika yote bila kuhisi chochoteKulikoni Watanzania?., mambo gani haya? already trending kwenye Jukwaa la Siasa.., wa maasai ni watu wangwana sana, hawanaga maneno na mtu, wanapenda maisha yao ya kitamaduni, nani huyu shetani ibilisi anawakosea heshima??
View attachment 2256391
View attachment 2256392
View attachment 2256395
View attachment 2256396
View attachment 2256397
View attachment 2256398
Katafute census report yetu utaona kila nyumba Kenya haikosi kuku. Duniani kuku ni wengi kuliko binadamu.Hivi banda la kuku unalijua kweli wakati huko kwenu kuku ni adimu only 3% eat chicken
True. Ikue kama Greenland kwa denmarkIpo siku Tanzania itakua 48th county ya Kenya.
Unajua kilo moja ya mirungi ni pesa ngapi!? Hatuwezi wacha hela kirahisi rahisi.Hali imekua mbaya mpaka mnaenda kubembeleza soko la miraa hii ni aibu sana kama nchi.