Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

evidence? Bring evidence It is U/C! As far as i know Thika Highway has beeen there since Kibaki era!
We sijui una matatizo gani..unasema hio ring road yenu will be the longest dual carriageway in East Africa, ukielezwa thika rd+kenol-sagana inamake over 140km continuous dual carriageway unasema thika road is not under construction. Hebu tuelezee unamaanisha nini kwa kusema 'longest dual carriageway in East Africa'
 
Wakija wenyewe watakuambua hizo nyumba za mabati sasa hivi hazipo hiyo ni ya zamani!
 
Wanatuambia big Economy in GDP lakin wananchi wanakufa njaa kila mwaka hiyo GDP inawasaidia nn nibure kabisa
 
Let me help you. Africa has FOUR tech hubs and these are Nigeria, Egypt, South Africa and Kenya. If you know any other list that does not mention any of these four countries share it here tuone
Remittance anachanganya na technology, haya niambie nyie mmegundua nn mpk muwe hapo mana bora kdg Nigeria wanaweza wakaongea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
That's a ring road in Dodoma, not a dual carriage way. Huu upuzi wa kuwadanganya wakenya akadanganye watanzania wenzake
 
Tazama hapo sasa hivi.., fanya youtube iwe rafiki yako kilaza., mbona unahangaika., Prism iko upper hill kilaza, sio westlands., 😂 😂 😂
 
Kumbe wewe ni idiot pia, your reasoning is ever myopic, driven by blind patriotism, very subjective and biased, mbona wengi wenu watanzania mko hovyo hivi? though kuna wale hovyo zaidi(i.e.007)😂😂😂..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…