Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilisema kwamba baadhi ya shutuma za Magufuli Zina ukweli, hasa kuhusu Chato, lakini hizo zingine za Kaskazini, ukabila na zingine hizo sio sawa.

Ila hakuna sababu ya kuendekeza huu mjadala, watu wameshajua ukweli upo wapi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sio hilo tuu hata ndani ya Nchi alipandikiza mbegu mbaya sana kama ujuavyo Nchi yetu ina folish wengi Sana kwa hiyo mpaka wakaondokane na huo ujinga waliojazwa itachukua mda.
 
Huelewi hata maana ya hicho unachoita fiscal policy,kwa hiyo fiscal inaondoa au kupunguza money M3 kwenye uchumi? 😆😆😆😆
 
Wewe angalia industrial output wakati wa kikwete then compare na output wakati wa JPM hata exports za bidhaa za viwandani zilishuka sana wakati wa kikwete tulishafika US 1.2bn ikashuka mpaka 400m
Huyu hapa Katibu Mkuu Uwekezaji akitia neno Kuhusu ujuha wa Mwendazake kwa kukurupuka alivyojaribu FDI na alichofanya SSH 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220512-130134.png
    87.3 KB · Views: 45
Kenya's CBC is the best education curriculum in Africa.

Battle za best in East and Central Africa tuliwacha, sikuizi tunachezea continental level, regional level tumewachia wabongo and others

Tuna review hizo curriculum na majibu yanatoka desemba Tayari kuanza kutumika mwaka ujao wa Elimu.
 
Naona kama tayari.. Ni kuhamia tu Sasa.

Mwenye picha zaidi aweke...
Sema wabunifu tz hakuna kabisa hiyo ikulu ipo hovyo kabisa ....kuna tatizo kubwa kwenye sekta ya ujenzi katika design hapa nchini au kuna ufisadi ,nikama sgr yetu terminal ya dar kunakosa kubwa kwenye sakafu ya kwanza ya lile jengo mlango wake kama pango ...kwandani lipo sawa ila nje kwenye maingilio ni kama kiota
 
Mental disorder is real.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
what am trying to mean here is tht magafuli was very bitter with kenya because tanzania has wht it takes to make it the dorminant economy in this eastern and central africa region. not only does tz has a huge chunk of landmass 950,000km².! (which is almost 2× the size of kenya). but it's also 95% green and fertile.. tz is endowed with the most sought after rare earth minerals includng tanzanite and gold, and not forgeting tht its the 3rd producer of gold in the entire continent. tz also has a larger population... all that said, you still however find tht kenya, a smaller country by land mass and population and which is about 75% arid or semi arid, still consistently outperform its rival southern neiba in each and every sector year on year. so whatever magaful was all upto, to act ill against kenya, is brewed out of extreem jealousy, hivi kwamfano ata kunyima wakenya work permit ama ata hizo ngombe zetu zote 1,300 hangeziwachilia tu ivo.!
 
Bila kumsahau Diallo.
 
Wacha mambo yako lwiva hiyo ikulu iko poa, ulitaka iweje? Tangu kujengwa kwake Magu alishasema itafanana na ya Dar, sasa unavyoona haifanani na ya Dar? Badala uwasifie wajenzi wamejitahidi mpk tofauti haionekani unaanza kulaumu, ulitaka iweje? Ifanane na ya USA? Hiyo ikulu iko poa na haina kasoro, msitake kufanya kila kitu kikidhi matakwa yenu, kuna mengine tulidhike na kilichopo mana hakikuwepo before.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…