Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi huwa sibahatishi. Sasa wewe na hawa walio-like comment yako The best 007 na xng hua tafuteni Mwanza kwenye hii list. Na rafiki yangu Sama boy 255 anayetokea Mwanza anaweza kuwasaidia kutafuta Mwanza kwenye hii list. Na ichoboy01 anayeidharau Mombasa pia anaweza kuwasaidia.




Cc tuusan
 
Kaka jiwe ataishi miyoni mwetu milele
 
Hawa Mbweha wa kike wa kunyaland huwa wakiona The only electrified SGR in East and Central Africa huwa wanaishiwa nguvu kabis! Na hapo bado trains za kisasa hazijatua na zikitua kuna watu watapata vidonda vya tumbo huko Kibera kwenye mabanda yao!
 
Utanionyesha nini, neighbor hood gani kali yenye level za osterbey we jamaa zaidi ya hizo apartments .? Au utaonyesha Karen yenye vumbi kila mahali.?
Umeshinda bongolala. Oysterbay is the best neighborhood in Africa. Ila toka hapo uswazini utembee kidogo
 
Expressway yao nzuri ila hii picha sio yao, Hapa ni Northern Greece. Pia Kenya wanadrive upande kama wa kwetu hapa, ila angalia taa za nyuma za gari (nyekundu) zipo upande wa kulia na za mbele zipo kushoto.
Mkunya keshaiba picha! !
 
Wewe unatupostia video ya 80% bridge na 20% estate.

Video ya estate ni kama hii hapa.


Nikikwambia hakuna neighbor hood kali hapo kwenu kushindana na osterbey I mean it sio hizo vumbi zenu za Karen, this is osterbey 👇 chagua wewe sasa utaleta hizo shule zenu au karen yenye vumbi every single street
 

Attachments

  • Screenshot_20220606-113641_1.jpg
    116.4 KB · Views: 73
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…