[emoji1787][emoji1787][emoji1787]your ego its your problem young kunyanSasa wewe pia unataka nibishane nawe? [emoji1787][emoji1787]
Sasa kama ina-exist una-count vp nyoko wewe? Na sie tuanze kuhesabu +50 km za mtumba? Leta evidence ya hizo +60 km tuone!Nairobi - Kenol is already an existing highway - ama hujui Thika highway? Well, Thika Highway actually terminates in a town called KENOL - 60km from Nairobi CBD. Wandastandanga Mr. Geza?
Walikuwa wanatujaribu.
Wakipigana naomba wapigane wao tuuu usa na russia hakuna kukaribisha chawa wala maswahiba ndio tutajua nan ni nani sio mtu aje na gang yake (Nato) wakat mwenzie yupo alone haitakua fairSiku Russia wakipambana na USA ndio utaona hii dunia chungu
For once you're right. I have a very big ego.😎😎😉Nimecot comment yako kuliza swali hakuna mahali nimeweka condition nani ajibu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]your ego its your problem young kunyan
Tutapoteana hapa yani mambo yataharibika sana..iyo ni vita ya 3 ya duniaWakipigana naomba wapigane wao tuuu usa na russia hakuna kukaribisha chawa wala maswahiba ndio tutajua nan ni nani sio mtu aje na gang yake (Nato) wakat mwenzie yupo alone haitakua fair
Nyoko nimekuambia leta evidence ya mradi wa 112 km dual carriage way U/C!Unataka tuhesabu non-existent roads pekee ama?
The post I quoted talked about the longest dual carriageway - not the longest project. Punguza hasira.Tinahesabu mradi as a whole a single dual carriageway! Kunyaland hamna mradi wa zaidi ya 84 km dual carriage unaotekelezwa! Wacha upumbavu! Hata sie tunaweza ku-add dual carriageways za Mtumba (Gov. City) ku-prop up the distance!
Wataelewa tuu wapumbavu hawaHawa watu ni jeuri sana na wengi wao hawajui ni kwa kiasi gani they depend on us laiti wangejua wangeiheshimu sana Tanzania!
Barabara tamu sana ya kumwaga moto hii 😋Tabora -Mpanda 342km entirely pavedView attachment 2252547View attachment 2252548View attachment 2252549View attachment 2252550
Cameroon walifanya Kila wanaloweza ikishindikana kudai sio msichana huko huko kwao wakashindwa,wakaja Zanzibar wakaanza kelele za umri Hadi wakaenda MRI wakashindwa.Mtoto ndivyo alivyoumbwa na mwenyezi Mungu kuwa na umbo la kiume ume na si wakwanza duniani.mh hii namba 1 inaweza leta utata! ajirembeshe kidogo jamani! hongera zao!
Where is the evidence it is U/C n under one project! There is nothing like Nairobi-Mau Summit!The post I quoted talked about the longest dual carriageway - not the longest project. Punguza hasira.
Anyway, Nairobi - Mau Summit road is 220km long and under construction. Hata ukibadilisha goal posts bado tunakuchapa.
Halafu hapo bongo hakuna existing continuous dual carriageway yenye inaweza fika hata 50km. Wacha ukichaa.
Hivyo viwanja ccm walimegewa na serikali ya wakati huo ya chama kimoja. Resources za serikali zimetumika kuviendeleza.Vilijengwa kipindi hicho kukiwa na chama kimoja cha siasa wananchi ndo waliokuwa wanachangia ujenzi wake
Wakenya bhana utawaskia tunakusanya pesa nyingi kumbe karbia robo moja ya izo pesa zinaishia mifukoni mwa wachache
Huyo jamaa sijui shida yake ni gani. Anachukulia vitu personal sana. Ni kama niko na deni yake. Au pengine ana stress tu zake za maisha sasa anatafuta mtu wa kutolea stress zake. Lakini mimi ni wrong number. Sitakangi utoto. Sio eti nacheka cheka na watu humu mtu afikiri mimi ni wakuchezea. Ameniudhi sana.Shida yako unadharau watu, yaan vitu vingi humu unachukulia personal sana.... chill mzee baba, au stress mingi
Hamna cio wanawake ni wasichana.Hawa ni wanawake?
Naona kwenye picha hapo juu inyonga kama wameweka round about now? Last time nilipita hii njia ilikuwa ni gravel it took me 8 hours kwa private car from Mpanda to Tabora now I guess itakuwa less than 5 hours.Tabora -Mpanda 342km entirely pavedView attachment 2252547View attachment 2252548View attachment 2252549View attachment 2252550
Hapo unapiga kidonge cha cruise control tuu ngoma inatembea.K2 kilaini icho unagusa sport mode tu
Kuna mjinga mmoja alikubaliana na suala la kusafirisha wanyama nje ya nchi ili tu ionekane Magufuli alikosea kukataza wanyama kusafirishwa, sasa leo wamefungia tena cjui pia atashangilia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]