chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Huyu jamaa ameadvertise sana hii trip yake to Kilimanjaro Tanzania zaidi ya miezi mitano sasa BBC๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Bus terminals in Kunyaland [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2251994View attachment 2251999View attachment 2252000View attachment 2252001View attachment 2252002
Niliomba Mombasa na Singida battle nikakosa ushirikiano kutoka upande wa pili!Sio bandari tu, Mombasa imeishinda Mwanza kwa mbali kwenye quality ya mabarabara. Hata kwenye skyscrapers Mombasa ina majengo marefu mengi. Hata kwenye idadi ya dollar millionaires Mombasa imeishinda Mwanza.
Hii picha ni ya zamani. Hapa ni Kibera. Hizi slums zinazokinga barabara zilibomolewa 2018. Hii barabara ipo karibu kukamilika. Hii itakuwa ni lami mtelezo hadi mwisho.Somewhere in East Africa, Tanzania [emoji116][emoji116][emoji91][emoji1787]View attachment 2251970
Nani kakwambia hapo ni Kenya? ๐ ๐ ๐ ๐Hapa kidogo nawapongeza Wakunya kwa hii expressway yenu, angalia jinsi inavyo stretch from north to south kama nyoka hadi raha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2251934
yap hayo ni mawazo yako ila kwa wenyewe wakenya wanalia na huo mradi pesa hawana ya kulipa na huo mradi mikataba yake itawatafuna zaidi ya miaka 40 ๐๐๐Hii thread inatakiwa itusaidie kujifunza sio kutukanana, kudharauliana na kuitana majina. Kuna vitu vya kujifunza kutoka pande zote mbili.
๐ ๐ ๐ ๐ Anajikuta mno kumbe wale wale ๐๐๐So ameanza kujiona yuko smart sn au sio, kisa amewazidi akili hao mbwa wengine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
karen ni kubwa kwa lipi?? labda kwa pori manake ukubwa wake ni misitu tu ๐คฃ๐คฃKaren ni kubwa sana, unaongolea karen gani?
Kama turkana aiseeQualities nowhere to be found in Kunyaland
Halafu hiyo barabara inajengwa huu ni mwaka wa 10 ๐ ๐ ๐Somewhere in East Africa, Tanzania [emoji116][emoji116][emoji91][emoji1787]View attachment 2251970
tuketee picha ya 2022 tunaisubiri plz๐๐Hii picha ni ya zamani. Hapa ni Kibera. Hizi slums zinazokinga barabara zilibomolewa 2018. Hii barabara ipo karibu kukamilika. Hii itakuwa ni lami mtelezo hadi mwisho.
๐๐๐๐๐๐๐๐๐Mkuu hiyo ilikuwa sarcasm, huoni hawajajajibu, nilikuwa nawasubiri mmoja ajibu nimlipue[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2251971
Duh aiseee hili bata kama peponi wallahi, watakuja wengi kama ndio hivi.Andre herrera mchezaji wa PSG akila zake bata ndani ya TZ
Kilichobaki ni matusi tu ndani ya mdomo wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anaendelea kujiingiza kidole cha pili mwenyewe kisha kunusa.
Jamaa atakua balozi mzuri wa utalii wetuDuh aiseee hili bata kama peponi wallahi, watakuja wengi kama ndio hivi.
sisi hawez kutuumiza kwasababu huo mradi sisi tunaujua vzr na vile utawatafuna pia tunajua na soon mambo yataituka tu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ mchina atachezea kende zenu miaka 40
Sio Wakenya mkuu, sisi Watz tumeamua twende nao kwa style ambayo wanaiweza ile ya kistaarabu hawaiwezi, hapa unaongelea watu ambao hawana maadili mema na ambao ugumu wa maisha umewafanya wawe washenzi, so sijakataa wewe kwenda nao kistaarabu ila utanipa mrejesho mkuu.Hii thread inatakiwa itusaidie kujifunza sio kutukanana, kudharauliana na kuitana majina. Kuna vitu vya kujifunza kutoka pande zote mbili.